The mission 2017
JF-Expert Member
- Aug 14, 2017
- 6,498
- 14,946
Lakini mkumbuke Marekani wanakagua kujua mitazamo yako kuhusiana na taifa lao.
Kwa hiyo tunaposema CCM na serikali zake zitapita humo humo tunamaanisha hata ukiwa "critical" kwa mauaji ya MO29 watakuwa na haki ya kukuchukulia hatua au kukunyima huduma fulani.
Kwa CCM Mbona hata leo wanafanya hivo. Hujaona Siaspora wana andamana kwa amani USA lkn wameziba USO?
Wanajua, Kesho wanaweza kuja TZ kusalimia wazazi wakaishia Airport.