KERO Uhamiaji ina usimamizi mbovu, Rais samia tungua majipu

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Mwamba 777

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
2,780
Reaction score
4,504
Hakuna wanachokifanya huduma MBOVU Kwa wananchi, rushwa, wizi na utapeli vimetamalaki

Yapata miezi sita Sasa wananchi walotuma maombi ya passport na wanao omba passport wanaambiwa mfumo umekorapti haufanyi kazi, angali pesa zote za maombi ya passport tayri washalipia, 150,000/=

Mpaka wengine wameambiwa walipie Tena tsh 20,000/= ya maombi ya passport na kuingia gharama ya 20,000/=Kwa mara ya pili Tena, jumla 170,000/= na Bado wanadaiwa rushwa wakati wameshaambiwa mfumo MBOVU.

Mpaka Leo Bado wanasema mfumo umekorapti, hakuna kinachoendelea

Inamaana uhamiaji hakuna wataalam wa IT, Je hakuna wasimamizi au viongozi makamishna au watu wa kutatua changamoto kama hizi???

Soma Pia:
Je Kuna maana Gani ya kuwa na uhamiaji Tanzania kama wanashindwa kushughulikia kero za wananchi na kutengeneza passport za wananchi????

Mama Samia tunakuomba uwatumbue Hawa vilaza wa uhamiaji maana wanahujumu Taifa hakuna wanachokifanya maofisini zaidi ya kudai rushwa na kuzungusha wananchi.

Tena wachukuliwe na hatua za kisheria.
HATUTAKI WABABAISHAJI

wapelekwe kimagufulification ili tuheshimiane
 
Walipata majanga, na hisi hawakuwa wamejipanga kukabilina na majanga ya kimtandao yanapotokea pamoja na kupima hatari ambazo zingeweza jitokeza wangekabiliana nazo vipi.. hivyo vyote hawakuwa navyo
 
Walipaswa watoe taarifa sahihi, lakini pia wasifanye basi matatizo yao yawe matatizo yetu
 
Walipata majanga, na hisi hawakuwa wamejipanga kukabilina na majanga ya kimtandao yanapotokea pamoja na kupima hatari ambazo zingeweza jitokeza wangekabiliana nazo vipi.. hivyo vyote hawakuwa navyo
Hakuna Cha majanga huo uzembe tuu, wameshindwa kazi, watunguliwe wakalime. Na kabla hawajatunguliwa walipe pesa na gharama za watu na muda wa watu.
 
Sio uzembe. Ila imekuwa uzembe ambapo wame shimdwa ku recover ndani ya mda mfupi ( kitendo cha kushindwa ku recover mda mfupi ndio kiashiria cha uzembe, ambao unaweza kuwa pia umetokana na utawala na sio tu technical peke yao )
 
Kwanza waanze na kamishna, atunguliwe wafate wasaidizi wake, na hao wadogo wadogo wanaokula rushwa wawekewe mtego wakanyee debe magereza
 
Sio rahisi katika namna ya uendeshaji wa nchi yetu
 
Back
Top Bottom