Hoja namba 1:KUMKATAA YESU KAMA MASIHA
Q.1. Je Ni kweli Waisraeli wote walimkataa Yesu.?
Q.2. JE PETRO, Paulo, Yohane ni raia wa asili gani?
Q.3. Hiyo sensa ya Tel Aviv kuongoza kwa Ushoga umeipata wapi?
Q.4. Uyahudi una unga mkono ushoga?
Q.5. Wakristo wanatofauti gani na wayahudi katika kumkubali Yesu?
Hoja namba 2: 2.NABII aliye WARUDISHA HAWA WAYAHUDI ISRAELI?
Q. Je Mungu ana njia moja katika utendaji wake.?
Umeshindwa kutambua Majira na Nyakati za Sasa. Ya kua Mwokozi ni Yesu duniani.
Uongo wako ni kwasababu haujui kua Moses alipowatoa wana wa Israeli nchini Misri ilikua ni agano la kwenda kumtumika Mungu wa Israeli pale Israel.
Sasa nabii mwingine akija sasa hivi kwa style hiyo itabidi tujiulize kama Agano la Yesu kua mkombozi wa wanadamu wote umefikia kikomo lini?!.
So kama ungekua witty hayo usingekua na muda wa kubabaisha kuhusu nabii wa Israel leo hii
Soma kuhusu Uraia wa Israel unavyopatikana.
"Citizenship by residence was intended for non-Jewish denizens of the British Mandate of Palestine, such as Arabs, Druze and Bedouin, who were considered to be associated with Palestine during the period immediately prior to the 1948 Arab-Israeli War."
Link:
Israeli nationality law - Wikipedia
Hoja namba 3: 3."UFUNUO WA YOHANA 2:9 KJV VERSION"
"NAIJUA DHIKI YAKO NA UMASKINI WAKO,(LAKINI U TAJIRI) NAJUA NA MATUKANO YA HAO WASEMAO YA KUWA NI WAYAHUDI,NA SIO BALI NI SINAGOGI LA SHETANI".
"Yesu anasema Heri walio Masikini wa Roho"
Wewe kwenye maelezo yako kupitia huu mstari hapo juu, unaeleza kua Wayahudi ni matajiri wa Kiroho. Huoni unaji confuse?.
Hoja namba 4:4.KUCHUKULIWA UTUMWANI LUKA
Iko very Clear, Wayahudi wako katika nchi zingine. Hivyo Sio WANA(Watoto) wa Nchi hizo, na ndio maana wamekua wakiishi na kupata mateso makali(Rejea German zama za Hitler, Pia Russia zama za Soviet Union.
Hali hii ndio iliwalazimu kufikiria kurudi kuja kuunda Taifa lao.
Soma kuhusu watu wawili Theodore Herlz na Chaim Wizmann.
Umekua ukidanganya kuhusu Utumwa Mtu mweusi. Unadai ni watu weusi pekee wamefanywa watumwa katika Historia.
Hujasoma Hata zama Roman empire. Soma historia ya Barbarians, Atilla na Huns. Utaelewa hata lile jukwa kule Italia(Koloso) lililokua likitumika kujaza watazamaji wanaoshuhudia kupambanisha watumwa(Gladiators) mpaka wanakufa. ungejua Watumwa hawakua watu weusi pekee. Ila kwakua una exposure ndogo. Husomi Vitabu vyenye positive information, . unadandia conspirancy theorists kama vyanzo vyako vya habari. Na bibilia unaitafsiri itimize malengo yako maovu. Kama afanyavyo nabii
Titto
Hoja namba 5: RANGI YA Wayahudi
Umenukuu
maombolezo 4:8 "Nyuso zao ni nyeusi kuliko makaa; Hawajulikani katika njia kuu; Ngozi yao yagandamana na mifupa yao Imekauka, imekuwa kama mti
Jibu: Text kama hii ume quote kisha ukaacha hiyo ya 'ngozi kugandamana na mifupa.' Hii ni simulizi ya mtu alie mgonjwa na mwenye njaa kali. Unaitumia kumtafsiri race ya Mwisraeli ?. Tuache kutumia Bibilia kama Nabii Titto. Unapoandika jambo ni vyema ukasoma kwa makini.
Umenukuu
1.wimbo ulio bora 1:6 "Msinichunguze kwa kuwa ni mweusi-mweusi, Kwa sababu jua limeniunguza. Wana wa mamangu walinikasirikia, Waliniweka niwe mlinzi wa mashamba ya mizabibu; Bali shamba langu mwenyewe sikulilinda"
Jibu: Hii hapa juu anakueleza sababu ya yeye kupata weusi. Ni kupata mateso ya kuchomwa na jua.
