Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa passport na umalaya wa wengine inahusikaje, ifike mahali kupata passport kuwe tu ka kitambulisho chochote watu wakatafte kazi hata huko nje ya nchi kupunguza umaskiniDah nchi inaongozwa na washamba sana wasio na exposure...
Kweli kabisa. Nchi kama India na Ufilipino zimepunguza umaskini kwa kuruhusu watu wake wakapige kazi Dubai na Qatar hadi Canada unawakuta.Sasa passport na umalaya wa wengine inahusikaje, ifike mahali kupata passport kuwe tu ka kitambulisho chochote watu wakatafte kazi hata huko nje ya nchi kupunguza umaskini
Hyo geresha unajaza online na control number unalipia ikifika printing inagoma mpaka ukawatumie wale vishoka wao ndo wana access na system uwalipe na u print in short hizi system walizoziweka ni kusumbua raia na hao maafisa wa juu wapige hela. Heri uende wakujazie uwalipe hela kuepuka kulipia form kwa control number then form igome ku print ka ilivo tu R. B za police unalipia ila huwezi ku print.Simple siku hizi unaaply online pasipoti zipo tele waomba wachache sababu ya bei kubwa
Inasikitisha Sana eti sasa mabinti wanasafiri sana nje kujiuza jamani mbususu si zetu tunaenda tafta maisha maana huku nchini hali mbaya ya uchumi sasa why wazuie watu.Pole sana, too embarrassing
ndio maana wanaogopa dualism maana wanaaminisha wadogo zetu hii nchi ni dona kantre ukitoka nje unakuta ulikoenda ndo dona kantre kwenyewe.
kibaya zaidi uhamiaji ni alfa na omega “i wish i could be IGP”
Serikali waruhisu maana imekosa vision ya kutoa umaskini na ajira kwa vijana, itoe passport vjana watafte scholarship za nje wakirudi watakuwa na exposure kubwa, leo Nigeria ina largest diaspora wamesambaa dunia nzima na kufanya kazi hata kusoma nje hyo imepunguza umaskini maana Nigeria ina ma graduate kibao imesaidia sasa huku passport imekuwa ka tanzanite au passport ya kwenda mbinguni bwanaKweli kabisa. Nchi kama India na Ufilipino zimepunguza umaskini kwa kuruhusu watu wake wakapige kazi Dubai na Qatar hadi Canada unawakuta.
Passport wanaona kama ni hisani kwa mwananchi,Uhamiaji wana mambo ya ovyo sana
Upumbavu mtupu.Hi issue siyo nyepesi Sana kuichambua na kutoa maamuzi, ukiangalia documentary za biashara ya kusafirisha watu utagundua ipo hatari kubwa Sana. Kwa mfano ukiangalia clip inayosambaa inaonyesha kampuni ya ndani lakini aliyekutwa na passport Ni raia wa misri. Hawa wasafirishaji watu awaangalii maisha yako huko wanapokupeleka wanaangalia fedha. Huwezi kuniaminisha kwa huyo Mmisiri ana uchungu Sana na Watanzania Hadi kuja kuweka kambi hapa nchini na kukusanya pasipoti za Tanzania zaidi ya 90 nyumbani kwake. Kisheria Hana mamlaka yakushikilia hizo pasipoti na Kama hapa tu ameshikilia hizo pasipoti je wakifika huko nje wataruhusiwa hata kutoka nje?
Nimekaa uarabun nimejionea huu utumwa mpya unaoletwa na matajiri hasa wa kiarabu.
Lakini pia nimejaribu kutafuta tangazo la hiyo kampuni mtandaoni sijaona, je wanapataje watu Kama siyo kulaghai watu? Wangekuwa huru na wanafanya Jambo linalokubalika kisheria wangetangaza hizo nafasi za kazi lakini wanafanya kimyakimya.
Mwisho, huwezi kuona hao wasafirishwa wakikatiwa au kukodiwa ndege, wanasafiri was mmoja mmoja Tena wakieleza wanaenda kusoma au kutembelea ndugu.
Mimi kwa hii sikubaliani nayo. Wafanye wazi na watangaze wanasafirisha vijana wetu kuwapeleka wapi?
Mwisho, uzoefu wetu tuliokaa huko uarabuni watu Hawa wanakwenda na majina tofauti na majina yao halisi hasa wakristo utakuta Wana majina ya kiislamu kulingana na mwajiri. Kama Uhamiaji awakufanya kwa siasa, wajaraibu kuhoji kila mmiliki wa pasipoti watabaini Wana majina tofauti na nyaraka zao ametengeneza huyuo mmisiri.
Mm nawaunga mkono Uhamiaji ila serikali iweke mfumo rasmi wa watu kwenda kufanya kazi nje.
Huyo Mmisri ndio nani? Sisi tunazungumzia mambo yanayofanywa na uhamiaji miaka yote.Hi issue siyo nyepesi Sana kuichambua na kutoa maamuzi, ukiangalia documentary za biashara ya kusafirisha watu utagundua ipo hatari kubwa Sana. Kwa mfano ukiangalia clip inayosambaa inaonyesha kampuni ya ndani lakini aliyekutwa na passport Ni raia wa misri. Hawa wasafirishaji watu awaangalii maisha yako huko wanapokupeleka wanaangalia fedha. Huwezi kuniaminisha kwa huyo Mmisiri ana uchungu Sana na Watanzania Hadi kuja kuweka kambi hapa nchini na kukusanya pasipoti za Tanzania zaidi ya 90 nyumbani kwake. Kisheria Hana mamlaka yakushikilia hizo pasipoti na Kama hapa tu ameshikilia hizo pasipoti je wakifika huko nje wataruhusiwa hata kutoka nje?
Nimekaa uarabun nimejionea huu utumwa mpya unaoletwa na matajiri hasa wa kiarabu.
Lakini pia nimejaribu kutafuta tangazo la hiyo kampuni mtandaoni sijaona, je wanapataje watu Kama siyo kulaghai watu? Wangekuwa huru na wanafanya Jambo linalokubalika kisheria wangetangaza hizo nafasi za kazi lakini wanafanya kimyakimya.
Mwisho, huwezi kuona hao wasafirishwa wakikatiwa au kukodiwa ndege, wanasafiri was mmoja mmoja Tena wakieleza wanaenda kusoma au kutembelea ndugu.
Mimi kwa hii sikubaliani nayo. Wafanye wazi na watangaze wanasafirisha vijana wetu kuwapeleka wapi?
Mwisho, uzoefu wetu tuliokaa huko uarabuni watu Hawa wanakwenda na majina tofauti na majina yao halisi hasa wakristo utakuta Wana majina ya kiislamu kulingana na mwajiri. Kama Uhamiaji awakufanya kwa siasa, wajaraibu kuhoji kila mmiliki wa pasipoti watabaini Wana majina tofauti na nyaraka zao ametengeneza huyuo mmisiri.
Mm nawaunga mkono Uhamiaji ila serikali iweke mfumo rasmi wa watu kwenda kufanya kazi nje.
Ujamaa umetuharibu sana akili...hii nchi karibu kila kitu serikali lazima serikali ilete figisu....mfano wakulima jinsi wanavyopigwa figisu na serikali!Nchi inaongozwa na mawazo ya miaka ya 70
Ku apply online kupo lakini lazima upeleke hard copy wakakague hapo ndo kuna ishu mara uwe na mwenyeji nchi unayokwenda mara mdhamini anayefanya kazi serikalini.Acha masihara basi.