Lavan Island JF-Expert Member Joined Oct 24, 2015 Posts 2,377 Reaction score 2,048 Jun 17, 2022 #21 Hakuna alicho kosea hapo ukifungua shule taratibu za awali unaanzia kwa mtendaji wa kata then unaenda juu ili mradi tu uwe na mtaji kuhusu NGO kama anaomba pesa kutoka kwao italy kuna shida gani??au umeanza wivu??
Hakuna alicho kosea hapo ukifungua shule taratibu za awali unaanzia kwa mtendaji wa kata then unaenda juu ili mradi tu uwe na mtaji kuhusu NGO kama anaomba pesa kutoka kwao italy kuna shida gani??au umeanza wivu??