Tatizo sio UHAMIAIJI tatizo ni mtu mweusi.Pithole country, unahitaji ID tu kuomba passport, nilikua pale kasumulu border hivi karibuni, msafiri X mwenye passport ya kitanzania alikataliwa kugongewa exit stamp, kwenye counter 1,akatoka nje na kurudi tena na kwenda counter 2,immigrations officer akamgongea!!,systems moja ,eneo moja haziongei to each other!!,ilibidi nicheke kicheko cha hasira
fuata tarartibu unazopewa acha kulalamika, huu muda wa kuja kuandika huku ungekuwa ushamaliza kuandaa hizo documents ulizoambiwa kazi.....sasa wewe kuombwa documents tuu kelele zote hizi....kama uko serious fanya ulichoambiwa acha ujanjaunja, tabia ya kulaumu mamlaka hasa pale unapoambiwa ongeza documents unaona umeonewa
[/QMUOTE]
Mkuu huwezi ambiwa kula Mavi na wewe ukala kisa umeambiwa na watawala acha upumbavu wa kizuzu,ID ni life book na ina informations zote wanazozihitaji ,Tanzania ni nchi ya ajabu sana,why IDs haziongei kwenye systems?,hata chooni unakwenda kwa codes ,ID inatosha kuombea passport, President Samia alishatoa maagizo kuwa ID ziwe zinasoma, ila kama kawaida yetu tunafanya kazi kama fire brigade, Urais wangu wa 24hrs, nitavunja wizara ya mambo ya ndani na kutengeneza wizara 2,Police (usalama wa raia),home affairs (uraia&immigrations),ID zitatolewa huku na NIDA ,RITA futilia mbali ni wezi tu
Yaani ili upate NIDA unatakiwa uwe na cheti cha kuzaliwa cha kwako na cha mzazi Kama hauna katafute, fanya utaratibu wowote mpaka upate cheti cha kuzaliwa then utapata kitambulisho cha taifa(NIDA).Then unaenda kwenye ofisi ya serikali ukiwa unataka huduma(hasa uhamiaji) unaambiwa NIDA haitoshi lete cheti cha kuzaliwa,huwa nashangaa Sana.Iko hivi, nilikuwa namsaidia mtu kuomba passport nisafiri nae, zamani ilikuwa unaambatanisha makolokolo kibao lakini baada ya NIDA nikajua process zimepingua hasa ukizingatia huyu mtu wazazi wake wote wana NIDA nikajua ile sehemu ya kiapo cha mzazi NIDA zao zinatosha maana waliapa mahakamani ndio wakapewa NIDA.
Ajabu hata ukitoa NIDA ya mzazi they still need aende akale kiapo mahamani.
Serious?