Uhalisia wa taifa la Israeli

Uhalisia wa taifa la Israeli

Kuna watu kwa masuala haya huwa wanaifanya viziwi. Huwaambii lolote. Na watakuja hapa kukupinga.
 
Yaani sajaona ulicho andika ndugu yangu,kama kuna sehemu nimedanganya au kukosea Weka maandiko yangu against yako ambayo wewe unaona ndio yapo sahihi, hoja inavyokosolewa na hoja sio hiyo mipasho uliyoandika hapo juu
Hoja namba 1:KUMKATAA YESU KAMA MASIHA

Q.1. Je Ni kweli Waisraeli wote walimkataa Yesu.?
Q.2. JE PETRO, Paulo, Yohane ni raia wa asili gani?
Q.3. Hiyo sensa ya Tel Aviv kuongoza kwa Ushoga umeipata wapi?
Q.4. Uyahudi una unga mkono ushoga?
Q.5. Wakristo wanatofauti gani na wayahudi katika kumkubali Yesu?

Hoja namba 2: 2.NABII aliye WARUDISHA HAWA WAYAHUDI ISRAELI?
Q. Je Mungu ana njia moja katika utendaji wake.?

Umeshindwa kutambua Majira na Nyakati za Sasa. Ya kua Mwokozi ni Yesu duniani.

Uongo wako ni kwasababu haujui kua Moses alipowatoa wana wa Israeli nchini Misri ilikua ni agano la kwenda kumtumika Mungu wa Israeli pale Israel.
Sasa nabii mwingine akija sasa hivi kwa style hiyo itabidi tujiulize kama Agano la Yesu kua mkombozi wa wanadamu wote umefikia kikomo lini?!.

So kama ungekua witty hayo usingekua na muda wa kubabaisha kuhusu nabii wa Israel leo hii

Soma kuhusu Uraia wa Israel unavyopatikana.
"Citizenship by residence was intended for non-Jewish denizens of the British Mandate of Palestine, such as Arabs, Druze and Bedouin, who were considered to be associated with Palestine during the period immediately prior to the 1948 Arab-Israeli War."

Link: Israeli nationality law - Wikipedia

Hoja namba 3: 3."UFUNUO WA YOHANA 2:9 KJV VERSION"
"NAIJUA DHIKI YAKO NA UMASKINI WAKO,(LAKINI U TAJIRI) NAJUA NA MATUKANO YA HAO WASEMAO YA KUWA NI WAYAHUDI,NA SIO BALI NI SINAGOGI LA SHETANI"
.
"Yesu anasema Heri walio Masikini wa Roho"

Wewe kwenye maelezo yako kupitia huu mstari hapo juu, unaeleza kua Wayahudi ni matajiri wa Kiroho. Huoni unaji confuse?.

Hoja namba 4:4.KUCHUKULIWA UTUMWANI LUKA
Iko very Clear, Wayahudi wako katika nchi zingine. Hivyo Sio WANA(Watoto) wa Nchi hizo, na ndio maana wamekua wakiishi na kupata mateso makali(Rejea German zama za Hitler, Pia Russia zama za Soviet Union.
Hali hii ndio iliwalazimu kufikiria kurudi kuja kuunda Taifa lao.

Soma kuhusu watu wawili Theodore Herlz na Chaim Wizmann.

Umekua ukidanganya kuhusu Utumwa Mtu mweusi. Unadai ni watu weusi pekee wamefanywa watumwa katika Historia.

Hujasoma Hata zama Roman empire. Soma historia ya Barbarians, Atilla na Huns. Utaelewa hata lile jukwa kule Italia(Koloso) lililokua likitumika kujaza watazamaji wanaoshuhudia kupambanisha watumwa(Gladiators) mpaka wanakufa. ungejua Watumwa hawakua watu weusi pekee. Ila kwakua una exposure ndogo. Husomi Vitabu vyenye positive information, . unadandia conspirancy theorists kama vyanzo vyako vya habari. Na bibilia unaitafsiri itimize malengo yako maovu. Kama afanyavyo nabii
Titto

Hoja namba 5: RANGI YA Wayahudi
Umenukuu
maombolezo 4:8 "Nyuso zao ni nyeusi kuliko makaa; Hawajulikani katika njia kuu; Ngozi yao yagandamana na mifupa yao Imekauka, imekuwa kama mti

Jibu: Text kama hii ume quote kisha ukaacha hiyo ya 'ngozi kugandamana na mifupa.' Hii ni simulizi ya mtu alie mgonjwa na mwenye njaa kali. Unaitumia kumtafsiri race ya Mwisraeli ?. Tuache kutumia Bibilia kama Nabii Titto. Unapoandika jambo ni vyema ukasoma kwa makini.

