Utajuaje huyu anapita na huyu kafika mwisho?Kama wanapita tu shida iko wapi? Mambo mengine acheni viherehere vya kuripoti.
Mpaka wanafika hapo mbagala unadhani haijulikani?
Na ukiambiwa uhamiaji ndiyo huwa wanawashauri wakajifiche huko?Muda si mrefu tutawapa na Serikali za mitaa wanavyoongezeka. Immigration fanyeni msako wa guest za Mbagala Zakhem kila Alhamisi mpaka Jumapili
Hizi guest nyingi huhifadhi waethiopia wanaosubiria kula pipa kwenda Joberg...
Nendeni mida kama hii saba mpaka kumi usiku......
Mtupe na mrejesho wa idadi ya mliowakuta...
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Atawrzi wanasali
Tafuta pesa ww acha kuwachoma watu wakiojilpuaMuda si mrefu tutawapa na Serikali za mitaa wanavyoongezeka. Immigration fanyeni msako wa guest za Mbagala Zakhem kila Alhamisi mpaka Jumapili
Hizi guest nyingi huhifadhi waethiopia wanaosubiria kula pipa kwenda Joberg...
Nendeni mida kama hii saba mpaka kumi usiku......
Mtupe na mrejesho wa idadi ya mliowakuta...
Twendeni na mama 2025Muda si mrefu tutawapa na Serikali za mitaa wanavyoongezeka. Immigration fanyeni msako wa guest za Mbagala Zakhem kila Alhamisi mpaka Jumapili
Hizi guest nyingi huhifadhi waethiopia wanaosubiria kula pipa kwenda Joberg...
Nendeni mida kama hii saba mpaka kumi usiku......
Mtupe na mrejesho wa idadi ya mliowakuta...
Mkuu badili na hilo jina, Pdidy hawezi kuwa na roho ya kichawi namna hiyo, ulitakiwa ujiite jina la vijiji vya kichawi huko Sumbawanga, una ushamba fulani wa kimaskini.Mganga vipi wamekuibukia nn usiku??
Mkuu nimekuelewa, ila point ipo kwa wa Ethiopia wanaokatiza hawa sio warundi au wasomali, tunawajua kwa historia. Hawa wanapita wanazamia South Africa, huwezi mkuta mu Ethiopia hata Kariakoo kirahisi huwa wapo on transit, wanakimbia hali ngumu ya maisha kwao. Hawana historia ya violence wala kushika bunduki, na mleta mada kasema kabisa wapo lodge Mbagala wakisubiri kukwea pipa kwenda SA, sasa roho ya kichawi ya nini!?,. Kwa wanaosafiri humu wananielewa. Kuna watanzania wengi wamejilipua nchi kibao kama wakimbizi, wangekutana na mtu mwenye roho kama hii wangetoboa!?,au ndo yaleyale Marekani mtu anapiga simu kuwaambia home affairs jirani yangu hana permits za kuishi nchini ili wakurudishe TZ, tofauti Iko wapi!?Kwa ubinadamu uko sawa kwa asilimia 50% ila kwa uzalendo hauko sawa kwa asilimia 50%
Mtoa mada amefanya uzalendo.
Nchi zote duniani huwezi kuingia nchi ya watu bila kufuata taratibu
Watu wakiingia kiholela nchi inaweza kukaribisha vikundi vya kigaidi kama Boko haram,Alshababu n.k
Watu wengi wanapenda kukimbilia Marekani kutafuta maisha ila pamoja na haya huwezi kuingia Marekani kiholela bila kuingia mikono ya kisheria.
Hata wewe mwenyewe assume ua nyumba yako umejenga kubwa tu labda ina vyumba 50 unakaa na wapangaji wako na wewe ukiwa na vyumba vyako na familia yako mke na watoto wa kike na kiume.
Sidhani kama utafurahia wapangaji wako kila mara wanakaribisha wageni wasioleweka kila siku wanaingia na kutoka na wewe ukawa na amani.
Unaweza karibisha majambazi au wageni wengine wakakuharibia watoto
Kilimtokea nini Mkuu maana Wabongo bhana yule Ofisa wa Polisi alisema Mo katekwa na jamaa kutoka Mozambique na bado mnaamini..Utajuaje huyu anapita na huyu kafika mwisho?
Umesahau yaliyomtokea Dr. Mwakyembe?
Zikifuatwa sheria Watanzania wenzako watarudishwa kwa mamia kila wiki kutoka nchi nyingine.Illegal migrants!?
Hela yake pia ni haramu....wafuate sheria za kimataifa.
Acha ujinga
Mpwa naona unataka kuwapa watu ulaji.Muda si mrefu tutawapa na Serikali za mitaa wanavyoongezeka. Immigration fanyeni msako wa guest za Mbagala Zakhem kila Alhamisi mpaka Jumapili
Hizi guest nyingi huhifadhi waethiopia wanaosubiria kula pipa kwenda Joberg...
Nendeni mida kama hii saba mpaka kumi usiku......
Mtupe na mrejesho wa idadi ya mliowakuta...
Wabongo hawajui kama Cocaine inayoingia Marekani inapitishwa kwa baraka za FBI.Wabongo wanawaacha wachina wapo busy kuuza nywere Kariakoo kwa kusambaza kama Machinga huku wakiwasumbua Waafrika wenzao ukiwa unapita pita Nchi za watu hauwezi kuwa na Roho ya kichawi hata hapo Johannesburg, Forsburg walipo Wasomali wengi wabongo wanaonekana Wachawi sana kwa tabia hizi...