Uhamiaji marekani ndo basi tena?

Uhamiaji marekani ndo basi tena?

Sidhani kama Trump kasema atabadiri SERA za USA. Kama nimemuelewa vizuri ( na hi sio mara yake ya kwanza kua na msimamo huo ) kasema ata deal na rais 11M wanaoishi USA bila vibali; I'm sure hili jambo lipo kisheria and mtangulizi wake alilala hapo: same as here in our country, why huaga tuna question uraia WA watu ambao wapo kinyume na gavo tu? Hasa watu wanaotokea mkoa wa Kigoma na Kagera; kwanini huaga hatu tilii maanani while we have all the information?
 
Hapana mkuu njia halali ya kwenda Marekani bado ipo na itakuwa wazi.

Wakati wa utawala wa Trump (2016-2020) nilikwenda States mara kadhaa na ni kweli wale maofisa uhamiaji walikuwa "hostile" kwa wageni khasa weusi.

Lakini ukiwa uko sawa hakuna shida kwani hata sasa waweza kuingia na GC yako bila shida ukumbuke tu kuirekebisha kama yakaribia kuisha muda wake (hutakiwi kuwa nje ya Marekani kwa zaidi ya mwaka mmoja).

Trump shida yake amesema wazi ni wahamiaji waso na vibali halali vya ukaazi.

Na amesema atamalizia ule ukuta mrefu kuzuia uingiaji haau nchini humo.
Mwenyewe nilikuwa naenda USA enzi za Trump utadhani naenda Kibaha,hakukuwa na shida yoyote baadae ikaingia Corona ndio nikaacha kwenda, panapo uhai mwakani natia tena timu USA.
 
Back
Top Bottom