Umenukuu
1.wimbo ulio bora 1:6 "Msinichunguze kwa kuwa ni mweusi-mweusi, Kwa sababu jua limeniunguza. Wana wa mamangu walinikasirikia, Waliniweka niwe mlinzi wa mashamba ya mizabibu; Bali shamba langu mwenyewe sikulilinda"

Jibu: Hii hapa juu anakueleza sababu ya yeye kupata weusi. Ni kupata mateso ya kuchomwa na jua.

Ni Swala la wewe kutafakari hao wanaomuona yeye kawa Mweusi wana rangi gani!?. Ni swala la kutumia Conscience tu. Ili ujitambue kama kweli unaweza jenga hoja mbele za wasomi. Au umekuja kuandika Conspiracy theorists hapa.

Umenukuu, 3.maombolezo 5:10 "Ngozi yetu ni nyeusi kama tanuu; Kwa sababu ya hari ya njaa

Jibu: Hii hapa ameshaeleza sababu. Ni mateso.

Umenukuu
1.AYUBU 30:30 anajielezea rangi yake ilivyo "Ngozi yangu ni nyeusi, nayo yanitoka, Na mifupa yangu imeteketea kwa hari.

Jibu: In short unakazia kwenye Rangi unapuuza kipengele kinachoendelea ambacho kinachoeleza kuhusu mifupa yake. Cherry picking uliofanya sio kwa bahati mbaya bali ni Kwasababu ya diabolic motive uliyonayo ndani mwako.

Hivi ni Nani hajui kua Ayubu alikua kwenye Mateso?. Na weusi anaoueleza hapa ni kielezi cha mateso yake. Sio swala la Race yake.

Summary:-
By ze way umekua ukiaminisha kuhusu mateso wanayopata wana wa Israeli wa sasa, lakini hapa pote umenukuu mateso yao kabla ya Kristo. Which means mateso ya wana wa Israel hayajaanza leo. Na hii inathibitisha kua unabii wako unaoutafsiri kupitia Bibilia Takatifu ni Invalid.

Sababu nyingine unadai ilikua rahisi Wayahudi kukimbilia Misri kwasababu wanafanana na watu wa Huko. Well, lakini Unasahau kua wamisri sio Weusi. Sasa kama wayahudi ni weusi wanafananaje na wamisri?
Embecile!.

Ufafanuzi kuhusu Rangi za watu.

Eneo la kijiografia. Watu hufanana na mazingira yao, kama njia inayoweza kuwafanya waweze kuyamudu.(adaptation).
Waafrica wana Lipsi Pana ili ku regulate joto. Kwakua wanakaa kwenye nchi za Tropical.
Wazungu wana lipsi Nyembamba kwasababu wengi wanaishi maeneo ya Temperate.

Waafrica ni weusi kwasababu Melani inasaidia Kuzuia mionzi hatari ya Jua kupenya kwenye Ngozi. Ja jua la africa ni la Kitropic.

Evolution sio ya siku moja.
Intermarriage;- kupita intermarriage na procreation. Watu hubadilika hata ile Asili kutoweka.
Japo haiwezi kuisha kwenye DNA Strand. Ila itazidi kua ndogo.

WaIsrael waliokimbalia Ulaya, wanauwezekano mkubwa wa kufananna na wenyeji wa huko kwasababu za kisosholojia.

Ndio maana kuna Wayahudi waarabu, Wayahudi weusi na weupe nk. Hii haiondoi dhana kua wao ni wayahudi.

Kwakua unakiri mwenyewe kua wayahudi walitawanyika ulimwengu wote. Itashangaza kama utakataa kukutana na wayahudi waliofanana na wazungu. Lakini ukawakubali wayahudi waliofanana na Waafrica.

Pia watu weupe ndio wakwanza kuiona Nuru ya Elimu. Haishangazi kama wayahudi weupe wa Huko wakawa ndio Waliopata wazo la kuunda Taifa lao, na wakaweza kulitekeleza wazo hilo kwa sapoti ya wazungu wa Ulaya.

Manake hata kwa upande wa Waafrika. Tunaona jinsi watu weusi waliozaliwa Ulaya na America ndio wameweza kufanya makubwa katika dunia. Kama vile kuunda Choo cha Kukaa, kufanya Operesheni ya Kugawa vichwa vya watoto walioungana(Soma kuhusu Benjamin Carson) kua Raii wa Taifa kubwa(Msome Barack Obama)

Kasome kuhusu Genetic, Mutation, uelewe vizuri madai yako. Usikimbie umande.

