YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
InashangazaLabda Serikali haipendi watu wake watambulike kimataifa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
InashangazaLabda Serikali haipendi watu wake watambulike kimataifa!
Kwani ukimpa hiyo passport hata kama hasafiri utaumwa malaria au? Wewe shida yako nini?Passport unaitaka ya nn ama. Hutaki kusafiri
Kwani ukimpa hiyo passport hata kama hasafiri utaumwa malaria au? Wewe shida yako nini?
Nchi za wenzetu ikiwemo Kenya na Rwanda mbona passport wanazitoa tu.bila cha kusema dhumuni la safari
Ukiitaka unapewa.Dhumini la safari hilo ni.la kwenda kujieleza ubalozi wa nchi anakoenda kuomba viza.
Tatizo uhamiaji wamejigeuza kuwa maafisa wa kutoa viza wa ubalozi
Wewe toa passport dhumuni.la safari mtu atajieleza akienda kugonga viza mpakani au ubalozi wa nchi anayoenda
Eti ohh eleza dhununi la safari wewe ofisa ubalozi mtoa Viza?
Imekuwa, WAGENI NJOONI, WENYEJI MSITOKE.Kuna shida kweli
Kufungua uchumi si tu kufungua uchumi.kwa wageni waje lakini pia kuondoa vikwazo mfano vya upataji passport ili na wananchi wako waende kwingine nchi zingine kutafuta fursa
Passport ni haki ya kila raia kwa nchi zote duniani,,paasport ni moja ya kitambulisho tena ambacho raia huwezi kufojiHii ndio taarifa mpya kutoka Uhamiaji iliyotolewa leo na Msemaji wake Paul Mselle.
View attachment 1727162
Paul Mselle amesema haya...
Pasi ya kusafiria ni 'document' ya kiusalama na ni haki ya kiusalama na ni mali ya Serikali, pale ambapo mtu ataitumia vibaya basi anaweza akanyang’anywa
Pasi ya kusafiria sio kitambulisho kusema mtu achukue abaki nayo ndani ni lazima kuwe na dhumuni la safari, kama hauna safari hatuwezi kukupa pasi ya kusafiria
Mtu atakayepoteza Pasi yake ya kusafiria (Passport), itamlazimu kutoa taarifa Polisi pamoja na kutangaza kwenye gazeti na kwamba ni lazima atoe kiasi cha shilingi Laki tano kwa kupoteza Passport hiyo, na ili aweze kupata nyingine.
Kumekuwa na changamoto ya kuchelewa kwa pasi ya kusafiria sababu unakuta mtu hajakamilisha vigezo vya kupata pasi ya kusafiria. Kuna wengine wanawasilisha vyeti vya kuzaliwa ambavyo haviko kwenye mfumo wa RITA na ukimuuliza alikipataje anasema alimtuma mtu kwa maana ya vishoka na hawa unakuta wengine ni raia wa Tanzania na wengine sio raia wa Tanzania
Wengine nao unakuta taarifa za cheti cha kuzaliwa zinatofautiana na taarifa za vitambulisho vya Taifa, unakuta kwenye Kitambulisho cha TAIFA(NIDA) kazaliwa Temeke kwenye cheti kazaliwa Morogoro.
Passport.png