Kwa ubinadamu uko sawa kwa asilimia 50% ila kwa uzalendo hauko sawa kwa asilimia 50%
Mtoa mada amefanya uzalendo.
Nchi zote duniani huwezi kuingia nchi ya watu bila kufuata taratibu
Watu wakiingia kiholela nchi inaweza kukaribisha vikundi vya kigaidi kama Boko haram,Alshababu n.k
Watu wengi wanapenda kukimbilia Marekani kutafuta maisha ila pamoja na haya huwezi kuingia Marekani kiholela bila kuingia mikono ya kisheria.
Hata wewe mwenyewe assume ua nyumba yako umejenga kubwa tu labda ina vyumba 50 unakaa na wapangaji wako na wewe ukiwa na vyumba vyako na familia yako mke na watoto wa kike na kiume.
Sidhani kama utafurahia wapangaji wako kila mara wanakaribisha wageni wasioleweka kila siku wanaingia na kutoka na wewe ukawa na amani.
Unaweza karibisha majambazi au wageni wengine wakakuharibia watoto