usimamizi mbovu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Mbunge Getere: Tatizo la nchi yetu ni usimamizi mbovu wa fedha, Kampuni moja inapewa barabara 10

    Mbunge wa Jimbo la Bunda Vijijini Mkoani Mara, Boniphace Mwita Getere, akichangia hoja bungeni jana Oktoba 30, 2026,, ameeleza kuwa changamoto kubwa inayorudisha nyuma maendeleo ya nchi si ukosefu wa fedha au mipango mibaya, bali ni tatizo la usimamizi mbovu wa rasilimali na fedha za miradi ya...
  2. M

    JamiiForums Tanzania KERO Uhamiaji ina usimamizi mbovu, Rais samia tungua majipu

    Hakuna wanachokifanya huduma MBOVU Kwa wananchi, rushwa, wizi na utapeli vimetamalaki Yapata miezi sita Sasa wananchi walotuma maombi ya passport na wanao omba passport wanaambiwa mfumo umekorapti haufanyi kazi, angali pesa zote za maombi ya passport tayri washalipia, 150,000/= Mpaka wengine...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Usimamizi mbovu wa Uwanja wa Ndege wa ABEID AMAN

    Uwanja huu ni uwanja bora sana hauna hata miaka 6 lakini tayari haufanyiwi marekebisho ,napenda wajuzwe huu ni 5 star level airport hatutarajii rangi ya jengo izidi 3 years isibadilishwe ,vyoo vyake vinatumiwa na watu si chini ya 2000 kwa siku tunatarajia kila mwaka chooni sink zibadilishwe mpya...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kufilisika kwa Sahara Media: Kodi kubwa za TRA zinaua Biashara au ni Usimamizi Mbovu wa kina Diallo?

    Mahakama Kuu Divisheni ya Biashara imeamuru kufilisiwa na kufungwa rasmi (winding up) kwa Sahara Media Group Limited, kampuni ya Kitanzania inayojishughulisha na vyombo vya habari, huduma za uchapishaji, matangazo, na uhusiano wa umma. Wengi mtakuwa mnaifahamu kupitia Star Tv au Radio Free...
  5. The amicus

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Usimamizi Mbovu wa Safari Stand ya Magufuli – Mabasi ya Najmunisa na Mshikamano

    Napenda kuwasilisha malalamiko kuhusu huduma duni na usimamizi mbovu katika Kituo Kikuu cha Mabasi cha Magufuli. Mnamo 14/07/2025, abiria alinunua tiketi iliyoandikwa kwa mkono kwa safari ya kuelekea Ushirombo kwa kutumia basi la Najmunisa, akitarajia kuondoka 15/07/2025 saa 12:00 asubuhi. Hata...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Katavi: TAKUKURU yabaini usimamizi mbovu katika miradi ya Serikali

    Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Katavi, Faustine Maijo amesema miradi inayotekelezwa na Serikali kwa manufaa ya Wananchi inashindwa kukamilika kwa wakati kutokana na baadhi ya Watumishi wa Serikali kushindwa kuisimamia ipasavyo. Maijo amesema Watumishi wa...
  7. Tajiri wa kinyankole

    JamiiForums Tanzania Usimamizi mbovu ndio unaosababisha bandari kuchangia 37% ya bajeti ya taifa

    Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Prof Mbarawa amesema pamoja na Serikali kuwekeza tsh 1 trillion pale Bandarini bado performance imekuwa hairidhishi. Tatizo la bandari yetu kuchangia bajeti 37% ni kwasababu ya usimamizi mbovu ambapo hupelekea baadhi ya vigogo wa serikali na watu mashuhuri kipitisha...
Back
Top Bottom