Uhamiaji, NIDA na RITA, mfungulieni Kesi ya Uhujumu Uchumi Diamond Platnumz kwa Kumiliki nyaraka fake za Serikali. Vitambulisho vyote anyang'anye

Uhamiaji, NIDA na RITA, mfungulieni Kesi ya Uhujumu Uchumi Diamond Platnumz kwa Kumiliki nyaraka fake za Serikali. Vitambulisho vyote anyang'anye

Kibao mkuu
Sidhani kama waliopima DNA wanafika hata %1 ya watanzania wote lakini mpaka mtu apime kuna sababu na pia uwezo kipesa kwahiyo majority mama zetu ndiyo wanaamua wewe baba yako ni nani awe ndiye baba kweli au siye lakini mama ndiyo ameshakuamulia baba mfano ni huo kwa mondi
 
U
Salaam Wakuu,

Vyombo vya Serikali viache double standard.

View attachment 1685906
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimzawadia kofia msanii Naseeb Abdul maarufu kama Diamond Platinumz baada ya kutumbuiza maelfu kwa maelfu ya wananchi waliohudhuria mkutano wa kampeni Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza Jumatatu Septemba 7, 2020

Ni Wakati wa Taasisi ya Uhamiaji ichukue passport ya Msanii wa Bongo Fleva Nasibu Abdul Juma Issack(Diamond Platnumz) na imuwekee Mazingira rafiki ya kupata Passport nyingine kwa jina la nyange. Ni kosa kubwa Diamond alifanya Kukana Baba yake Mzazi na kudai Baba yake ni Nyange ambaye hatokei kwenye Nyaraka yoyote kati ya anazozimiliki kutoka Serikali.

Hata hivyo Uhamiaji, NIDA na RITA, Wameonesha UDhaifu Mkubwa, ilitakiwa wake wameshamfungulia Kesi ya Uhujumu Uchumi Diamond kwa Kumiliki nyaraka fake za Serikali. Vitambulisho vyote anyang'anywe.

Naseeb ni kioo cha Tanzania, Sasa Dunia Nzima inaangalia utendaji kazi wa vyombo hivi vya Serikali.

Kitendo cha kuendelea kumkalia kimya ni kumkosea haki yake ya Msingi. Nyaraka zinazomhusu Diamond zilizopo Uhamiaji zichomwe moto. Sheria za nchi zimtendee haki.

Baada ya hapo achukuliwe hatua kwanini Walitengenza nyaraka za Uongo wakati wanajua ni Uongo.

Muda wote Serikali imedanganywa Baba wa Diamond ni Mzee Abdul kumbe ni Mzee nyange. Muda wote Wamekua Wakitumia Udanganyifu kujipatia kipato kwa Jina la Mzee Abdul.

Ni muda sasa Diamond apeleke nyaraka zake Uhamiaji. Tumezoea kuona Uhamiaji wakiwahoji wakina Zitto, Askofu Kakobe na Eyakuze.

Ni udhaifu Mkubwa kwa Uhamiaji, NIDA na RITA kukalia kimya swala hili la kukana jina lililo kwenye nyaraka za Serikali.

Mama Yake Diamond na Diamond Wapandishwe Kisutu kwa Uhujumu Uchumi na Udanganyifu.

Zaidi soma: Mama Diamond: Mzee Abdul alinikuta nina mimba ya Naseeb (Diamond) na aliikataa. Ricardo Momo na Diamond ni ndugu, baba yao ni Salum Idd Nyange
Utakufa masikin Trust me
 
Sidhani kama waliopima DNA wanafika hata %1 ya watanzania wote lakini mpaka mtu apime kuna sababu na pia uwezo kipesa kwahiyo majority mama zetu ndiyo wanaamua wewe baba yako ni nani awe ndiye baba kweli au siye lakini mama ndiyo ameshakuamulia baba mfano ni huo kwa mondi
Okay mkuu
 
Back
Top Bottom