Uhalisia wa taifa la Israeli

Hongera mkuu, wengine watakuja na matusi bila ya ushahidi ila usivunjike moyo !!! Nimefaidika hapa . Ahsante
 
Hongera mkuu, wengine watakuja na matusi bila ya ushahidi ila usivunjike moyo !!! Nimefaidika hapa . Ahsante
Hii ni shida sana hili jukwaa watu wanaongozwa na mahaba ya kidini kuliko uhalisia wa mambo ndio maana wengi wameishia kumtukana mtoa mada ingawa ana hoja nzito sana
 
Si ndio History hiyo hiyo inayoamini katika Evolution na sio Creation? inayoamini binadamu alitokana na nyani? History imetudanganya mengi sio kitu cha kuamini,amini maandiko ndugu yangu
mtoa mada nasikia kwenye biblia kuna kitabu kilitolewa ambacho kinaelezea vizuri sana kuhusu watu weusi,hiki kitabu kimeandikwa na enock(idrisa)

je kuna ukweli wowote hapo?
 
mtoa mada nasikia kwenye biblia kuna kitabu kilitolewa ambacho kinaelezea vizuri sana kuhusu watu weusi,hiki kitabu kimeandikwa na enock(idrisa)

je kuna ukweli wowote hapo?
hapana mkuu sidhani kama kuna ukweli hapo
 
Ogopa laana ya Mungu YEHOVA kila silaaniye Israel atalaaniwa na yule aibarikie naye atabarikiwa.
siyo Israeli hiyo unayoiona sasa. ingekuwa hivyo Urusi, China, Germany, Saudi arabia, Misri na kwingineko wangekuwa maskini sana. badala yake sisi wajinga wa dunia ya tatu tunaowashobokea umaskini, ujinga, njaa, magonjwa ndo yetu. pia maandiko hayakusema ailaniye Israel atalaaniwa. Maandiko yalisema kuhusu Ibrahimu kuwa ambarikiye atabarikiwa na amlaaniye atalaaniwa. Ibrahimu ni baba wa mataifa mengi. Ismail alibarikiwa na alitengeneza nataifa 12, Yakobo makabila 12, Esau na yeye alitengenea Taifa lake. hao wotye ni wa uzao wa Ibrahimu. hao wanaojiita Wayahudi unawashobokea ni wabaguzi, wakatili na watu wasio na huruma. wamekwisha kosa uhalali wa kuwa wateule.
 

Subiri matusi , hongera kwa ufafanuzi !!!!
 
subiri waisraeli wa kidini watakavyokushukia kwa matusi,
 
kama hujaelewa kivipi wamisri walikua weusi bola ungeuliza kuliko kuleta kejeli ilhali huna hoja na hujui lolote, mbona jamaa katueleza vizuri sana tena kwa kutumi shahidi za kihistoria na kibiblia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…