Uhamiaji jibuni hili Marekani Lottery hii iko kisheria .Passport mtatoa au mtabania?Nikiambatanisha kiambata cha usa lottery kinachotaka nijaze taarifa za passport kabla sijatuma maombi kitakubalika?
Fomu inatakiwa kujaza kabla kupata lottery Visa inataka ujaze passport number je passport watatoa?Ushapata hiyo lottery au unamaanisha tangazo tu la hiyo bahati nasibu?
Jamaa watataka barua ya mualiko na sio tangazo la fursa, ila kanyooshe mkono wako mkuu utaipata kirahisi tu.
Passport hawatatoa kisa kuna lottery visa, uhamiaji kuna upuuzi mwingi mno na kama hicho kingekuwa kigezo basi kila 18+ mwenye elimu ya high school angekuwa ashaikamata kwa kisingizio cha kuomba lotteryFomu kujaza kabla kupata inataka ujaze passport number passport watatoa?
Mwisho wa kuingia hiyo lottery kwa 2021 ni September 30.Ushapata hiyo lottery au unamaanisha tangazo tu la hiyo bahati nasibu?
Jamaa watataka barua ya mualiko na sio tangazo la fursa, ila kanyooshe mkono wako mkuu utaipata kirahisi tu.
Kimsingi sheria ya uhamiaji ilikuwa hivyo siku zote toka nchi ipate uhuru/ Nyerere system aka Ujamaa/bin ukomunist. Ila kwa sababu siku za nyuma shughuli hizo ziliwezekana kupitia Hongo ndio maana sheria hizi hazikujulikana.Ndio tumefika huko? Sitaki kuamini! Lakini haitashangaza ndani ya utawala huu hili kutokea.
Ndio tukaona sisi wa Zanzibar huu muungano wa uvamizi , hautufaiMbona ni kawaida hiyo ipo kitambo sana.Sasa unataka upate passport ili uwende tukuyu ama vipi.
Hilo swali ni la ubalozini unakoomba VISA sio la uhamiaji wanaotoa passport kuliuliza it is non of their business lakini kwa ubalozini liko OkHua kuna sharti lingine linaitwa "show money"...yaani ili Uhamiaji waamin utakwenda ng'ambo na utarudi wanataka uwaoneshe fedha za kutosheleza safari. Hapo ndo kazi ilipo
Omba sanmahani kwa wazamiaji tafadhali.Mtu hawezi zamia kama ana passport na upatikanaji wa passport ni rahisi!!! ukiwa mgumu ndipo nchi huzalisha wazamiaji wengi mfano ni Ethiopia na TanzaniaTatizo wabongo wazamiaji sana,, wahuni wengi so wakitoa tu passport bila vikwazo kuna watu watazitumia ndivo sivyo...
Huo ni ujima, nchi za watu huko passport ni kitu muhimu kiasi kwamba kila mtu anayo,Sasa utaombaje passport kama huna matumizi nayo?
Si unakua na mpango wa safari ndio unatafuta passport!? Au nakosea ndugu zangu[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Kukuza mapato hilo ni namba moja lakini pili ninkuiondia Tanzania kwenye aibu ya kila siku kurudishiwa wahamiaji haramu nchi za watu wasiokuwa na passport kutokana na wao kushindwa kupata passport Tanzania kwa sababu ya ujeuri wa vigezo vigumu vya idara ya uhamiajiWatoe tu kama njugu Ili kukuza mapato
Omba sanmahani kwa wazamiaji tafadhali.Mtu hawezi zamia kama ana passport na upatikanaji wa passport ni rahisi!!! ukiwa mgumu ndipo nchi huzalisha wazamiaji wengi mfano ni Ethiopia na Tanzania
Vingi tu mimi nimetoa vichache Passport is no.longer a travel document only kwenye utandawazi ni cheti cha NDA cha kimataifa hata kama mtu hasafiriMkuu unajua vitu vingapi mtandaoni vinavohitaji passport namba?