Lavan Island
JF-Expert Member
- Oct 24, 2015
- 2,377
- 2,048
Hakuna alicho kosea hapo ukifungua shule taratibu za awali unaanzia kwa mtendaji wa kata then unaenda juu ili mradi tu uwe na mtaji kuhusu NGO kama anaomba pesa kutoka kwao italy kuna shida gani??au umeanza wivu??