Uhalisia wa taifa la Israeli

Haionyeshi kama walichukua watu wengine njian au lah,,,Na tukumbuke jina Israel alipewa Jacob baada ya kumshinda malaika so kama sio uzao huo sidhan km kuna Israel nyingine
Israel ni mwanangu Mimi,mzaliwa wangu Wa kwanza mpe ruhusa aende jangwani akanitolee sadaka.ni maneno ya Mungu kwa farao katika kinywa cha musa akimanisha Wana wa yakobo, hivyo waisrael ni watoto wa yakobo isaka Ibrahim.na pale alipowapeleka kaanan ndiyo mipaka ya hilo taifa.kumbuka kulikuwa na watu wakiishi hapo na waisrael waliamriwa kuwaua lakini si kwa maramoja bali taratibu,na kuimiliki miji yao.
Nijuavyo hiyo ndiyo Israel na mipaka yake iko well defined lakini si kama ilivyo leo.Hii haiondoi uhuru wa kuibariki au kuilaani,kwani imeandikwa atakaye ibariki atabarikiwa na atakayeilani atalaaniwa.hivyo yote ni maamuzi ya mtu.

Sent from my TECNO 7C using JamiiForums mobile app
 
Mkuu kwa nilivomuelewa mtoa maada hana shida na Israel kama taifa, hana shida na kuibariki nchi ya Israel shida ni kuwa hawa waisrael wasasa hawatoki katika bloodline ya jacob. Labda tujikite hapo
 
Mbona hujibu maswali yetu? Nilikuuliza je hata wale ethiopian Jews waliotoroshwa Ethiopia kurudi Israel mwaka 1991, na wao ni wayahudi fake? Lakini pia hao wayahudi halisi wako utumwani nchi gani? Halafu je unafikiri neno WAYAHUDI kwenye UFUNUO 2:9 lina maana ya wayahudi wa kiroho au wayahudi wa rangi kama ulivyolielezea hapo juu, maana UFUNUO ni kitabu cha Unabii, hatahivyo UFUNUO 2 inaelezea historia ya makanisa saba yaliyowahi kuwepo kwa vipindi tofauti hapa duniani.
 
I can't buy this.
Wakati Mungu anawapigania wana wa israel na kuwauwa maadui wao walikuwa hawafi ?? Au Mungu hakuwa na huruma ??
Wakati Mungu anawateketeza Farao na majeshi yake kwenye Maji hawakufa ???
Leo wee unahurumia sana watu kufa wakati yeye Mungu mwenyewe aliwaua. !!!!
 
 
Nimemjibu "nyamnini" hapo juu na majibu yako yapo hapo hapo
 
Mtoa mada hii ni mbumbumbu wa historia ya waisrael hasa baada ya Yesu hadi leo.

Kwa kukusaidia mdogo wangu jifunze mambo yafuatayo.

1.Kwa nn 80% ya Israelites ni Ashkenazi. Ni kwa mini wajiite Ashkenazi.


2. Rudi kutafuta kusoma kwenye bible soma vitabu vya Kutoka na Mwanzo. Waliotolewa Misri sio Waisraeli Bali ni Waebrania.

Unaweza tofautisha kati Waebrania na Waisraeli
 
Hilo ndiyo tatizo la watu kudhani wameshirikishwa na Mungu katika kuamua na kuhukumu.siyo kweli kwamba eti ni tatizo kwa Mungu watu kufa lakini ah hatutaki kusikia mwarabu akifa nahisi hilo ndiyo tatizo. Ikumbukwe Mungu alinambia musa nitamrehemu nimrehemuye na nitamwadhibu nimwadhibuye.kwa hiyo watu kufa watakufa tu na haowayahudi si kama ni watakatifu la.ila wakihesabiwa haki na Mungu sisi hatutaki?bado nasisitiza njia si kama zetu.

Sent from my TECNO 7C using JamiiForums mobile app
 

1.Siwezi ku base kwa hiyo historia ya jina Ashkenazi sababu ukisoma biblia yoote hakuna kabila la ashkenazi isipokuwa yale makabila 12 ya watoto wa yakobo nje ya hapo ni Historia tu ambayo hata wewe unaweza andika yako ukajiita utakavyo as long as kama unamiundombinu yakutosha na as a christian natakiwa niwe na sababu ambazo ni biblical based na sio nje ya hapo!
2. Hii ungeweka kifungu basi cha biblia ulichosoma wewe hapa ili kiendane na unachozungumza,ila ukisoma Mwanzo 32:28 Mungu alimbadirisha jina Yakobo kuwa Israel sasa kama wale watoto zake 12 walikuwa wanaitwa wana wa Yakobo basi jina lazma libadirike na kuwa Wana wa Israel kwa kiswahili cha leo tungesema watoto wa mzee israel,Mwanzo 32:32 biblia imewaita "wana wa israel" kabla hata hawajaenda Misri sasa wewe unachozungumza ni tofauti na maandiko kimsingi unaongea yakwako sijui umetoa kwenye ukurasa upi wa biblia?
 
You deserve a Xmas gift. This is what we call "Beautiful Mind".

Tokea tuuingie hapa JF, kwa kipindi cha siku zote hizi, leo ndio tumepata the right dose. Umesafisha kutu kwenye nyuzi za fikra zetu.

For sure BDS would love to invite you. ANC, MK veterans, Makanisa ya Afrika ya Kusini yatakuwekea zulia jekundu.

BDS SOUTH AFRICA

Hongera Mwanapinduzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…