Makwizi Band
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 1,535
- 2,565
Sidhani kama Trump kasema atabadiri SERA za USA. Kama nimemuelewa vizuri ( na hi sio mara yake ya kwanza kua na msimamo huo ) kasema ata deal na rais 11M wanaoishi USA bila vibali; I'm sure hili jambo lipo kisheria and mtangulizi wake alilala hapo: same as here in our country, why huaga tuna question uraia WA watu ambao wapo kinyume na gavo tu? Hasa watu wanaotokea mkoa wa Kigoma na Kagera; kwanini huaga hatu tilii maanani while we have all the information?