Last emperor
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 10,351
- 9,855
Sasa nani kailaani Israel hapo? Au ukihoji siku hizi unakuwa umelaani?Ogopa laana ya Mungu YEHOVA kila silaaniye Israel atalaaniwa na yule aibarikie naye atabarikiwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa nani kailaani Israel hapo? Au ukihoji siku hizi unakuwa umelaani?Ogopa laana ya Mungu YEHOVA kila silaaniye Israel atalaaniwa na yule aibarikie naye atabarikiwa.
Mimi nimeusoma yote mkuuNa tulivyo wavivu kusoma, sijui wataisoma wangapi hii
Hata mimi zile zama za ujinga nilikuwa nafikiria na kuamini kama wewe,kwenye gari yangu na nyumbani nilibandika mabendera ya israel,Nilikuwa nawafuatilia akina John Hagee kila usiku kwenye televisheni kimsingi nilikuwa mtumwa wa kushabikia taifa la israel taifa fake, ila siku nilipokuja kuujua ukweli ndio nikawa huru,nilifahamu ukweli baada ya kuruhusu kufikiria tofauti na mwanzo/imani yangu ya awali na kuacha ushabiki wa kiimani,Nadhani na wewe ipo siku utaelewa nilichokiandika ikiwa tu utaacha kumeza maandiko bila kuyatafakari! Mithali 14:15 "MJINGA HUAMINI KILA NENO;BALI MWENYE BUSARA HUANGALIA SANA AENDAVYO".Angalia sana hayo unayoyaamini huwenda yakawa sio kweliIsraeli most powerful country in army
Huko mkono wa mungu ndipo ulipo tafakari maajabu yao kwa kila kitu kuanzia kilimo, nguvu za kijeshi, rasilimali walizonazo
Taifa fake kivipi? Dadavua kwenye hilo naweza nikakuelewa usiniambie usinitolee reference za kina benjamin Freedman na wenzakeHata mimi zile zama za ujinga nilikuwa nafikiria na kuamini kama wewe,kwenye gari yangu na nyumbani nilibandika mabendera ya israel,Nilikuwa nawafuatilia akina John Hagee kila usiku kwenye televisheni kimsingi nilikuwa mtumwa wa kushabikia taifa la israel taifa fake, ila siku nilipokuja kuujua ukweli ndio nikawa huru,nilifahamu ukweli baada ya kuruhusu kufikiria tofauti na mwanzo/imani yangu ya awali na kuacha ushabiki wa kiimani,Nadhani na wewe ipo siku utaelewa nilichokiandika ikiwa tu utaacha kumeza maandiko bila kuyatafakari! Mithali 14:15 "MJINGA HUAMINI KILA NENO;BALI MWENYE BUSARA HUANGALIA SANA AENDAVYO".Angalia sana hayo unayoyaamini huwenda yakawa sio kweli
kuna sababu 5 nimeziandika kwa kirefu hapo juu zisome,na kwa kifupi ni hizi hapa chini,achana na akina benjamin freedman na wenzake kama ulivyosema soma sababu moja baada ya nyingine na maandiko niliyoambatanisha then jikite hapo then nikosoe kimaandikoTaifa fake kivipi? Dadavua kwenye hilo naweza nikakuelewa usiniambie usinitolee reference za kina benjamin Freedman na wenzake
watu gani hao wayahudi fake?Inasemekana hawa watu wana AKILI sana pengine kupita watu wa mataifa yote ulimwenguni hapa
podo,amanikama huamini kweli ya maandiko huu mjadala huwezi kuujadili
Nadhani mkuu ungerudia kusoma uzi kwa umakini maswali yoooote uliyoyauliza alishayajibuKwahiyo wale wayahudi wote siyo halisi? Halisi ni wapi sasa na wako utumwani nchi gani? Vipi kuhusu wale ethiopian Jews waliorudishwa Israel mwaka 1991, je na wao siyo halisi? lakini pia vipi kuhusu wale aliowaua Adolf Hitler kule Ujerumani wakati wa WW2 hawakuwa halisi? duuh! Kumbe Adolf Hitler aliua wayahudi fake? Nauliza tu!
Hebu tuweke wazi hao wayahud orignal unaowajua wako wapi? Tujuzewatu gani hao wayahudi fake?
nimejibu sana in details hili swali lako kwenye hii thread we soma page by page utayakuta majibu ya hili swali lakoHebu tuweke wazi hao wayahud orignal unaowajua wako wapi? Tujuze
loading.................................................................................................................................Mengine umeandika vizuri lakini kusema kwamba waMisri ni weusi nimeshindwa kukuelewa. Unaweza kuwa na point lkn ukiandika kiushabiki na umbumbumbu taarifa inakosa maana na hatima yake ni kukataliwa. Unataka niwaonee huruma wapalestina!!! nitafaidika nini? si heri niwatambue wayahudi hata kama sio sahihi maana angalau kuna maendeleo naweza faidika kuliko kuhubiri ugaidi wakati wote.
Ni kweli asee ata sio uongo ila na waperestina wapo kama wao tu.Inasemekana hawa watu wana AKILI sana pengine kupita watu wa mataifa yote ulimwenguni hapa
Tel Aviv ndo mji unaongoza kwa mashoga dunian baada New York cityIla Nawasiwasi na Mataifa ya Eritrea, Ethiopia, Somalia,Misri,Palestina,Yemen hawa uenda ndo Jews halisi kwa Asili zao....But all in All IsRael ya sasa ni ovyo kuliko tunatunavyodhania.....Yan nilishangaa kuna siku ya Mashoga uko Telaviv na ni Mashoga na Masagaji yani yanatoka Dunia nzima yanaenda Israel na inakua ni sherehe kubwa yani nilichoka....watu km wanabisha wa Google waone usodoma na ugomola unaoendelea Israel....Na Kwann Marekan anatumia pesa na silaha nyingi sana kuilinda Israel Je Israel ya sasa inatengenezwa na US/UK ndo hao tunaaminishwa ni wana wa Israel
Mkuu hili tango hili![emoji16]angalau ukituambia Yerusalem ijayo(mpya)na iliyopo!kidooogo tutakusoma.Ikumbukwe kuna Israel ya kiroho na kimwili