LexPaulsen
JF-Expert Member
- Jul 30, 2018
- 316
- 609
mkuu international whatever zinakuja baada ya kusafiri nje- bado uko pale pale utapewa passport kwa madhumuni ya kusafiri nje ya nchi na lazima uonyeshe uthibitisho kuwa unatakiwa kusafiri- mbona ni rahisi tu mkuu?
Upumbavu hautawahi kuisha hii nchi.
Matusi ni silaha ya mtu asiye na akiliMavi yako, msizitoe kabisa zichambieni.
Nadhani huna rafiki nje ya nchi. Kama unaye mwulize utaratibu wa kupata passport.kwani ukimpa mtu passport akakaa nayo unapungukiwa na nini? Kwani unampa bure?
tanzania pekee ndo tunaona passport NI MALI. Nchi nyingi haya mambo hayapo.
mkuu international whatever zinakuja baada ya kusafiri nje- bado uko pale pale utapewa passport kwa madhumuni ya kusafiri nje ya nchi na lazima uonyeshe uthibitisho kuwa unatakiwa kusafiri- mbona ni rahisi tu mkuu?
Mabeberu lazima tuwashinde na kuwaangamiza, tumewashinda na likorona lao la ajabuajabu na machanjo yao ya hovyohovyo. Sikuhizi wanakuja huku na tundege twao kujifunza jinsi ya kujifukiza njia ambayo ni salama na bora.Vya kwetu tunavipenda lakini tukubali vilivyotuzidi
Mkuu wako wengine wanaomba hata cheti cha ndoa- mamboambayo hayana maana-niko pale pale ndani ya nchi yako passport siyo kitambulisho muafakaYah right! So with me a Tanzanian citizen when booking a room in Serena hotels hapa hapa Dar nikiombwa passport number for a 10 days stay ni international eeh!?!
Nadhani huna rafiki nje ya nchi. Kama unaye mwulize utaratibu wa kupata passport.
Kama una safari ya nje, ndani ya wiki moja unapata passport
Mkuu acha kuongeza chumvi- mwishoni huwa kuna any other identityDunia imebadilika, kutafuta fursa vitu vingi vinaanzia online before hata hujawaza kusafiri na passport number inahitajika.
Duu...kwl tuna safari ndefu snMkuu wako wengine wanaomba hata cheti cha ndoa- mamboambayo hayana maana-niko pale pale ndani ya nchi yako passport siyo kitambulisho muafaka
Utaratibu wa uhmiaji ni wa zamani sna. nadhani sasa kuna haja ungaliwe upya na kufanyiwa marekebisho. Tutumie wabunge wetu wapeleke hoja Bungni ili kuboresha Idara /Jeshi la uhamiji.Duu...kwl tuna safari ndefu sn
Mkuu acha kuongeza chumvi- mwishoni huwa kuna any other identity
A passport is a travel document, usually issued by a country's government to its citizens, that certifies the identity and nationality of its holder primarily for the purpose of international travel.[1] Standard passports may contain information such as the holder's name, place and date of birth, photograph, signature, and other relevant identifying information.
Passport ni standard document kwenye mambo mengi ya nje na sio kila sehem wanakupa option ya other identity, kwa wenye passport tunaona kawaida ila kwa wasio nazo kama inaleta urahisi kwa nin iwepo urasimu kutolewa as if ni kitambulisho cha kwenda peponi. Unatetea urasimu usiokuwa na maana.
Mkuu kwa kweli ya kuwatoa kule mliko itachukua mdaDuu...kwl tuna safari ndefu sn
Acha upumbavu.Idara inaongozwa na mwanamke, maamuzi kama hayo siyashangai.
Hivi mtu akipata safari ya ghafla nje ya inchi?Utaratibu wa uhmiaji ni wa zamani sna. nadhani sasa kuna haja ungaliwe upya na kufanyiwa marekebisho. Tutumie wabunge wetu wapeleke hoja Bungni ili kuboresha Idara /Jeshi la uhamiji.
Kwema kaka?Nakusalimia mkuu.
Kwa namna tunavo enenda hiyo itabaki kuwa ndoto miaka yoteMabeberu lazima tuwashinde na kuwaangamiza, tumewashinda na likorona lao la ajabuajabu na machanjo yao ya hovyohovyo. Sikuhizi wanakuja huku na tundege twao kujifunza jinsi ya kujifukiza njia ambayo ni salama na bora.
Mkuu nakuomba unichambulie hoja yako kwa nini passport isitolewe freely ili nikuelewe, nachoona hapa umekomalia msimamo tu bila sababu za msingi.Mkuu unafanya mazoea mabaya kuwa kawaida- siyo sawa- ukiacha ubishi usio na maana passport itabaki na ni hati ya kusafiria- haiwezi kutolewa kwa kila mtu mithili ya cheti cha kuzaliwa au cha kifo