Candela
JF-Expert Member
- Aug 12, 2021
- 817
- 2,180
Iko hivi, nilikuwa namsaidia mtu kuomba passport nisafiri nae, zamani ilikuwa unaambatanisha makolokolo kibao lakini baada ya NIDA nikajua process zimepingua hasa ukizingatia huyu mtu wazazi wake wote wana NIDA nikajua ile sehemu ya kiapo cha mzazi NIDA zao zinatosha maana waliapa mahakamani ndio wakapewa NIDA.
Ajabu hata ukitoa NIDA ya mzazi they still need aende akale kiapo mahamani.
Serious?
Ajabu hata ukitoa NIDA ya mzazi they still need aende akale kiapo mahamani.
Serious?