mtu kitu
JF-Expert Member
- Apr 23, 2011
- 702
- 508
wewe uliona katika kitabu gani cha Biblia kuwa Adam na ibrahimu walikuwa manabii?
Kwa hio wao ni Nani ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe uliona katika kitabu gani cha Biblia kuwa Adam na ibrahimu walikuwa manabii?
Adam ni baba wa binadamu wote duniani na Ibrahimu ni baba wa Mataifa mengi. Ibrahimu siyo babu wa wayahudi tu, ni babu wa mafaifa mengi sana. Ukifuatilia vizuri historia hata hayo mataifa yanayogombana sana mashariki ya kati mengi yametokana na uzao wa ibrahimu.Kwa hio wao ni Nani ?
Quran ni kitabu kilichotungwa ili kupotosha uokovu ulioletwa na yesu. Ni mpinga Kristo so usipende sana kukitumiathread ndefu ila kwa mtu anayependa kusoma na kuelewa vitu in details imejieleza with strong books and biblical references japo itabidi mtu usome kwa utulivu na dhana kinzani ya masuala ya dini ukiitoa kwenye kichwa chako, ni mara ya kwanza nasoma thread ambayo ina knowledge na connection of dots japo nilishasikia story hii kwa kifupi toka kwa Rasi mmoja mtaani kwangu kama miaka 3 iliyopita..BIG UP sana kwa mtoa maada kwa muda wako kushare knowledge yako...
ila reference zako zimebase kwenye bible zaidi vipi kuhusu vitabu vingine vya dini kama Koran sijaona ukivigusia ?
tusiseme hivyo kwamba ni kitabu cha mpinga kristo without facts, and ofcuz that is not a discussion here...swali lilikuwa muandishi ametumia reference kutoka bible pekee ukizungumzia vitabu vyA DINI..inakuwa ni ngumu kwa ndugu zetu ambao ni waislam na wanaamini katika koran kufuatilia reference zilizotolewa na muandishiQuran ni kitabu kilichotungwa ili kupotosha uokovu ulioletwa na yesu. Ni mpinga Kristo so usipende sana kukitumia
Hata wakipewa huwa hawaamini kwasababu wamefundishwa hivyo.tusiseme hivyo kwamba ni kitabu cha mpinga kristo without facts, and ofcuz that is not a discussion here...swali lilikuwa muandishi ametumia reference kutoka bible pekee ukizungumzia vitabu vyA DINI..inakuwa ni ngumu kwa ndugu zetu ambao ni waislam na wanaamini katika koran kufuatilia reference zilizotolewa na muandishi
Lete tu weye , wasomaji tupo. Sasa wasiamini kwa sababu gani ?Hata wakipewa huwa hawaamini kwasababu wamefundishwa hivyo.
kuna dhana hapa zinakinzana nadhani umeshindwa kuzielewa ni kama zifuatazoMkuu kwa sasa usije kutegemea tena Israel kupigwa(huu ni ukweli mchungu sana sana masikioni mwa wengi) hawa jamaa wameteseka sana, wameteswa sana wakateswa, miaka 400 waliyoteswa pale Misri si midogo, mateso ya mwisho ni kwa Hitra Adolf, kwa sasa hawatapigwa wala kushindwa tena
THANKS mkuu ,ningeweza kuweka reference pia kutoka kwenye Quruan sababu kuna ushahidi pia huko uko kuhusu uhalisia wa israel na hata vitabu vingi sana vya kale kuhusu ukweli wa hili taifa vimeeleza ni swala la muda tu wa kureserch maandiko na vitabuthread ndefu ila kwa mtu anayependa kusoma na kuelewa vitu in details imejieleza with strong books and biblical references japo itabidi mtu usome kwa utulivu na dhana kinzani ya masuala ya dini ukiitoa kwenye kichwa chako, ni mara ya kwanza nasoma thread ambayo ina knowledge na connection of dots japo nilishasikia story hii kwa kifupi toka kwa Rasi mmoja mtaani kwangu kama miaka 3 iliyopita..BIG UP sana kwa mtoa maada kwa muda wako kushare knowledge yako...
ila reference zako zimebase kwenye bible zaidi vipi kuhusu vitabu vingine vya dini kama Koran sijaona ukivigusia ?
Ukija kwenye fact bible ndiyo iliyotungwa sio quran mkuuQuran ni kitabu kilichotungwa ili kupotosha uokovu ulioletwa na yesu. Ni mpinga Kristo so usipende sana kukitumia
Usikariri ndugu. Quran imebadilishwa mara kibao. Je unajua alieiandika Quran? Je hujui Mtume alikuwa hajui kusoma wala kuandika na ni maswahiba wake walikuwa wanamuandikia. Unajuaje kama hawakubadili vile anavyosema.? Ingekuwa Bible sio kweli basi Mwamadi asingewaambia mje kufata maarifa kwetu. Tumia akili kidogo. Quran ililetwa na watu kuwaondoa wateule kwenye mpango wa Mungu ndio mana mlivyo shtukia mkaitoa ile aya ya majini.Ukija kwenye fact bible ndiyo iliyotungwa sio quran mkuu
Unajidanganya sana kwanini mpewe bible na sio injili nyinyi wenyewe hamjielewi
Kwa nini mletewe tafsiri kwanini msingeundishwa maandiko yale og na tafsiri kwa lugha ya kwenu
Unaaamini vipi kwamba ile tafsiri ni kweli au ni tafsiri iliyowekwa na wao kwa interests zao??
