Uhalisia wa taifa la Israeli

Uhalisia wa taifa la Israeli

Vifungu vya kitabu cha wimbo ulio bora hujavielewa..
Mwandishi kila anaposema ana ngozi nyeusi anaelezea na sababu iliyomfanya kuwa na ngozi nyeusi.
Kuna sehemu kasema ni njaa,kuna sehemu kasema ni mateso.
Kumbe basi huenda hakuwa na ngozi nyeusi ila kutokana na maadhi ya madhila aliyopata ndio yakapelekea kuwa na ngozi nyeusi.
Rudia kuisoma hiyo mistari utaelewa
 
d44d9f6381618b87beec649eb1579e02.jpg

80f66fc22b5536c17283940124074176.jpg

Unajua Israel sio wema kama unavyoaminishwa be it from hivyo vitabu vyao mnavyo kesha mnasoma makanisani au kwenye media zao.

Kuna mengi nyuma ambayo hawataki myajue na kwakua na wewe hujitambui unapelekwa pelekwa tu kama puppet. Huku hao puppeteers wakikufanya ucheze wimbo wowote ambao wao wanaona unafaa.

Amka bhana, Kwanini Waafrika mnakua brainwashed kiasi hicho, we kila kitu ndio hata hutaki kuhoji !?!?
Sasa ww umeyajuaje?
 
kuhusu weusi,ukifuata history itakwambia kuna kipindi Cush empire ilijipanua mpaka misri hadi caanan,
wacush ni weusi,that is why,damu zikaingiliana.
Kuhusu huwezi faidika na kitu ukiwaunga mkono wapalestina,kwani kwa hawa wazungu wa israel unafaidika nini mkuu?,
netanyau kaja africa juzi hajaacha hata kitu cha kuonyesha atawafaidisha nini.
Heri wapalestina kipindi cha mapambano ya makaburu walikuwa na mchango wa katika mapambano.
Ukiona wayahudi wanakuletea msaada ujue kuna interest zao hapo zimejificha.

Kama sikosei kwa mjibu wa bible alieambiwa ,atakaekulaani nami nitamlaani,ni Abraham.
Abraham ni baba wa mataifa mengi sio israel pekee,
abrahamu hakuwa myahudi,

wayahudi ni watu cunning,wakayageuza maandiko,na kuiba baraka za Mungu kwa abrahamu ili ionekane wao ndo walibarikiwa.
Yaani kama yakobo alivyomtapeli babake isaka na kupora baraka za Esau,wana wa jacobo,yaani waisrael wakajiporea baraka zoooote za Mungu kwa abrahamu ziwe zao pekee,
wakayaspin maandiko na kujianzishia mungu wa taifa lao pekee,Hao ndio wayahudi wamejaa hila kuliko binadamu yeyote.
Wanatukuza kipande cha ardhi kuliko wanavyomtukuza mungu,kwasababu mungu wao anahusianishwa na mambo ya ardhi
Ww umejuaje,una ushahidi?
 
Wamisri ni dark kabisaa..... Baada ya kuingiliana na waarabu ndo wamekuwa weupe by some extent, ila mpaka sasa majority yao kuna dark wengibsana.... Wamisri hawajawahi kuwa weupe ilo lipo wazi kabisa.
Mbona salah ni mweupe..kwenye timu yao ya taifa kuna black wangapi?
 
Vifungu vya kitabu cha wimbo ulio bora hujavielewa..
Mwandishi kila anaposema ana ngozi nyeusi anaelezea na sababu iliyomfanya kuwa na ngozi nyeusi.
Kuna sehemu kasema ni njaa,kuna sehemu kasema ni mateso.
Kumbe basi huenda hakuwa na ngozi nyeusi ila kutokana na maadhi ya madhila aliyopata ndio yakapelekea kuwa na ngozi nyeusi.
Rudia kuisoma hiyo mistari utaelewa
weka hivyo fivungu hapa basi tuvinyambue
 
Mbona salah ni mweupe..kwenye timu yao ya taifa kuna black wangapi?
Hapa inaongelewa misri ya enzi za kina Abraham sio misri ya hawa waarabu waliotokea mashariki ya kati baadae sana so unapoongelea historia usiangalie ya sasa angalia ya nyuma ukitaka kujua hilo jiulize kivipi Wale watu weusi kabisa wazimbabwe wamegundulika ni pure ISRAELITES kuliko hata hao waashkenazi waliopo ISRAEL ya sasa
 
