A
Anonymous
Guest
Uwanja huu ni uwanja bora sana hauna hata miaka 6 lakini tayari haufanyiwi marekebisho ,napenda wajuzwe huu ni 5 star level airport hatutarajii rangi ya jengo izidi 3 years isibadilishwe ,vyoo vyake vinatumiwa na watu si chini ya 2000 kwa siku tunatarajia kila mwaka chooni sink zibadilishwe mpya na tiles pia I mean full refurbishment ili uwanja ubaki na hadhi yake, sasa kaka kwa moyo wa uzalendo tu angalia hizo picha kweli hii ni international airport like serious, mbona ya dar es salam iko smart vyoo vyake kama 5 star hotel vyoo vyake vina hadi muziki.
Mfano terminal 2 sawa inabomolewa lakini still ile choo jamani ivunjwe ijengwe upya sinki utafikiri choo cha baa na nchi yenye maadili ya kiislamu yanayohimiza usafi vyoo kama baa za vijijini huko bara.
Ujumbe huu muufikishe kwa wizara husika zanzibar, mkuu viwanja vya ndege na ili kuleta tija wacopy na wa JNIA PIA.
NIMEAMBATANISHA NA PICHA ZA USHAHIDI WA UCHAKAVU HUO