Quran haiwezi kubadilika wala kubadiishwa mpaka ulimwengu unafika mwisho kwa kua ni kitabu kilichokamili kila idara na hakina shaka ndani yake
Wazungu wamejaribu sana kutaka kukibadilisha lakini wapi hawawezi na hawatoweza wao kazi yao ni kuibadili bible na kuwapoteza mazumbukuku yasiyo taka kusoma wao ni kufuata mkumbo
Alafu then hao wateule ni wakina nani??Usikariri ndugu. Quran imebadilishwa mara kibao. Je unajua alieiandika Quran? Je hujui Mtume alikuwa hajui kusoma wala kuandika na ni maswahiba wake walikuwa wanamuandikia. Unajuaje kama hawakubadili vile anavyosema.? Ingekuwa Bible sio kweli basi Mwamadi asingewaambia mje kufata maarifa kwetu. Tumia akili kidogo. Quran ililetwa na watu kuwaondoa wateule kwenye mpango wa Mungu ndio mana mlivyo shtukia mkaitoa ile aya ya majini.
Kumbuka hivi ni link zilizoandikwa na watu, inawezekana walikuwa wamelewa utajuaje. Nenda Tanga kaangalie wenzio wanavyotumia Quran kuloga watu na kuwatupia majini.Alafu then hao wateule ni wakina nani??
Kasome history ya muhammad na jinsi alivyokua hata watu wenye maelimu yao makubwa na ni wakristo wanasema muhammad (S A W) alikua mtu wa pekee na mtu bora ambaye hakuna aliyetokea kama yeye na ni wazungu wanaamini sasa unapomtukana na kutukana quran unakua unajidhihirihia kuwa unaupungufu wa maarifa View attachment 778237
Nadhani tusitoke wandugu kwenye maada ya msingi, jukwaa na maada Siyo bible wala Koran Ila ni jinsi vilivyotumika kama reference ya maada ya msingi...Wewe ndiyo hutumii akili unafuata mihemko sisi hatujaambiwa tufuate bible sisi tumeambiwa tuifuate injili kitabu cha yesu au issa
Na wapi muhammad aliwaambia maswahaba zake waje kutafuta maarifa ya kidini kwa wakristo
Haya basi mtaje huyo aliyetunga quran genius yupi huyo ambaye anaweza kuweka kila kitu kwenye kitabu kimoja kuanzia sheria,,uchumi,, science,, na somo la roho,,wapi tumetoka na wapi tunaelekea,, nitajia alafu uniambia kwenye bible kunavitu kama hivyo??
Bible imebagua baadhi ya mambo yani haijakamilika sasa kama haijakamilika tutaifuata vipi ndiyo maana quran imekamilika kwa sababu ni muunganiko wa vitabu 4 vitukufu ZABURI TORATI INJILI NA QURAN yenyewe sasa unapoitukana quran unakua ni sawa na kumtukana mama yako aliyejiziba uso kwa kitambaa bila kujua na kuhakiki unamtolea matusi ni upuuzi soma kwanza
Hicho kitabu nimekisoma hakina kitu zaidi ya hadisi na maneno ya watu waliokuwa wanapiga stori. Kwa mfano Eti Alla atamuuliza Yesu kama kawaambia watu wamuabidu yeye Au Alla na Yesu atasema sikuwaambia. Maneno hayo ni Mudy alikuwa anawapigia stori maswahiba.Wewe ndiyo hutumii akili unafuata mihemko sisi hatujaambiwa tufuate bible sisi tumeambiwa tuifuate injili kitabu cha yesu au issa
Na wapi muhammad aliwaambia maswahaba zake waje kutafuta maarifa ya kidini kwa wakristo
Haya basi mtaje huyo aliyetunga quran genius yupi huyo ambaye anaweza kuweka kila kitu kwenye kitabu kimoja kuanzia sheria,,uchumi,, science,, na somo la roho,,wapi tumetoka na wapi tunaelekea,, nitajia alafu uniambia kwenye bible kunavitu kama hivyo??
Bible imebagua baadhi ya mambo yani haijakamilika sasa kama haijakamilika tutaifuata vipi ndiyo maana quran imekamilika kwa sababu ni muunganiko wa vitabu 4 vitukufu ZABURI TORATI INJILI NA QURAN yenyewe sasa unapoitukana quran unakua ni sawa na kumtukana mama yako aliyejiziba uso kwa kitambaa bila kujua na kuhakiki unamtolea matusi ni upuuzi soma kwanza
then ukaja utawala wa wareno,wajerumani,waingereza woote hao walipigwa na kuangushwa so ni swala la muda tu hakunakitu kinakaaga milele hapa duniani
HAO HAWAJAWAHI KUITAWALA DUNIA.
Yaani sajaona ulicho andika ndugu yangu,kama kuna sehemu nimedanganya au kukosea Weka maandiko yangu against yako ambayo wewe unaona ndio yapo sahihi, hoja inavyokosolewa na hoja sio hiyo mipasho uliyoandika hapo juuMAKOSHNELI
Ukweli ukichanganyika na uongo hivyo Umeshuhudia Uongo.
Chachu kidogo huchachusha donge zima.(1 Wakorintho 5:6).
Soma historia ya Warumi. Ufahamu wakina Spartacus na Gladiators katika arena kule Rome italia. ujue utumwa haukua wa mtu mweusi pekee.
Pia nakuwekea link kaisome
https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1443564/