Ni Swala la wewe kutafakari hao wanaomuona yeye kawa Mweusi wana rangi gani!?. Ni swala la kutumia Conscience tu. Ili ujitambue kama kweli unaweza jenga hoja mbele za wasomi. Au umekuja kuandika Conspiracy theorists hapa.
Umenukuu, 3.maombolezo 5:10 "Ngozi yetu ni nyeusi kama tanuu; Kwa sababu ya hari ya njaa
Jibu: Hii hapa ameshaeleza sababu. Ni mateso.
Umenukuu
1.AYUBU 30:30 anajielezea rangi yake ilivyo "Ngozi yangu ni nyeusi, nayo yanitoka, Na mifupa yangu imeteketea kwa hari.
Jibu: In short unakazia kwenye Rangi unapuuza kipengele kinachoendelea ambacho kinachoeleza kuhusu mifupa yake. Cherry picking uliofanya sio kwa bahati mbaya bali ni Kwasababu ya diabolic motive uliyonayo ndani mwako.
Hivi ni Nani hajui kua Ayubu alikua kwenye Mateso?. Na weusi anaoueleza hapa ni kielezi cha mateso yake. Sio swala la Race yake.
Summary:-
By ze way umekua ukiaminisha kuhusu mateso wanayopata wana wa Israeli wa sasa, lakini hapa pote umenukuu mateso yao kabla ya Kristo. Which means mateso ya wana wa Israel hayajaanza leo. Na hii inathibitisha kua unabii wako unaoutafsiri kupitia Bibilia Takatifu ni Invalid.
Sababu nyingine unadai ilikua rahisi Wayahudi kukimbilia Misri kwasababu wanafanana na watu wa Huko. Well, lakini Unasahau kua wamisri sio Weusi. Sasa kama wayahudi ni weusi wanafananaje na wamisri?
Embecile!.
Ufafanuzi kuhusu Rangi za watu.
Eneo la kijiografia. Watu hufanana na mazingira yao, kama njia inayoweza kuwafanya waweze kuyamudu.(adaptation).
Waafrica wana Lipsi Pana ili ku regulate joto. Kwakua wanakaa kwenye nchi za Tropical.
Wazungu wana lipsi Nyembamba kwasababu wengi wanaishi maeneo ya Temperate.
Waafrica ni weusi kwasababu Melani inasaidia Kuzuia mionzi hatari ya Jua kupenya kwenye Ngozi. Ja jua la africa ni la Kitropic.
Evolution sio ya siku moja.
Intermarriage;- kupita intermarriage na procreation. Watu hubadilika hata ile Asili kutoweka.
Japo haiwezi kuisha kwenye DNA Strand. Ila itazidi kua ndogo.
WaIsrael waliokimbalia Ulaya, wanauwezekano mkubwa wa kufananna na wenyeji wa huko kwasababu za kisosholojia.
Ndio maana kuna Wayahudi waarabu, Wayahudi weusi na weupe nk. Hii haiondoi dhana kua wao ni wayahudi.
Kwakua unakiri mwenyewe kua wayahudi walitawanyika ulimwengu wote. Itashangaza kama utakataa kukutana na wayahudi waliofanana na wazungu. Lakini ukawakubali wayahudi waliofanana na Waafrica.
Pia watu weupe ndio wakwanza kuiona Nuru ya Elimu. Haishangazi kama wayahudi weupe wa Huko wakawa ndio Waliopata wazo la kuunda Taifa lao, na wakaweza kulitekeleza wazo hilo kwa sapoti ya wazungu wa Ulaya.
Manake hata kwa upande wa Waafrika. Tunaona jinsi watu weusi waliozaliwa Ulaya na America ndio wameweza kufanya makubwa katika dunia. Kama vile kuunda Choo cha Kukaa, kufanya Operesheni ya Kugawa vichwa vya watoto walioungana(Soma kuhusu Benjamin Carson) kua Raii wa Taifa kubwa(Msome Barack Obama)
Kasome kuhusu Genetic, Mutation, uelewe vizuri madai yako. Usikimbie umande.
Ni wazi kua Unatatizo la Anti semitic.(Chuki dhidi ya wayahudi/waisraeli). Hizi documents ulizokusanya zote ni ili kutimiza azma yako Ovu na yenye kueneza Chuki dhidi ya waIsraeli.
Umewatuhumu wa Israel kumiliki kila kitu. Kwa sababu ambazo ni abstract. Hii ni hali ningeiita 'Jewish phobia'
Hakika huwezi zuia mpango wa Mungu.