Mwamba 777
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 2,780
- 4,504
Walipaswa watoe taarifa sahihi, lakini pia wasifanye basi matatizo yao yawe matatizo yetuWalipata majanga, na hisi hawakuwa wamejipanga kukabilina na majanga ya kimtandao yanapotokea pamoja na kupima hatari ambazo zingeweza jitokeza wangekabiliana nazo vipi.. hivyo vyote hawakuwa navyo
akili za watu wa kwenye taasisi zetu, naamini sio ngeni kwako. Tuishi nao tuWalipaswa watoe taarifa sahihi, lakini pia wasifanye basi matatizo yao yawe matatizo yetu
Hakuna Cha majanga huo uzembe tuu, wameshindwa kazi, watunguliwe wakalime. Na kabla hawajatunguliwa walipe pesa na gharama za watu na muda wa watu.Walipata majanga, na hisi hawakuwa wamejipanga kukabilina na majanga ya kimtandao yanapotokea pamoja na kupima hatari ambazo zingeweza jitokeza wangekabiliana nazo vipi.. hivyo vyote hawakuwa navyo
Pole ni ya wananchi wapewe pole Kwa huduma MBOVU za taasisi MBOVU kama uhamiaji na walipwe fidia pole haitoshiPole mkuu
Sio uzembe. Ila imekuwa uzembe ambapo wame shimdwa ku recover ndani ya mda mfupi ( kitendo cha kushindwa ku recover mda mfupi ndio kiashiria cha uzembe, ambao unaweza kuwa pia umetokana na utawala na sio tu technical peke yao )Hakuna Cha majanga huo uzembe tuu, wameshindwa kazi, watunguliwe wakalime. Na kabla hawajatunguliwa walipe pesa na gharama za watu na muda wa watu.
Hao ni wa kuchukuliwa hatua Kali za kisheria, wanafanya oungozi wa rais uonekane wa kindeziWalipaswa watoe taarifa sahihi, lakini pia wasifanye basi matatizo yao yawe matatizo yetu
Wapelekwe kimagufulification watanyooka tuu, hao sio wa kuwachekea watakupaka maviakili za watu wa kwenye taasisi zetu, naamini sio ngeni kwako. Tuishi nao tu
Kwanza waanze na kamishna, atunguliwe wafate wasaidizi wake, na hao wadogo wadogo wanaokula rushwa wawekewe mtego wakanyee debe magerezaSio uzembe. Ila imekuwa uzembe ambapo wame shimdwa ku recover ndani ya mda mfupi ( kitendo cha kushindwa ku recover mda mfupi ndio kiashiria cha uzembe, ambao unaweza kuwa pia umetokana na utawala na sio tu technical peke yao )
Sio rahisi katika namna ya uendeshaji wa nchi yetuKwanza waanze na kamishna, atunguliwe wafate wasaidizi wake, na hao wadogo wadogo wanaokula rushwa wawekewe mtego wakanyee debe magereza
Washakuwa *******, hawana maana Tena mbwa haoSerious natamani kujua nini kimeipata uhamiaji, juzi tu hapo 2023 walikuwa vizuri