Uhalisia wa taifa la Israeli

umenifungua sana akili
nashukuru kusikia hivyo mkuu kuna mambo mengi sana yapo nyuma ya pazia napia njia/akili/kazi/ za mwanadamu kamwe haziwezi kufanana na MUNGU,ndio maana hadi shetani kile kipindi cha YESU hakujua dhana ya Mungu kumleta Yesu duniani akafanya hila kumuua pale msalabani akidhani kamkomesha kumbe kufanya vile ndio ulimwengu woote ukakombolewa!laiti kama angelijua matokeo yake asinge msulubisha pale msalabani! kuna mifano mingi sana ya ajabu ya namna Mungu anavyofanyaga mambo yake na kati ya hiyo mifano yoote huwaga haiko "straightforward"
>wana wa israel walisafiri miaka 40 badala ya wiki moja kutoka misri kwenda Kaanani!
>maji yaliachia njia wakapita katikati yao!
>yeriko ilianguka kwa makelele tu!
>eliya aliagiza moto tu kutoka mbinguni tu ukashuka!
nakuendelea...
kama ilivyo fanyika hiyo mifano hapo juu ndivyo ilivyo kwa taifa la israel la sasa haliko wazi kivile kama hili lililopo pale leo!!!,eti hapa ndipo yesu alizikwa,eti pale ndipo alipopaa,hapa ndipo lilipokuwa hekalu la Suleiman,pale ndipo alipozaliwa,na hawa unaowaona ndio WAYAHUDI wana wa israel!!!!!! kwa mujibu wa maandiko Kumbukumbu la Torati 28:15-68 laana zoote zilizo andikwa hapo soma moja hadi nyingine kwa kuitafakari kwa makini utagundua ni mtu wa namna gani amezungumziwa humo,hizo ndizo laana walizokuwa wanazipata wana wa israel walipokuwa wakimuasi Mungu na ndizo laana walizopata baada ya kumkataa Yesu kama Masiha!!ila ukae ukijua tu ni mtu mweusi pekee katawanywa kwenye mabara yoote matano ya dunia,kadhalilishwa,kauzwa kama bidhaa utumwani,nk
 
Man i gotta give u thum-up,shukran mno
 
Hujui lolote, Escape from Sobibo ni concentration camp, wale wayahudi walikuwa wanaishi kule na hawakuwa utumwani, hata wale wayahudi Warusia waliokamatwa mateka na kupelekwa camp walikuwa ni wanajeshi wa jeshi la Urusi.

Umeandika takataka tupu hapa.
 

Umejikanyaga kanyaga sana hata hujaelewa maada na hoja zangu!
Kukusaidia ni kwamba wayahudi baada ya kumkataa Yesu walitawanywa na kuchukuliwa mateka duniani koote kama biblia ilivyoandika
(Soma Luka 21 yoote zingatia mstari wa 24) mwaka 1948 kuna watu walirudi pale israel wakisema wao ni wayahudi kinyume na maandiko yanavyosema hiyo (Luka 21:24) kwamba wayahudi hawatarudi pale israel mpaka yeye mwenyewe Yesu atakapo kuja kwa mara ya pili na yerusalem itakaliwa na mataifa kwa hiki kipindi choote cha mpito! So watu wanaokaa pale yerusalem sasahiv/israel sasahv sio wayahudi bali ni mataifa!!! Hii ndio ilikuwa hoja yangu ya msingi sasa nikosoe kuanzia hapa “Kimaandiko” na sio kwa kuangalia movies
 
Ungeandika hivi toka awali ungeeleweka.
 
well said mkuu
 
katafiti 25th dynasty ilikua ya watu weusi walitawala misri hao waarab wamekuja baadae sana

Pia Nani kakuambia wapalestina ni Magaidi?? Huoni wameporwa ardhi yao kimabavu hamna maji wala umeme wakati kabla ya wayahudi kuletwa Hali haikuwa hivyo ulitegemea wawachekee wayahudi?
 