Ni wazi kua Unatatizo la Anti semitic.(Chuki dhidi ya wayahudi/waisraeli). Hizi documents ulizokusanya zote ni ili kutimiza azma yako Ovu na yenye kueneza Chuki dhidi ya waIsraeli.

Umewatuhumu wa Israel kumiliki kila kitu. Kwa sababu ambazo ni abstract. Hii ni hali ningeiita 'Jewish phobia'

Hakika huwezi zuia mpango wa Mungu.
 
Nimesoma hizo hoja namna ulivyozijibu nimejua bado umejaa sana ushabiki wa kuishabikia israel na wayahudi pasipo kuchunguza maandiko na historia kwa kina,kama kwenye hoja zoote hizo hujakuta hata moja ambayo imekushawishi kujua U-FAKE wa hili taifa na hao wanaojiita wayahudi sioni kama naweza kuja na maelezo ya ziada zaidi ya hayo niliyokueleza hapo juu,kwa mtu kama wewe na wa aina yakwako ni better ukaendelea na hicho unachokiamini na si hiki nilichopost hapa
 
Sababu nyingine unadai ilikua rahisi Wayahudi kukimbilia Misri kwasababu wanafanana na watu wa Huko. Well, lakini Unasahau kua wamisri sio Weusi. Sasa kama wayahudi ni weusi wanafananaje na wamisri?
Embecile!.

Upo sahihi kabisa katika uchambuzi wako. ni sahihi kabisa kwa leo kuwa na Wayahudi weusi, weupe na hata waarabu maana katika miaka yote ya kutawanyika intermarriage imefanyika sana. na pia suala la mabadiliko ya kijiografia imewathiri sana. lakini na wewe unasahau kuwa Wamisri wawakati ule siyo hao unaowaona leo. hao waarabu unaowaona leo katika Historia walivamia Afrika ya Kaskazini ikiwemo Misri katika karne ya 6.
 
Hoja namba 1:KUMKATAA YESU KAMA MASIHA

Q.1. Je Ni kweli Waisraeli wote walimkataa Yesu.?
Q.2. JE PETRO, Paulo, Yohane ni raia wa asili gani?
Q.3. Hiyo sensa ya Tel Aviv kuongoza kwa Ushoga umeipata wapi?
Q.4. Uyahudi una unga mkono ushoga?
Q.5. Wakristo wanatofauti gani na wayahudi katika kumkubali Yesu?

Hoja namba 2: 2.NABII aliye WARUDISHA HAWA WAYAHUDI ISRAELI?
Q. Je Mungu ana njia moja katika utendaji wake.?

Umeshindwa kutambua Majira na Nyakati za Sasa. Ya kua Mwokozi ni Yesu duniani.

Uongo wako ni kwasababu haujui kua Moses alipowatoa wana wa Israeli nchini Misri ilikua ni agano la kwenda kumtumika Mungu wa Israeli pale Israel.
Sasa nabii mwingine akija sasa hivi kwa style hiyo itabidi tujiulize kama Agano la Yesu kua mkombozi wa wanadamu wote umefikia kikomo lini?!.

So kama ungekua witty hayo usingekua na muda wa kubabaisha kuhusu nabii wa Israel leo hii

Soma kuhusu Uraia wa Israel unavyopatikana.
"Citizenship by residence was intended for non-Jewish denizens of the British Mandate of Palestine, such as Arabs, Druze and Bedouin, who were considered to be associated with Palestine during the period immediately prior to the 1948 Arab-Israeli War."

Link: Israeli nationality law - Wikipedia

Hoja namba 3: 3."UFUNUO WA YOHANA 2:9 KJV VERSION"
"NAIJUA DHIKI YAKO NA UMASKINI WAKO,(LAKINI U TAJIRI) NAJUA NA MATUKANO YA HAO WASEMAO YA KUWA NI WAYAHUDI,NA SIO BALI NI SINAGOGI LA SHETANI"
.
"Yesu anasema Heri walio Masikini wa Roho"

Wewe kwenye maelezo yako kupitia huu mstari hapo juu, unaeleza kua Wayahudi ni matajiri wa Kiroho. Huoni unaji confuse?.

Hoja namba 4:4.KUCHUKULIWA UTUMWANI LUKA
Iko very Clear, Wayahudi wako katika nchi zingine. Hivyo Sio WANA(Watoto) wa Nchi hizo, na ndio maana wamekua wakiishi na kupata mateso makali(Rejea German zama za Hitler, Pia Russia zama za Soviet Union.
Hali hii ndio iliwalazimu kufikiria kurudi kuja kuunda Taifa lao.

