Uhamiaji Musoma, huyu mama kutoka Burundi angefariki damu yake ingewalilia

kuna kada ambazo ni hovyo kuliko hata jeshi la polisi

ilq ni vile tu mambo yao hayapo wazi km policm
 
Kamateni watuhumiwa wenu na mmalizane huko si kutuachia zigo sisi raia tuhudumiwe watuhumiwa wenu! Mbona Magereza hawawatekelezee wafungwa wao hata Kama ni wajawazito! Watazaa hata na pingu huku Mahosipitalini hadi wamalizane salama!!
 
Nilisema Mimi, kumbe wewe ni mtundu zaidi mpaka kufoji pasipoti ya Malawi hakika sikuwezi.

Huo mchezo mpaka Leo unaendelea pale Zambia, si unawajua wabongo wengi wanatumia pasipoti ndogo hivyo hawawezi kulipia permit

Basi hucheza hiyo michezo nikipata reg naishi kama Mzambia na nikija Bongo nakuwa Mbongo haijaisha miaka ya elfu mbili(2000)

Na ukaguzi upande wa Zambia uko pale pale tusidanganyane mkuu.
 
Uzi wangu wa mwisho kuposti hapa
 
Ila mkuu Zambia ndio ina wageni wengi wanashika nafasi nyeti, kuna maofisa Wa Polisi Zambia ni wachina.Wachina wengine ni wabunge nchini Zambia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…