Kuanziaa misri mpaka Israeli ilikuwaa ya watu weusi mpka wavamizi walipovamia ardhi hiyoo
Na wakajifanyaa wao ndo wayahudi kumbe wavamizi tuu


Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Ila Nawasiwasi na Mataifa ya Eritrea, Ethiopia, Somalia,Misri,Palestina,Yemen hawa uenda ndo Jews halisi kwa Asili zao....But all in All IsRael ya sasa ni ovyo kuliko tunatunavyodhania.....Yan nilishangaa kuna siku ya Mashoga uko Telaviv na ni Mashoga na Masagaji yani yanatoka Dunia nzima yanaenda Israel na inakua ni sherehe kubwa yani nilichoka....watu km wanabisha wa Google waone usodoma na ugomola unaoendelea Israel....Na Kwann Marekan anatumia pesa na silaha nyingi sana kuilinda Israel Je Israel ya sasa inatengenezwa na US/UK ndo hao tunaaminishwa ni wana wa Israel
 

Atleast umeonyesha level ya kutilia mashaka kwa kile unachokiona na kukisikia ilala ukitaka kupata ukweli wa u-Fake wa hili taifa la israel la sasa soma hayo maandiko niliyoyaweka hapo juu
Kusema kuwa palestina/yemen/Ethiophia/eritrea/misri na somalia inawezekana ikawa kweli au isiwe kweli sababu ile laana ya wayahudi kumkataa yesu walilaaniwa na kutawanywa kama watumwa/mateka duniani koote na kwakuwa hawatatubu hawata rudi kwenye nchi yao mpaka Yesu mwenywe atakavyokuja kwa mara ya 2 so wanaweza kuwa pahala popote pale duniani na hata bila kujijua kama wao ni wayahudi!! Lakini maisha yao yatakuwa ni ya laana dhiki na matatizo soma kumbukumbu la torati 28 zile laana zoote za kutokutii maagaizo ya Mungu zatakuwa evident kwenye maisha yao! So usikute hawa tunaowaita wapalestina ndio wayahudi halisi na hawa waisrael wa sasa ndio wapalestina!!!, ila mimi nalolijua ni hili “HAO WALIOPO PALE ISRAEL SASAHIVI SIO WAYAHUDI HALISI NA WAO WANAJUA HIVYO
 
Waarabu Misri wameingia mwaka 1200 Mkuu. Many deeds have been done by Blacks
 
Blaza nimekuelewa sana nimekua na maswali mengi sana juu ya hii Israeli ambayo ata bendera yake inaalama za wajenzi huru nashkuru km umeniamsha ngoja nipitie reference ulizotuma
 
Ile alama ya bendera inamaanishaa nini mkuu ??

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Ile alama ya bendera wao hawa wayahudi fake wanaiita "STAR OF DAVID" yaani nyota ya Daudi kimsingi katika Biblia hakuna sehemu inayoelezea mfalme Daudi alikuwa na nyota! nitakuelezea maana ya ile nyota ni nn.
Kipindi wayahudi wamemuasi Mungu walipochokakumsubiria musa alipokaa siku 40 akiongea na Mungu mlimani ,walichonga sanamu wakaanza kuiabudu sasa ukija ukisoma kwenye kitabu cha Matendo ya Mitume 7:1-43 mtume stefano alikuwa akiwasimulia wana wa israel habari za ibrahimu,Yakobo hadi Musa na kwenye ule mstari wa 43 anasema hivi ....
"Nanyi mlichukua hema ya Moleki,na nyota za Mungu wenu Refani,Sanamu mlizozifanya ili kuziabudu;Nami nitawafahamisha mwende mbali kupita babeli"
Soma pia na Amosi 5:26-27
so wayahudi wale wa zamani walipokuwa wakimuasi Mungu walikuwa wanatengeneza miungu yao na kuabudu nyota! sasa hawa fake wa sasa hv wameweka ile nyota wakidanganya kuwa ni nyota ya Daudi kimsingi si kweli Daudi hakuwahi kuwa na nyota ,ile nyota ni alama ya makafara ya Freemasons/illuminati na organisation nyingine za kisheti,ile nyota ni alama ya shetani mwenyewe maana kuna maandiko yanamtaja shetani kama nyota ya asubuhi(Venus) isaya 14:12! ukifuatilia kwenye vitabu vya freemansons/ilimunati wanatumia ile nyota kufanyia kafara!
 
Blaza nimekuelewa sana nimekua na maswali mengi sana juu ya hii Israeli ambayo ata bendera yake inaalama za wajenzi huru nashkuru km umeniamsha ngoja nipitie reference ulizotuma
Soma kwa makini mkuu na wewe uchunguze kwa kadri ya uelewa wako na Mungu atakavyokufunulia haya mambo tunayajua kwa neema tu ila sio kwa utashi wetu maana waliodanganyika ni wengi kuliko wanaoijua kweli!
 
.m navofahamu ile alama pembetatu ya chini inamaanisha jua na pembetatu ya chini inamaanisha mwezi




Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
.m navofahamu ile alama pembetatu ya chini inamaanisha jua na pembetatu ya chini inamaanisha mwezi




Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app

Inaweza kumaanisha chochote kile kwenye ulimwengu wa kishetani ila kibiblia si nyota ya david kama wanavyosema wana maana yao nyingine kuiweka pale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…