Soma kuhusu watu wawili Theodore Herlz na Chaim Wizmann.

Umekua ukidanganya kuhusu Utumwa Mtu mweusi. Unadai ni watu weusi pekee wamefanywa watumwa katika Historia.

Hujasoma Hata zama Roman empire. Soma historia ya Barbarians, Atilla na Huns. Utaelewa hata lile jukwa kule Italia(Koloso) lililokua likitumika kujaza watazamaji wanaoshuhudia kupambanisha watumwa(Gladiators) mpaka wanakufa. ungejua Watumwa hawakua watu weusi pekee. Ila kwakua una exposure ndogo. Husomi Vitabu vyenye positive information, . unadandia conspirancy theorists kama vyanzo vyako vya habari. Na bibilia unaitafsiri itimize malengo yako maovu. Kama afanyavyo nabii
Titto

Hoja namba 5: RANGI YA Wayahudi
Umenukuu
maombolezo 4:8 "Nyuso zao ni nyeusi kuliko makaa; Hawajulikani katika njia kuu; Ngozi yao yagandamana na mifupa yao Imekauka, imekuwa kama mti

Jibu: Text kama hii ume quote kisha ukaacha hiyo ya 'ngozi kugandamana na mifupa.' Hii ni simulizi ya mtu alie mgonjwa na mwenye njaa kali. Unaitumia kumtafsiri race ya Mwisraeli ?. Tuache kutumia Bibilia kama Nabii Titto. Unapoandika jambo ni vyema ukasoma kwa makini.

Umenukuu
1.wimbo ulio bora 1:6 "Msinichunguze kwa kuwa ni mweusi-mweusi, Kwa sababu jua limeniunguza. Wana wa mamangu walinikasirikia, Waliniweka niwe mlinzi wa mashamba ya mizabibu; Bali shamba langu mwenyewe sikulilinda"

Jibu: Hii hapa juu anakueleza sababu ya yeye kupata weusi. Ni kupata mateso ya kuchomwa na jua.

Ni Swala la wewe kutafakari hao wanaomuona yeye kawa Mweusi wana rangi gani!?. Ni swala la kutumia Conscience tu. Ili ujitambue kama kweli unaweza jenga hoja mbele za wasomi. Au umekuja kuandika Conspiracy theorists hapa.

Umenukuu, 3.maombolezo 5:10 "Ngozi yetu ni nyeusi kama tanuu; Kwa sababu ya hari ya njaa

Jibu: Hii hapa ameshaeleza sababu. Ni mateso.

Umenukuu
1.AYUBU 30:30 anajielezea rangi yake ilivyo "Ngozi yangu ni nyeusi, nayo yanitoka, Na mifupa yangu imeteketea kwa hari.

Jibu: In short unakazia kwenye Rangi unapuuza kipengele kinachoendelea ambacho kinachoeleza kuhusu mifupa yake. Cherry picking uliofanya sio kwa bahati mbaya bali ni Kwasababu ya diabolic motive uliyonayo ndani mwako.

Hivi ni Nani hajui kua Ayubu alikua kwenye Mateso?. Na weusi anaoueleza hapa ni kielezi cha mateso yake. Sio swala la Race yake.

Summary:-
By ze way umekua ukiaminisha kuhusu mateso wanayopata wana wa Israeli wa sasa, lakini hapa pote umenukuu mateso yao kabla ya Kristo. Which means mateso ya wana wa Israel hayajaanza leo. Na hii inathibitisha kua unabii wako unaoutafsiri kupitia Bibilia Takatifu ni Invalid.

Sababu nyingine unadai ilikua rahisi Wayahudi kukimbilia Misri kwasababu wanafanana na watu wa Huko. Well, lakini Unasahau kua wamisri sio Weusi. Sasa kama wayahudi ni weusi wanafananaje na wamisri?
Embecile!.

Ufafanuzi kuhusu Rangi za watu.

Eneo la kijiografia. Watu hufanana na mazingira yao, kama njia inayoweza kuwafanya waweze kuyamudu.(adaptation).
Waafrica wana Lipsi Pana ili ku regulate joto. Kwakua wanakaa kwenye nchi za Tropical.
Wazungu wana lipsi Nyembamba kwasababu wengi wanaishi maeneo ya Temperate.

Waafrica ni weusi kwasababu Melani inasaidia Kuzuia mionzi hatari ya Jua kupenya kwenye Ngozi. Ja jua la africa ni la Kitropic.

