Coach Slamah Hamad
JF-Expert Member
- Nov 12, 2014
- 3,740
- 4,938
Upumbavu hautawahi kuisha hii nchi.Sisi tunatafuta scholarships, kwenye Application wanataka namba za passport itakuaje
Kule British School posta kama unataka kufanya TOEFL Exams kwa ajili ya VISA za UK hasa kwa wanaotaka kwenda kusoma wanataka Passport.Ndio ukifika hiyo stage ukaombe uone kama utaikosa.... sioni kama kuna kunyimwa passport, ni utaratibu tuu
Halafu mrangi kwani yako imesha eksipaya!?
SCREEN SHOT OR PRINT-
Mkuu passport ni hati ya kusafiria wala siyo kitambulisho kwa jiyo kama huna safari haina maana yoyote labda hapa kwetu tu kwa sababu ya matumizi mabaya ya passport kinyume cha madhumini yake. Hili ndilo uhamiaji wanajaribu kulirekebisha- ni ngumu ila wako sahihi.
Una safari Ya US, VISA ya US kila mtu anaijua ilivyokuwa mtiti kuipata. Unaenda kata ticket kichwa kichwa eti ukaitumie kuchukulia passport? Huo ni wehu.[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] serikali imekataa biashara ya huduma
Hizi procedure tuu lakini mtu mwenye safari hawezi nyimwa passport
My mom is different from uhamiaji Lady
Tafuta passport kwanza then ndio uanze michakato ya kutafuta scholarshipSisi tunatafuta scholarships, kwenye Application wanataka namba za passport itakuaje
Tafuta passport kwanza then ndio uanze michakato ya kutafuta scholarship
Mbona nchi inaongozwa na mwanaume lakini mambo yapo baghala shaghala yamepitiliza hata kwenye shaghala baghalaIdara inaongozwa na mwanamke, maamuzi kama hayo siyashangai.
Wakati ukuchanjwa?Kutibiwa korona
Uko sahihi lazima uwe na Safari,lakini ikitokea nikabwa na vibaka wakaondoka na pass wakijua wallet ndio nilipe 500000 hii ni adhabu sasa Kwa nini nimepoteza,wakati hii Tu ada ya 150000 watu wanachemsha itakuwa 500000Sasa utaombaje passport kama huna matumizi nayo?
Si unakua na mpango wa safari ndio unatafuta passport!? Au nakosea ndugu zangu[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
mkuu international whatever zinakuja baada ya kusafiri nje- bado uko pale pale utapewa passport kwa madhumuni ya kusafiri nje ya nchi na lazima uonyeshe uthibitisho kuwa unatakiwa kusafiri- mbona ni rahisi tu mkuu?Haina maana yoyote kwako zaidi ya international safari, but with people going into international hotels and international deals , passport number is an essential!
Tafuta passport kwanza then ndio uanze michakato ya kutafuta scholarship
he- unasema?Kuna namna nyingi waTZ tunaendelea kubaki nyuma katika nyanja za kuhangaikia mishe za kimaisha hapa ndani na nje. Hili la masharti ya passport ni mojawapo, na tutaendela kuzidiwa na majirani mpk tukome.
Passport sii ya kusafiria tu, kwenye international documents za kuomba tender, kazi, kutafuta masoko nje etc kujaza jaza mafomu yoyote passport ndo inakutambulisha wew ni nani, kitambulisho cha NIDA hakitambuliki kimataifa.
Hivi ni nani alituroga, khaaa!