Mkonowatembo
JF-Expert Member
- Sep 25, 2016
- 1,107
- 1,012
Passport inachukua muda gani mpaka kuipata mimi sina uzoefu!
Mnapenda kuteseka sana sana..Mimi nilipata passport yangu ndani ya siku nne na wala si Arusha!Kweli tunaweza kuwa na wakuu wa mikoa wasiojua pasipoti zinaprintiwa wapi?
Au tunajua lakini tunafanya kick za kisiasa? Kwamba leo Mnataka kutuaminisha kwamba Ofisi ya Uhamiaji Arusha inatoa pasipoti? Toka lini?
Hii kick tumeikataa kweupe kabisa tutafute kick nyingine.
Lakini pia tujiulize uhusiano kati ya pasipoti ya watanzania na utalii je kuna Sehemu hivi vitu vinaingiliana?
Wageni wanakuja na pasipoti zao kutoka nje mkuu wa mkoa anataka kuunganisha utoaji wa pasipoti na kuongezeka kwa watalii...
Mwisho, unapojadili pasipoti tumeona Kagera wakiambiwa ni mkoa wa mpakani na sisi wenyeji wa huko tunafuatiliwa sana kufahamu asili yetu jambo ambalo nakubaliana na uhamiaji.
Je, Arusha ambapo kila siku wanakamatwa wasomali na waethiopia tunataka kufanya pasiwe siyo mkoa wa mpakani? Kama mkipunguza ukaguzi huko ondoeni na ukaguzi kwetu Kagera na huko Kigoma.
Uhamiaji mkiendelea kukimbizwa na siasa kesho hao hao wanasiasa watakuja kuwatuhumu mmetoa pasipoti kwa masai wa Kenya, kwa Wasomali na waethiopia. Tuache usalama ubaki kuwa suala la ndani ya nchi kama waasisi wa taifa letu walipoamua kuliweka.
Pasipoti ya Uhamiaji imewekwa siku kumi na nne kwa sababu unaomba mkoani, maombi yanatumwa DAR wa salaam then wanakurudishia pasipoti yako kwa posta.
Na tukumbuke huko DAR awashughulikii maombi ya Arusha wanashughulikia maombi ya nchi nzima. Leo kila mkuu wa mkoa akitaka pasipoti za watu wake zitoke anavyojisikia sisi tuliopo Mwanza ambapo Mzee Mtanda ajatusemea tutapata pasipoti?
Taasisi za umma lazima ziwe na service charter ambayo imefanyiwa utafiti siyo kila mtu anajiwekea muda wake.............Makonda anaweza akawa na nia njema lakini namsihi mambo ya security ajaribu kwanza kushauriana na hao wahusika kabla ya kwenda viral.
Huko Ulaya kwenyewe hakunaga siasa kwenye pasipoti. Afrika yetu fundisheni viongozi.
Yeah sio bure
Lita ni wapi?Pasiport hata siku moja inawezekana tu wee tu ndo huelewi
Mfano ukienda lita kule wanakwambia kupata cheti cha kuzaliwa kuanzia siku 14na kuendelea. Lakini kam huna mkono wa birika siku tatu hadi Tano utapata cheti na kama unaharaka sama siku tati tu wemaliza kazi
Makonda hakuna kitu, tunashangazwa na hao wanaomteua kila kukicha. Hana mikakati yoyote yenye kuleta tija, zaidi ya kiki za kitoto.Makonda anakitu sema chuki uliyonayo kwa makonda hata akiongea kitu gani huwezi kumuelewa.
Ukiwa na maarifa kwa dar unapata same day.Passport inachukua muda gani mpaka kuipata mimi sina uzoefu!
Hivyo hizi siku saba inawezekana!Ukiwa na maarifa kwa dar unapata same day.
Ukiwa na mes report kuwa unaenda kutibiwa unaweza pata same day or 2 days.
Kwa kawaida sina uzoefu
Kama Ukiwa na pesa nzuri, Passport Dar unaipata siku hiyo hiyo....!Kweli tunaweza kuwa na wakuu wa mikoa wasiojua pasipoti zinaprintiwa wapi?
Au tunajua lakini tunafanya kick za kisiasa? Kwamba leo Mnataka kutuaminisha kwamba Ofisi ya Uhamiaji Arusha inatoa pasipoti? Toka lini?
Hii kick tumeikataa kweupe kabisa tutafute kick nyingine.
Lakini pia tujiulize uhusiano kati ya pasipoti ya watanzania na utalii je kuna Sehemu hivi vitu vinaingiliana?
Wageni wanakuja na pasipoti zao kutoka nje mkuu wa mkoa anataka kuunganisha utoaji wa pasipoti na kuongezeka kwa watalii...