Evolution sio ya siku moja.
Intermarriage;- kupita intermarriage na procreation. Watu hubadilika hata ile Asili kutoweka.
Japo haiwezi kuisha kwenye DNA Strand. Ila itazidi kua ndogo.

WaIsrael waliokimbalia Ulaya, wanauwezekano mkubwa wa kufananna na wenyeji wa huko kwasababu za kisosholojia.

Ndio maana kuna Wayahudi waarabu, Wayahudi weusi na weupe nk. Hii haiondoi dhana kua wao ni wayahudi.

Kwakua unakiri mwenyewe kua wayahudi walitawanyika ulimwengu wote. Itashangaza kama utakataa kukutana na wayahudi waliofanana na wazungu. Lakini ukawakubali wayahudi waliofanana na Waafrica.

Pia watu weupe ndio wakwanza kuiona Nuru ya Elimu. Haishangazi kama wayahudi weupe wa Huko wakawa ndio Waliopata wazo la kuunda Taifa lao, na wakaweza kulitekeleza wazo hilo kwa sapoti ya wazungu wa Ulaya.

Manake hata kwa upande wa Waafrika. Tunaona jinsi watu weusi waliozaliwa Ulaya na America ndio wameweza kufanya makubwa katika dunia. Kama vile kuunda Choo cha Kukaa, kufanya Operesheni ya Kugawa vichwa vya watoto walioungana(Soma kuhusu Benjamin Carson) kua Raii wa Taifa kubwa(Msome Barack Obama)

Kasome kuhusu Genetic, Mutation, uelewe vizuri madai yako. Usikimbie umande.

Ni wazi kua Unatatizo la Anti semitic.(Chuki dhidi ya wayahudi/waisraeli). Hizi documents ulizokusanya zote ni ili kutimiza azma yako Ovu na yenye kueneza Chuki dhidi ya waIsraeli.

Umewatuhumu wa Israel kumiliki kila kitu. Kwa sababu ambazo ni abstract. Hii ni hali ningeiita 'Jewish phobia'

Hakika huwezi zuia mpango wa Mungu.
umemjibu vizuri sana najua kukubali ulichokiandika ni swala jengine kwake
 
Quran ni kitabu kilichotungwa ili kupotosha uokovu ulioletwa na yesu. Ni mpinga Kristo so usipende sana kukitumia
Qur'an siyo mpinga kristo, Qur'an kinatambuwa kwamba Yesu ndiye masiha, na masiha ametajwa mara 36 kwenye Qur'an wakati Muhammad ametajwa mara 3 tu,

Bikira Maria/ Mariam ndio mwanamkee pekee aliyetajwa kwenye Qur'an.

Tuache ujinga sasa tuanze kusoma hata dini tusizoziamini tuelewe upande wao maandiko yao yanasemaje na msingi wa imani yao ni upi.

Kwenye shahada za uislamu ni lazima umtambuwe Yesu kuwa ni mtume na ndio Masiha. Sasa hapo upinga kristo unatoka wapi?
 
umemjibu vizuri sana najua kukubali ulichokiandika ni swala jengine kwake

Karibia maswali yoote aliyouliza nimeyajibu kwenye muendelezo wa hii thread unaweza kuyasoma sasa kuelewa/kutokuelewa au kuamini/kutokuamini ni uamuzi wako utachagua ww
 
ila haujajibu kwa ufasaha wayahudi wenyewe wapo wapi sasahivi we umesema wapo kwenye mateso ungeelezea vizuri wapo wapi na mateso gani yanawakuta
 
hujasoma vizuri basa hata hizo reference nilizoweka,kwa ufupi nikwamba neno la Mungu siku zoote lazima litimie so ile laana ya wayahudi kutawanywa pale israel ilitokea mwaka 70 baada ya Yesu,Yerusalemu ilivamiwa na mfalme TITUS (from history) na wayahudi wakapigwa,wakauwawa,baadi wakakimbia na wengine wakachukuliwa mateka dunia nzima hadi leo hii.
Sasa nikasema wapo utumwani,hii haimaanishi wapo utumwani kwa ile tafsiri ya utumwa wa kipindi kile cha zamani kwamba unaona watu physically wanafungwa kamba wanaenda kuuzwa utumwani NO! utumwa niliouzingumzia ni zile laana zoote walizoambiwa na Mungu endapo wakikataa maagizo yao watazipata,zinapatikana kwenye Kumb 28....,
Na ukiniuliza wapo wapi ,bible inasema watatawanyika ulimwenguni koote, just kama zile kabila 10 za israel zilivyotawanyishwa kipindi kile baada ya kifo cha mfalme suleiman hadi leo hazijulikani ziliko!! na ndivyo hivyo hao wayahudi walivyotawanyishwa ulimwenguni koote japo kuna baadhi ya wagunduzi wamegundua traces za kiimani za wayahudi wakale wanaishi zimbabwe na south africa,wengine wamekutwa south america nk...ila hoja yangu nikuwa hawa waliopo pale leo hii sio wayahudi halisi ni fake! sababu nenola Mungu kamwe haliwezi kufitinika
 
