Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Mkuu kwa nini hii sheria iwe Tanzania tu kwa Wasomali kwa nini Nchi zingine hakuna tatizo shida tumewakubali Wa Marekani kwa kutuambia hawa watu wasipite popote harafu wao USA ndio Nchi ya kwanza kuwakubali Wasomali na kuwapa Uraia wakifika kwao..
Sio kazi yangu kuwashika, it reference kutoka nchi zingine ambao walitaka kupotezea likawakuta jambo. Na si lengo langu kuwazuia lakin wapite kwantaratibu, mbona sheria ziko wazi?Umewashika na madawa? wanapita tuu hao wanaenda south kutafuta maisha, acheni roho mbaya za kifala
Usichojua hata uhalifu hutokea hivo hivo kujifanya una roho nzuri! Lingekua jambo jema isingekuepo hiyo sheriaUkisikia roho mbaya za kichawi ndo hizi, ndo maana wabongo wengi hata passport hawana sababu ya kuogopa safari. Mbongo yeyote aliyesafiri akavuka mipaka ya Tanzania hawezi kuja kuchoma watu wanaopambana kutafuta maisha.
Hivi mu Ethiopia akilala Mbagala wiki moja huku akichangia kipato gesti na vyakula mchana usiku, baadae akapanda basi au ndege kuelekea South Africa wewe na umaskini wako unapungukiwa nini?,au nini kinaongezeka kwenye maisha yako!?
Wakikamatwa wakatozwa hela wakaruhusiwa kwenda mbele kwenye akaunti yako zinaongezeka shilingi ngapi!? Mambo mengine jifunzeni kuwa mnayaona na kukausha, hao wa Ethiopia hawajachagua kukimbia nchi yao, ni hali ngumu ya maisha.
Nyie ndo kipindi cha utumwa mlikuwa mnawaonesha waarabu, Babu zetu walipojificha kwa malipo ya slice za mikate. Mpumbavu kabisa mleta mada huna akili, na nahisi unakula na kulala kwa shemeji.
Kwamba hilo swali limekushangaza sana?Ety wataondoka lini ...we haya maisha sio kila kitu kinafata taratibu na Sheria
So umezaliwa in privileged life sasa hilo roho mbaya la kuwazibia wengine ambao wametokea in extremely poverty imetoka wapi? Wanapita tuu hao wanaelekea south kujitafutia maishaUtatesekaaa sanaa atuwezi kufanana ati ndegeee hahaha passport sisi tumezaliwa na passport mkuu yaan ukizaliwa sooon unakamata ganda hayamasàfari unayoona fahari tunenda kama chooon wadogo mpaka wakubwa
2.kusafiri na ndege sio lazima uwe mtoto wa kisure badooo unàupungufu wa ...afya...ndege kitu cha kawaida sanasana bila kujali uko familia gan.....
Pole sana
Zoeziiiiii linaendeleeeaaaa jana kulikuwa na utambulisho kidogo nxty tunahamiaa chanukah ujue kama unaweza wajuze kabisa tukomeshe
Muda si mrefu tutawapa na Serikali za mitaa wanavyoongezeka. Immigration fanyeni msako wa guest za Mbagala Zakhem kila Alhamisi mpaka Jumapili
Hizi guest nyingi huhifadhi waethiopia wanaosubiria kula pipa kwenda Joberg...
Nendeni mida kama hii saba mpaka kumi usiku......
Mtupe na mrejesho wa idadi ya mliowakuta...
Very big mistake ingawa lengo ni kutoa taarifaMuda si mrefu tutawapa na Serikali za mitaa wanavyoongezeka. Immigration fanyeni msako wa guest za Mbagala Zakhem kila Alhamisi mpaka Jumapili
Hizi guest nyingi huhifadhi waethiopia wanaosubiria kula pipa kwenda Joberg...
Nendeni mida kama hii saba mpaka kumi usiku......
Mtupe na mrejesho wa idadi ya mliowakuta...
Magaidi wanakuja na diplomatic passport na wanalala Hyatt hotel, sifa za watu kama wewe ni ushamba na roho mbaya tuuUsichojua hata uhalifu hutokea hivo hivo kujifanya una roho nzuri! Lingekua jambo jema isingekuepo hiyo sheria
We jamaa n fala na hutakiwi kupuuzwa .Akili huna
Utajua vipi si waharifu,utajuaje kama si magaidi,Wakipewa tenda ya kuua mtu afu wasepe mtawashikia wap??
90% ya ugaidi au uhalifu hufanyika kwa msaada wa watu kama nyinyi
We akili huna na kisheria ili bidi uwe rumande inaonekana ume facilitate hujuma nyingi juu ya nchi yako!
Kama kweli wanaenda kutafuta maisha kwanini wasiende kwa njia halali??
Big mistake!?Kwa nini?Very big mistake ingawa lengo ni kutoa taarifa
Unawaza pafupi sana wewe.Ukisikia roho mbaya za kichawi ndo hizi, ndo maana wabongo wengi hata passport hawana sababu ya kuogopa safari. Mbongo yeyote aliyesafiri akavuka mipaka ya Tanzania hawezi kuja kuchoma watu wanaopambana kutafuta maisha.
Hivi mu Ethiopia akilala Mbagala wiki moja huku akichangia kipato gesti na vyakula mchana usiku, baadae akapanda basi au ndege kuelekea South Africa wewe na umaskini wako unapungukiwa nini?,au nini kinaongezeka kwenye maisha yako!?
Wakikamatwa wakatozwa hela wakaruhusiwa kwenda mbele kwenye akaunti yako zinaongezeka shilingi ngapi!? Mambo mengine jifunzeni kuwa mnayaona na kukausha, hao wa Ethiopia hawajachagua kukimbia nchi yao, ni hali ngumu ya maisha.
Nyie ndo kipindi cha utumwa mlikuwa mnawaonesha waarabu, Babu zetu walipojificha kwa malipo ya slice za mikate. Mpumbavu kabisa mleta mada huna akili, na nahisi unakula na kulala kwa shemeji.
Gaidi aje na diplomatic passport ??Magaidi wanakuja na diplomatic passport na wanalala Hyatt hotel, sifa za watu kama wewe ni ushamba na roho mbaya tuu
Halafu kuna wajinga wenzie wana like kana kwamba akili za kufikiria hawanaUnawaza pafupi sana wewe.
Hii ni intelligence mistake nadha umenisoma,Big mistake!?Kwa nini?
Waache hivyohivyo.Wakikurupuka kutaka kuondoka au kujificha zaidi ndiyo inakuwa rahisi kudakwa.Hii ni intelligence mistake nadha umenisoma,
Ndio maana mnaambiwa msiingilie kazi za watu, na ukiwa na roho mbaya mabaya lazima yakufuate kila konaGaidi aje na diplomatic passport ??
Gaidi yupi labda twende kwa evidence
Diplomatic passport ni rahisi kupitisha magendo kama madawa ya kulevya.
Reffer North korea tactic
Ugaidi mara nyingi hutekelezwa na watu wanaoingia kimagendo
Angalia ugaidi unaofanywa kenya
Angalia ugaidi unaofanywa msumbiji watz wanavuka border kwenda kufanya uhalamia
Itoshe kusema we huna akili
PorojoKenya said the same yakawakuta ya kuwakuta. With hiyo short transit to SA, ikifumbiws macho hao hao kuna watakao baki bongo bila passport, kwa root hiyo hiyo madawa yatapitishwa, itakuwa ndio on transit ya kufadhili ya ugaidi since hawapii check point yoyote basi ni rahisi sana kuwabebsha na vitu vingine
Una hasira sana.Nina uhakika 100% huna passport na hujawahi safiri kwenda popote. Na unaishi kwenu, kwa dada yako au kwa shemeji. Tabia kama zako nchi nyingine unapigwa risasi ya kichwa tu, pengine ndo maana unaogopa kusafiri na unaogopa wasafiri sababu ya tabia zako za ki.senge.
Vitu vingine mnchukulia kiwepesi sana,inajulikana mipaka yetu ni porous sana,wageni wengi haramu wanapenya. Wanaweza kuingiza dawa za kulevya ,silaha zinazotumika kwenye uhalifu,wanaweza kuwa terrorist,wanaweza kuwa spies wa nchi nyingine. Wanaweza kuwa watafutaji sikatai,waendelee na utafutaji wao,mtoa mada kaplay part yake kama raia mwema na uhamiaji watafanya kazi yao. Its not personal its business.Kama wanapita tu shida iko wapi? Mambo mengine acheni viherehere vya kuripoti.
Mpaka wanafika hapo mbagala unadhani haijulikani?
hujielewi wwNdio maana mnaambiwa msiingilie kazi za watu, na ukiwa na roho mbaya mabaya lazima yakufuate kila kona
Sio porojo, uwe uanfuatilia mataifa mengine sera zao za uhamiaji zikojePorojo