Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Nimecheka kweli, Bw Manara kaita wasanii ambao hawana influence yoyote hapa nchini na kuwasihi watumie platform zao kuhamasisha watu kujaa uwanjani, hivi kweli jaman washabiki wa mpira wanaweza kwa mfano kushawishiwa na Diamond t ambaye ana influence kubwa kwenda kuiona timu yao ikisambaza Gusa Achia Twende Kwao?
Hao wasanii ndio kesho uwanja ujae halafu utudanganye wewe ndio umejaza uwanja? Yaan utoke kwenu uende jangwani ukaongee na wasanii ndio utuambie umefanya hamasa na ushawishi kweli, ama kweli wanadamu wanaangamia kwa kukosa maarifa