Kwaio huko zimbabwe,south america south africa pia wana ile torati ya Musa maana tumeona wakina ezra,nehemia walivyokua uhamishoni walikua bado wanaifuata torati na sehemu walizoenda walikua wanatambulika na wanaendeleza ibada zao je huko wanaendeleza ibada zao?
 
jibu la swali la kwanza kuhusu uungu wa Yesu

1.Kuna Mungu mmoja tu ambaye anamwili(Yesu),ana Roho(Roho Mtakatifu) na ana Nafsi(Mungu) kwa pamoja hivi vitatu vinafanya Mungu Mmoja na nimakosa kutenganisha au kusema
'Mungu BABA,Mungu Mwana Na Mungu roho mtakatifu'!
Hakuna kitu kama hicho kuna Mungu mmoja tu ambaye amejidhihirisha katika sehemu tatu hizo nimezitaja hapo juu
ukisoma 1Timotheo 3:16 inasema hivi
"Na bila shaka siri ya utauwa ni kuu.Mungu alidhihirishwa katika MWILI,akajulikana kuwa na haki katika ROHO,akaonekana na malaika,akahubiriwa katika mataifa,akaaminiwa katika ulimwengu,akachukuliwa juu katika UTUKUFU"
Ukianza ku Break-Down(Kuuchambua) huo mstari utagundua amemzungumzia Yesu kuwa ni Mungu ambaye kajidhihirisha kwetu katika Mwili!,alishuka duniani katika mwili! yaani ni Mungu katika mwili,pia alionekana kuwa mwenye haki katika roho,na yupo juu katika utukufu!,YESU mwenyewe alisema "MIMI NA BABA TU WAMOJA" hakusema yeye ni Mungu mwana halafu kuna Mungu BABA!,Yohana 14:7 "kama mngalinijua mimi,mngalimjua baba,tangu sasa mnamjua,tena mmemwona" maana yake Yesu ni Mungu ila alijidhihirisha ktk mwili na walikuwa wanamuona wazi wazi na wasimtambue!!! (soma hizo comment zangu hapo juu nimeweka vifungu vingi sana vinavyoonyesha Uungu wa Yesu nikiweka hapa tena nitakuwa navirudia tu japo nimejitahidi kurudia vya muhimu)

2.Jibu la swali la pili ni hivi
Manabii woote waliopita (kabla na baada ya Yesu) hawakuwa na Dini tofauti(mwanzo walikuwa wanafuata dini ya kiyahudi,baadaye wakwa wanafuata dini yenye mafundisho ya Yesu) lakini walikuwa na imani katika Mungu mmoja wa Israeli,isaka na Yakobo na baadaye YESU kristo kupitia kanisa na sio miungu wengine,dini ni taratibu tu za kibinadamu tulizojiwekea hapa duniani kwa watu wenye misimamo inayofanana kuhusu jambo flani ndiomaana dini zikitofautiana kuhusu maswala ya msingi ya kiimani hutengana na ndiomaana tuna dini nyingi sana tangia enzi na enzi na dini haimpeleki mtu mbinguni bali matendo Yakobo 1.27 inaeleza dini gani safi
Yesu hakuwa anafuata mafundisho ya hao manabii wa zamani sababu hayo mafundisho yeye kama Mungu ndio aliyatoa kwao ili yafuatwe na sisi binadamu sio yeye,ndiomaana walikuwa wanamuona kama anavunja maandiko ya torati,akawaambia hakuja kuivunja torati bali kuitimiliza!!!! sababu yoote yalioandikwa na torati lazima yatimie ndio yeye sasa kaja kuyatimiliza ndiomaana unaona vitu vingi sana alikuja kuvitenda kinyume na torati hii ikiwemo SABATO,kuhubiria mataifa,kusamehe 7x70,ndoa ya mke mmoja,kuleta meza ya Bwana nk..... kiuhalisia sio rahisi Mungu kufuata mafundisho ya manabii ambayo yametoka kwake yeye mwenyewe, Kimsingi yale yaliyokuwa yanasemwa na manabii kabla ya Yesu kuja duniani yalikuwa yanatoka kwake mwenyewe kwa Mungu! so ni yakwake tu sio ya manabii