Mwisho, unapojadili pasipoti tumeona Kagera wakiambiwa ni mkoa wa mpakani na sisi wenyeji wa huko tunafuatiliwa sana kufahamu asili yetu jambo ambalo nakubaliana na uhamiaji.
Je, Arusha ambapo kila siku wanakamatwa wasomali na waethiopia tunataka kufanya pasiwe siyo mkoa wa mpakani? Kama mkipunguza ukaguzi huko ondoeni na ukaguzi kwetu Kagera na huko Kigoma.
Uhamiaji mkiendelea kukimbizwa na siasa kesho hao hao wanasiasa watakuja kuwatuhumu mmetoa pasipoti kwa masai wa Kenya, kwa Wasomali na waethiopia. Tuache usalama ubaki kuwa suala la ndani ya nchi kama waasisi wa taifa letu walipoamua kuliweka.
Pasipoti ya Uhamiaji imewekwa siku kumi na nne kwa sababu unaomba mkoani, maombi yanatumwa DAR wa salaam then wanakurudishia pasipoti yako kwa posta.
Na tukumbuke huko DAR awashughulikii maombi ya Arusha wanashughulikia maombi ya nchi nzima. Leo kila mkuu wa mkoa akitaka pasipoti za watu wake zitoke anavyojisikia sisi tuliopo Mwanza ambapo Mzee Mtanda ajatusemea tutapata pasipoti?
Taasisi za umma lazima ziwe na service charter ambayo imefanyiwa utafiti siyo kila mtu anajiwekea muda wake.............Makonda anaweza akawa na nia njema lakini namsihi mambo ya security ajaribu kwanza kushauriana na hao wahusika kabla ya kwenda viral.
Huko Ulaya kwenyewe hakunaga siasa kwenye pasipoti. Afrika yetu fundisheni viongozi.
Utashangaa kapangiwa ukuu wa Wilaya Gairo huko kutoka RC mpaka DC, shukhrani kwa Mama anaupiga mwingiLabda katumwa na mama usishangae kesho akiwa waziri wa mambo ya ndani uhamiaji zote zinakua chini yake na passport tunapata kwa siku mbili!
Ndio maana nimesema sina uzoefu lakini haya maujanja ulionipa wallah iddi ikimalizika naenda kukamata kinyago!Pasiport hata siku moja inawezekana tu wee tu ndo huelewi
Mfano ukienda lita kule wanakwambia kupata cheti cha kuzaliwa kuanzia siku 14na kuendelea. Lakini kam huna mkono wa birika siku tatu hadi Tano utapata cheti na kama unaharaka sama siku tati tu wemaliza kazi
Daah umenikumbusha hii katuni miaka hiyo......Songombingo za kaboka mchizi zimeanza! 🤣 🤣
Kwenye watu 10 wasiomkubal P C Makonda ni wawili tu, kwhyo idadi ya wanaomchukia ni ndogo sana fanyeni jambo waongezeke mkuuHiyo ndiyo Afrika, Tanzania, CCM na Samia, na siasa za kihalifu za Makonda. Mtu kama huyu eti anapewe ukuu wa mkoa baada ya kuvurunda kwingineko, hivi huwa ni nani anashinikiza watu kama akina Makonda wenye sifa mbovu za uongozi na kukataliwa na jumuiya ya kimataifa wawe viongozi tena mahali kama Arusha penye Jumuiya ya Africa Mashariki na Jumuiya nyingi nyingine za Africa? Wananchi tuikatae CCM kwa nguvu zetu hii ni dharau kubwa kwa watanzania.
MiTanzania mingne jau sana mzee, yan hayaeleweki yanataka nn akipatkana kiongoz wakuyasemea yanamuona mnyanyasaji haya wakipata zuzu bdo watayasemamakonda hana shida ila kuna watu wanakinyongo nae sana ingekuwa vzuri zaidi hata paspot zitolewe hata baada ya siku mbili mambo yaende chapu chapu ila kwa kufata utaratibu...mtoa maada kwani dar ndo nn hicho kitu inatakiwa kinamalizika mkoani
Ndugu yangu tuweke itikadi pembeni; zipo huduma siyo za kufanyia siasa. Tukiforce bila utafiti utakaribisha banyamulenge tuanze kuishi kwa mitutu ya bunduki humu.Muachen Makonda afanye kazi yke ng'ombe nyie ,wenyewe hapo hamna hata ubalozi wa nyumba 1 na mnajikuta miambaa.
Mkiona hamumuelewi wekeni Mama zenu wakawe wakuu wa mkoa huo.