Aaah ok nimeelewa kwa hiyo manabii waliopita walikua wayahudi
nisawa na kuuliza watu wa zamani(1964 kushuka chini) kwenye hili taifa walikuwa watanzania!
mwanzo lilikuwa taifa moja linaitwa israel lenye kabila 12 ndani yake so manabii wa kipindi hicho walikuwa waisrael au wana wa israel then baadaye kabila 10 zikajitenga zikaanzisha taifa lao na zile kabila 2 zilizobaki zikaendeleza yale yoote yaliyokuwa yanafanywa awali wakati zikiwa kabila 12 ,hili taifa lililobakia la kabila 2 ndio likachukua jina Yahudi(Jews) au wayahudi dini walioyokuwa wanaifuata ni ile ile ya zamani wakati taifa likiwa na kabila 12,so manabii waliofuata walikuwa wanafuata dini ile ile ya zamani,so ukiita dini ya kiyahudi/ unazungumzia kitu kile kile na ukisema manabii wa zamani walikuwa wanawa israel na walikuwa wanafuata dini ya israel bado dini hiyo hiyo ina msingi moja (Torati) ila kwa vipindi tofauti,kipindi likiwa taifa la kabila 12 (dini ya wana wa israel) na kipindi likiwa taifa la kabila 2(dini ya kiyahudi), na usibabaike na dini,Dini ni taratibu tu au njia ambazo tumejiwekea wanadamu namna ya kumuabu Mungu

NB:
Wayahudi sio kabila bali ni Taifa ambalo ndani yake kuna kabila 2 (YUDA na Benjamini)
Wasamaria sio kabila bali ni taifa lina kabila zile 10 zilizojitenga
Israel sio kabila bali ni Taifa ambalo ndani yake kuna kabila 12 (wana wa Yakobo wale 12)
 
Napataje number zako Mzee za simu nataka kujua mengi kupitia wew tafadhali
 
Baada ya wana wa israel kuingia Kaanani walikuwa wanatawaliwa na Joshua sasa baada ya Joshua kufa wakawa wanatawaliwa na "WAAMUZI" au ma JAJI waliokuwa wanafuata sheria ya Musa (Torati) kwa muda wa miaka 400 sasa baada ya hiyo miaka kuisha wakatamani na wao wawe na Mfalme kama tu mataifa mengine yalivyokuwa na wafalme wake 1Samuel 8:5 Mungu akawachagulia SAULI ambaye alitawala miaka 40,akafuata mfalme DAUDI naye alitawala miaka 40,then akafuata mfalme SULEIMAN naye pia alitawala miaka 40 (ndio hiki kipindi cha mfalme Suleiman Israel walijenga hekalu la kwanza) sasa wakati Suleiman kawa mzee alibadirika akamuacha Mungu akaenda kuoa Binti yake farao ambaye alimbadirisha moyo wake 1Wafalme 3:1 na kuendelea utaona suleiman alibadirika tabia akaacha kumcha Mungu,sasa matokea yake ya kukengeukaMungu akamwambia Suleiman kuwa katika kabila 12 za Israel Mtoto wake ambaye angetwaa ufalme baada ya kifo chake hatatawala kwenye kabila 10! kimsingi nyumba ya suleiman ilinyang"anywa madaraka kutoka kabila 12 kwenda kabila mbili,Sasa baada ya kifo cha Suleiman Ufalme wa Israel ukagawanywa sehem mbili kusini na kaskazini,
Ufalme wa kaskazin ulikuwa na kabila 10 (Ruben,Simione,Issachar,Zebuluni,Dani,Naftali,Gadi,Asheri,Ephraim,Manase) na ulikuwa unatawaliwa na wafalme ambao hawakuwa wanatokea kwenye ukoo wa Suleiman na Daudi ndio huu ufalme ulibakia na jina Israel na Mji wa Samaria ndio ukawa mji wao mkuu 1Wafalme 16:22-23.
Ufalme wa kusini ulikuwa na kabila mbili(Benjamin na Yuda ) zilizobakia na ulikuwa unatawaliwa na wafalme waliotokana na ukoo wa Suleiman na Daudi Aliitwa Rehoboam (1Wafalme 12:21)huu ufalme ulikuwa unajiita JUDAH na Yerusalem ndio ukawa mji wao mkuu.Hapa sijaweka kifungu nimejitahidi kufupisha ila hayo yoote niliyoyasema yapo kitabu cha 1 Wafalme mwanzo hadi mwisho.
Sasa kuanzia 2Wafalme16:6 ndio neno wayahudi(JEWS) likaanzia hapo likimaanisha wakazi wa Judah au Judea na Hebrew ilianza kutumika nyuma kidogo, Mwanzo 14:13,39:14 biblia imemtaja Abraham kama mwebrania (Hebrew),Hata Musa alimuua mmisri kwasababu alikuta anampiga Mwebrania nduguyake Kutoka 2:11 so watoto wa Abraham,Isaka na Yakobo hadi kuja kwa hawa waisrael jina jingine walikuwa wanaitwa Waebrania( Hebrew) ila ukisema Jews(wayahudi) unamaanisha kabila mbili tu kati ya zile 12 Benjamini na Judah ila kwapamoja wanaitwa Wana wa israel

fact upo vizurii sana nimekucheki number zangu inbox unipe maarifa zaidi mkuu
 
Mkuu kwa sasa usije kutegemea tena Israel kupigwa(huu ni ukweli mchungu sana sana masikioni mwa wengi) hawa jamaa wameteseka sana, wameteswa sana wakateswa, miaka 400 waliyoteswa pale Misri si midogo, mateso ya mwisho ni kwa Hitra Adolf, kwa sasa hawatapigwa wala kushindwa tena
 
Back
Top Bottom