Katika Maandiko na simulizi nyingi zizungumziao Uungu wa Yesu, nakiri umenipa Mwanga na nimekuelewa kwa namna ya nilivyoelewa.
Barikiwa sana.
NB. Namuamini Mungu Mmoja Asiyelinganishwa Na chochote Kile.
 
ukiangalia kuna ukweli kiasi flan.. coz hata historia ya Tanzania imeandikwa na wazungu.. unategemea nn hapo.. mzungu lazima aandike ujinga ili wenyewe tujione wajinga mbele yao.. hawawezi kuandika ya maana yetu ili tujitambue..
 
kumbe misri nayoijua mm wenyewe sio waarabu?.. duh.. inabidi nitafute historia ya misri au mwenye nayo anipe
 
Qur'an siyo mpinga kristo, Qur'an kinatambuwa kwamba Yesu ndiye masiha, na masiha ametajwa mara 36 kwenye Qur'an wakati Muhammad ametajwa mara 3 tu,

Bikira Maria/ Mariam ndio mwanamkee pekee aliyetajwa kwenye Qur'an.

Tuache ujinga sasa tuanze kusoma hata dini tusizoziamini tuelewe upande wao maandiko yao yanasemaje na msingi wa imani yao ni upi.

Kwenye shahada za uislamu ni lazima umtambuwe Yesu kuwa ni mtume na ndio Masiha. Sasa hapo upinga kristo unatoka wapi?

1 John 2:22
Ni nani aliye mwongo ila yeye akanaye ya kuwa Yesu ni Kristo? Huyo ndiye MPINGA KRISTO, yeye amkanaye Baba na Mwana.

1 John 4:3
Na kila roho isiyomkiri Yesu haitokani na Mungu. Na hii ndiyo roho ya mpinga Kristo ambayo mmesikia kwamba yaja; na sasa imekwisha kuwako duniani.

2 John 1:7
Kwa maana wadanganyifu wengi wametokea duniani, wasiokiri ya kuwa Yesu Kristo yuaja katika mwili. Huyo ndiye yule mdanganyifu na MPINGA KRISTO.
 
Yaani hili kaburi la 2016 ila limefukuliwa leo...
Mtoa maada uko na facts sana, acha nami nitachimbua source mbalimbali ili nielimike .
 
Waingereza walibadili story ya ile Vita na wakajipa ubabe kwamba wao ndio waliomtoa Hitler nanhii liliwaudhi warusia maana waliona watu wake walikufa for nothing na wakati wao ndio walimtoa Hitler but wakafichwa kwenye history
Acha kuandika kama mtoto

Inshort warusi na waingereza walifight katika course moja during the second world war kila MTU alishiriki kwa nafasi yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yes. Hebrews ni jumuisho ya watu waliokuwa utumwani Misri. Ijapokua majority ya Hebrews walikua Israelis. Ukisoma history. Hebrew slaves ilikua ni multi race . ukisoma bible utajua hakuna mstari Israelite wanajitaja wao ni Hebrew Bali wamekuwa wakiitwa hivyo na watu wengine.

Ukirudi kwenye hoja za mtoa mada unajifunza ya kwamba hajui Historia ya Jews hasa baada ya Roman empire.

Mtoa maada anaandika ya kwamba Jews Wa Ethiopia ndiyo anaamini ni Jews kamili. Sababu yake kuu ni uzao wa Solomon. Lakini hataki kujiuliza ilipita miaka mingapi kati ya kipindi cha Solomon na hadi kipindi ya Yesu.

Kwa kumsaidia wengine wa Sephared Jew ni matokeo ya Jews kwenda utumwani enzi za Babylon ya Nebkadnezel. Hasa makundi ya Iraq Jews, Kurd Jews, India Jews Iran Jews na Syria Jews. Hawa hawakuawa Israel hata kipindi cha Yesu na Roman empire. Hawa wamekaa nje ya Israel kwa zaidi ya karne 20 na wametunza Judaism na utamaduni wa kiyahudi kwa maelfu ya miaka. Na Historian yao iko recorded and clear.

Ashkenazi. Hawa ni Jews walioenda mataifa ya ulaya hasa Ujerumani, minor Asia na Eastern Europe. Wanaitwa ASHKENAZ kwa maana Kiblia means wa Japhet aliitwa Ashkenazi. Na inaaminika wazungu ni wana wa Japhet basi wayahudi walikoa maeneo yaliokaliwa na wana wa Ashkenazi na wao wanatambuliwa kama Ashkenazi Jew. Yaani wayahudi wa kwa Ashkenazi.

