UHALISIA: Wanga ni Rafiki au Adui wa afya yako?

UHALISIA: Wanga ni Rafiki au Adui wa afya yako?

Ugali unatoa carbohydrates sawasawa na wali na viazi.

Ila kuna shabiki la Chelsea litakuambia linakula ugali kuongeza nguvu za kiume na jingine hili litaacha kula ugali na kukomaa na wali.
 
Ugali ni kisindikizio ili mtu ale mboga , majaza tumbo.
20260412_051528.jpg
 
Huu ugali ukamfanya baba yangu akawa ni mtaalamu wa hesabu. Akapata sehemu nono ya ulaji kwenye kazi ambayo kwa sasa ni ndoto ya kila kijana wa kitanzania.

Ugali ukatoa vipanga wawili wawili kwenye familia yetu.
Kijana wangu sikunyonyesha kabisa kaanza kukandikwa miugali ana miezi mi 3.
Shule ya msingi kasoma miaka 5,,'sekondari mi wili Masters yake kaipata akiwa na miaka 23. Hapo utanimbia ugali unadumaa sijui unafubaza ubongo??????
Sema nini Mimi mama yake ugali ndio umeozesha kabisa ubongo wangu.
 
Mtoto wa kiume acha ulofa na ungese, pesa kidogo usha google madhara ya ugali
Wakipata pesa kidogo wanaleta dharau kunanmwu hine jana kaanzisha uzi anasema kachoka kula vyakula hivi vtote tunavyokula kila siku... Hadi kin kuku kawacboka
Nikamwambia bro umejipata mshukuru Mungu..
Siku ukiishiwa utavitafuta hivyo
ugali ni useless food
 
ugali ni useless food
ingelikua ni kweli,
wangeanza kupata changamoto hiyo waKenya ndipo wafuate waTz,

maana wanachuana vikali sana kwenye ligi ya kula ugali zaidi ya chakula kingine unachokijua kwa siku.

kuna maeneo wanakula ugali asubuh, mchana na jioni kama dozi vile ya Panadol šŸ’
 
Back
Top Bottom