DOKEZO Uhamiaji nendeni nyumba za wageni za Mbagala Zakhem kagueni kila usiku mtakuta Wasomali na Waethiopia wamefichwa kusubiri kusafirishwa

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Wa Ethiopia walio SA nadhani ni matajiri kuliko wageni kutoka sehemu yeyote wamemaliza kuhamisha wageni wenzao mtaa wa Bree hapo Town na wanaendelea kununua nyumba huko wanakoishi jamaa wapo serious sana na kazi zao za biashara...
 
When all is said and done tatizo sheria za hovyo za uhamiaji tumerithi kutoka wakoloni. Africa ni moja tunahitaji sana free movement of labour and goods.
 
When all is said and done tatizo sheria za hovyo za uhamiaji tumerithi kutoka wakoloni. Africa ni moja tunahitaji sana free movement of labour and goods.
Tunahitaji free movement but kwa utaratibu, si kama wanyama huko porini. Dunia pia imebadilika so if sheria mpya ziwe implemented with security in mind
 
HIvi hawa watu wana athari zipi kiusalama kijamii au kiuchumi, hawatoki tanzania hawaishii hapakwetu, huko south africa hatujazikia wakikamatwa, lakini kila siku tunawasweka lupango, kwani wakilipa visa tukawagongea mihuri tukawasindikiza wakavuka wakaenda zao tutapungukiwa nini?
 
Umekurupuka kumjibu
Mtu kuwa mzalendo kwa nchi yake haitaki uwe tajiri au masikini acha pigo za kishoga
 
Kudadekii [emoji51]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…