Hii ni kawaida kabisa hata Africa ipo mfano Watutsi walioenda ukimbizini Kongo na kukaa maenelo ya Mulenge wanaitwa Bhanyamulenge.

Kuhusu DNA.

Nachojua kizazi kikiachana kwa miaka 2000 jumlisha intermarriage na chakula tofauti, basi DNA hutofautiana kwa kiasi kikubwa.

Kilichofanya Ashkenazi jew kuwa weupe zaidi ndicho hicho kilichofanya wazungu kuwa weupe pia. Kumbuka miaka 2000 so mchezo.

Kuhusu sijui Igbo, blacks na Indians kuwa Jews.

Kwangu na uelewa wangu naamini A Jew can be black, coloured or white. Lakini lazima Historia iwe na mambo zifuatavyo...

1. Wawe wanarecord ya kuabudu katika Judaism zaidi ya miaka 3000. Natambua kuna Jew ni wapagan. Lakini kama jamii ya kijew hakuna jamii nzima haina element za Judaism.

2. Lugha yao lazima iwe na element za kiebrania.
3. Tamaduni za kiyahudi zionekane kama Sabbath
4. Majina yao yajipambanue na uebrania.

5. nk
Jews are Hebrews and so are all Israelites that is a plain fact

The word "Hebrew " ime originate when Abraham alipopewa wito na Mungu kutoka nchi yake na kwenda ugenini kile kikundi cha Abraham ndo kilibeba jina LA Hebrew
"Hebrew " literal meaning ni wavukaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yes. Hebrews ni jumuisho ya watu waliokuwa utumwani Misri. Ijapokua majority ya Hebrews walikua Israelis. Ukisoma history. Hebrew slaves ilikua ni multi race . ukisoma bible utajua hakuna mstari Israelite wanajitaja wao ni Hebrew Bali wamekuwa wakiitwa hivyo na watu wengine.

Ukirudi kwenye hoja za mtoa mada unajifunza ya kwamba hajui Historia ya Jews hasa baada ya Roman empire.

Mtoa maada anaandika ya kwamba Jews Wa Ethiopia ndiyo anaamini ni Jews kamili. Sababu yake kuu ni uzao wa Solomon. Lakini hataki kujiuliza ilipita miaka mingapi kati ya kipindi cha Solomon na hadi kipindi ya Yesu.

Kwa kumsaidia wengine wa Sephared Jew ni matokeo ya Jews kwenda utumwani enzi za Babylon ya Nebkadnezel. Hasa makundi ya Iraq Jews, Kurd Jews, India Jews Iran Jews na Syria Jews. Hawa hawakuawa Israel hata kipindi cha Yesu na Roman empire. Hawa wamekaa nje ya Israel kwa zaidi ya karne 20 na wametunza Judaism na utamaduni wa kiyahudi kwa maelfu ya miaka. Na Historian yao iko recorded and clear.

Ashkenazi. Hawa ni Jews walioenda mataifa ya ulaya hasa Ujerumani, minor Asia na Eastern Europe. Wanaitwa ASHKENAZ kwa maana Kiblia means wa Japhet aliitwa Ashkenazi. Na inaaminika wazungu ni wana wa Japhet basi wayahudi walikoa maeneo yaliokaliwa na wana wa Ashkenazi na wao wanatambuliwa kama Ashkenazi Jew. Yaani wayahudi wa kwa Ashkenazi.

Hii ni kawaida kabisa hata Africa ipo mfano Watutsi walioenda ukimbizini Kongo na kukaa maenelo ya Mulenge wanaitwa Bhanyamulenge.

Kuhusu DNA.

Nachojua kizazi kikiachana kwa miaka 2000 jumlisha intermarriage na chakula tofauti, basi DNA hutofautiana kwa kiasi kikubwa.

Kilichofanya Ashkenazi jew kuwa weupe zaidi ndicho hicho kilichofanya wazungu kuwa weupe pia. Kumbuka miaka 2000 so mchezo.

Kuhusu sijui Igbo, blacks na Indians kuwa Jews.

Kwangu na uelewa wangu naamini A Jew can be black, coloured or white. Lakini lazima Historia iwe na mambo zifuatavyo...

1. Wawe wanarecord ya kuabudu katika Judaism zaidi ya miaka 3000. Natambua kuna Jew ni wapagan. Lakini kama jamii ya kijew hakuna jamii nzima haina element za Judaism.

2. Lugha yao lazima iwe na element za kiebrania.
3. Tamaduni za kiyahudi zionekane kama Sabbath
4. Majina yao yajipambanue na uebrania.

5. nk
Umeandika vyema otherwise

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom