MAKOSHNELI
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 932
- 1,569
- Thread starter
- #361
nashukuru kusikia hivyo mkuu kuna mambo mengi sana yapo nyuma ya pazia napia njia/akili/kazi/ za mwanadamu kamwe haziwezi kufanana na MUNGU,ndio maana hadi shetani kile kipindi cha YESU hakujua dhana ya Mungu kumleta Yesu duniani akafanya hila kumuua pale msalabani akidhani kamkomesha kumbe kufanya vile ndio ulimwengu woote ukakombolewa!laiti kama angelijua matokeo yake asinge msulubisha pale msalabani! kuna mifano mingi sana ya ajabu ya namna Mungu anavyofanyaga mambo yake na kati ya hiyo mifano yoote huwaga haiko "straightforward"umenifungua sana akili
>wana wa israel walisafiri miaka 40 badala ya wiki moja kutoka misri kwenda Kaanani!
>maji yaliachia njia wakapita katikati yao!
>yeriko ilianguka kwa makelele tu!
>eliya aliagiza moto tu kutoka mbinguni tu ukashuka!
nakuendelea...
kama ilivyo fanyika hiyo mifano hapo juu ndivyo ilivyo kwa taifa la israel la sasa haliko wazi kivile kama hili lililopo pale leo!!!,eti hapa ndipo yesu alizikwa,eti pale ndipo alipopaa,hapa ndipo lilipokuwa hekalu la Suleiman,pale ndipo alipozaliwa,na hawa unaowaona ndio WAYAHUDI wana wa israel!!!!!! kwa mujibu wa maandiko Kumbukumbu la Torati 28:15-68 laana zoote zilizo andikwa hapo soma moja hadi nyingine kwa kuitafakari kwa makini utagundua ni mtu wa namna gani amezungumziwa humo,hizo ndizo laana walizokuwa wanazipata wana wa israel walipokuwa wakimuasi Mungu na ndizo laana walizopata baada ya kumkataa Yesu kama Masiha!!ila ukae ukijua tu ni mtu mweusi pekee katawanywa kwenye mabara yoote matano ya dunia,kadhalilishwa,kauzwa kama bidhaa utumwani,nk