leo dada
JF-Expert Member
- Oct 26, 2023
- 3,871
- 19,204
Anatusumbua tu huyu na kitambi chake cha chips yaiHajui ugali ulivyo mtamu huyu!
Anatusumbua tu huyu na kitambi chake cha chips yaiHajui ugali ulivyo mtamu huyu!
Useless postugali ni useless food
Jamii nyingi za Afrika wanaula na wana majina yao tofauti halafu bado ujione una akili kuwazidi😅Anatusumbua tu huyu na kitambi chake cha chips yai
Aseme tatizo lake tu na asilihusishe na ugaliJamii nyingi za Afrika wanaula na wana majina yao tofauti halafu bado ujione una akili kuwazidi😅
Unajaza tumboUgali unashibisha vema kuliko vyakula vingine
Au alianza kulishwa wakati ananyosha bado ana hasira nao🤔Aseme tatizo lake tu na asilihusishe na ugali
Huyu tumseme weeee mpka aone aibu!!!! Halafu aueleze bifu lake na ugali likoje likojeAu alianza kulishwa wakati ananyosha bado ana hasira nao🤔