Uhamiaji Musoma, huyu mama kutoka Burundi angefariki damu yake ingewalilia

Uhamiaji wanafuata sheria siyo huruma. Ingekuwa huruma, basi nchi yetu ingejaa watu wasiyo na vibali vya kuingia.

Uhamiaji wamepewa kazi na taratibu zake, tuwaache wafanye kazi. Kama hana hela basi abaki huko kwao.

Kwani hana ndugu? Huenda huyu mama alipita njia za panya na kupandia basi njiani.
 
Ukisika uongo ndiyo huu. Nafikiri wewe ni CHADEMA.
Weka siasa pembeni. Issue hapo sio ukwel au uongo, issue happ ni kwann uwamiaji wamemtelekeza huyo mama hospital?

Aya hapo wanasubiria akitoka hospital ndio waje kumkamata tena baada ya kumtelekeza?
 
Reactions: Cyb
Hata Kama huyo Mama ni mtuhumiwa wa kutokua na vibali,bado anabaki chini ya uhamiaji kwa hali yoyote ile kuliko mnamkamata alafu mnamtelekeza bila ya msaada wowote ule kutokana na hali yake ya ujauzito!

Kwa hiyo Sasa uhamiaji ndiyo wamesha maliza kazi yao!?
 
Sijakataa!Point ni hii kwenye situation kama hii ,Uhamiaji wanachakusaidia?

Walikuwa sahihi Kwa vyovyote vile lakini kwanini hakuna utaratibu wa kimatibabu mhanga wao?

Mbona huwa wanakamata na kuwarudisha kwao Kwa gaharama za ofisi tena wakiwa escort ambaye analipwa per derm ,Iweje wakose fungu la kusaidia?

Read between the line acha mihemuko
 
Akijibu hii nistue, kajamaa hakajui chochote kamekalia vyama tu ukute ndio kaafisa uhamiaji kaliko kula winga baada ya mama kushikwa uchungu
Kapuuzi kweli.

Kame kurupuka ,inaonekana ni AFISA UHAMIAJI WA MUSOMA ksk
 
Mkuu ilitakiwa uje na pingu umfunge kwenye kitanda alichokuwa anajifungulia Sasa wewe ukala winga
 
Binadamu tuoaswa kuwa na huruma, hata jamaa alikuwa na makosa bado alipaswa ahudumiwe kulingana na afya aliyonayo. Ueledi katika majeshi yetu haya ni mdogo mno inatakiwa kifanyika reformation ya maana. Kakwambia anaenda Kenya kujifungulia kwa mchumba wake wewe unakomaa utafikiri kaua.

Huwa wakivaa hayo magandwa wanajona ni wamemaliza maisha

Inabidi tushinikiE reformation ya majeshi haya
 
Kiongozi kwasasa dunia ni kama Kijiji na wewe CCM ,hushindwi kupata ukweli kutoka MUSOMA .Mganga mkuu yupo ,Mganga mfawidhi yupo.Unaweza kupata maelezo kutkea huko.Kwanini uniite muongo bila kupata ukweli U au uongo upande wa pili?
Mpuuzi mpuuze.
 
Mchumba wake alikuwa amemsubiri mpkani (Isbania) kwa mjibu wa Mama mwenyewe.

Kumbuka ,umbali wa kutoka barrier ya Musoma mpka Sirari(Isbania ) siyo mbali
Kwann mchumba asimtumie pesa za vibali
 

Kama raia unayo haki ya kuripoti matukio kinyume na utaratibu wa Kazi kwa mamlaka husika
 

Hakuna Uhamiaji wa hivyo aruhusu mtu aingia nchini bila kibali huyo alipita njia ya panya.
 
0
Laana hii inatajwa kwenye Isaya 50:11
 
Kuzaliwa Tanzania kama wazazi wako wote si watanzania hakukufanyi kuwa raia wa TANZANIA.

Ni either mmoja wa mzazi wako awe Mtanzania au wote au mmoja wa wazazi wako aliukana utaifa wake wa awali.
 
hakuna uhamiaji wasumbufu kama wa tz ,nimegundua hilo wakuu sijui wanamatatizo gani .sasa huyo mama serious she is not a threat to the nation, kwanin umhangaishe .doesn't make any sense .

very inhumane and barbaric shame on them.
 
Kenya angekufa! Hamna huruma huko.
Na huyo aliyekuwa anamfuata pia angemkataa kweupeee

Kipo kisa cha msichana mmoja mrwanda alizaa na mkenya aliuekuwa anafanya kazi

rwanda basi jamaa aliporejea kwao kenya alimtelekeza yule mrwanda na watoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…