Mkuu naomba kufahamu ni kipi kinahitajika (documents) ili kupata passportHakuna safari ya ghafla, ndo maana kuna temporary passport. Ukiwa na emergency ya kweli Kama vile ugonjwa Kuna procedures zake siku 1 tu unapewa passport. Punguzeni ujuaji. Ninahisi hujawahi kuomba passport kwasababu miaka yote ukiomba passport lazima uonyeshe sababu ya kuomba passport.Acha blabla za passport ni haki ya kila mtu.
una dhumuni la safari ?Mkuu naomba kufahamu ni kipi kinahitajika (documents) ili kupata passport
Uko sahihi lakini uhamiaji kwao pass ya kusafiria ndicho wanachowaza vichwani sasa sijui unapoomba uwaambie mnipe nataka kusafiri online ndio waelewe sijui.Wana vichwa vigumu balaaDunia imebadilika, kutafuta fursa vitu vingi vinaanzia online before hata hujawaza kusafiri na passport number inahitajika.
Ndio. Passport ya mwanangu under 18 anaenda shule. Nini kitahitajikauna dhumuni la safari ?
Hivi kama ni kutalii je?,passport wanatoa?una dhumuni la safari ?
Nimecheka sana Mkuu..Jf raha sana.kwani ukimpa mtu passport akakaa nayo unapungukiwa na nini? Kwani unampa bure?
tanzania pekee ndo tunaona passport NI MALI. Nchi nyingi haya mambo hayapo.
Unatakiwa ufanye utalii wa ndaniHivi kama ni kutalii je?,passport wanatoa?
Pamoja na mengine makosa ktk document yanatokea tatizo ni kurekebisha hizo taarifa inakua ngumuHii ndio taarifa mpya kutoka Uhamiaji iliyotolewa leo na Msemaji wake Paul Mselle.
Paul Mselle amesema haya...
Pasi ya kusafiria ni 'document' ya kiusalama na ni haki ya kiusalama na ni mali ya Serikali, pale ambapo mtu ataitumia vibaya basi anaweza akanyang’anywa
Pasi ya kusafiria sio kitambulisho kusema mtu achukue abaki nayo ndani ni lazima kuwe na dhumuni la safari, kama hauna safari hatuwezi kukupa pasi ya kusafiria
Mtu atakayepoteza Pasi yake ya kusafiria (Passport), itamlazimu kutoa taarifa Polisi pamoja na kutangaza kwenye gazeti na kwamba ni lazima atoe kiasi cha shilingi Laki tano kwa kupoteza Passport hiyo, na ili aweze kupata nyingine.
Kumekuwa na changamoto ya kuchelewa kwa pasi ya kusafiria sababu unakuta mtu hajakamilisha vigezo vya kupata pasi ya kusafiria. Kuna wengine wanawasilisha vyeti vya kuzaliwa ambavyo haviko kwenye mfumo wa RITA na ukimuuliza alikipataje anasema alimtuma mtu kwa maana ya vishoka na hawa unakuta wengine ni raia wa Tanzania na wengine sio raia wa Tanzania
Wengine nao unakuta taarifa za cheti cha kuzaliwa zinatofautiana na taarifa za vitambulisho vya Taifa, unakuta kwenye Kitambulisho cha TAIFA(NIDA) kazaliwa Temeke kwenye cheti kazaliwa Morogoro.
Hii ndiyo inaitwa kufanya kazi kwa mazoea au kiroboti kuwa ohhh miaka yote tangu wakati wa Nyerere sisi huwa tunafanya hivi hiviMiaka nenda miaka rudi hicho kipengele cha Ushahidi/Uthibitisho wa madhumuni ya Safari. kipo katika Karatasi ya maombi.
Akili mgando hizoSasa utaombaje passport kama huna matumizi nayo?
Si unakua na mpango wa safari ndio unatafuta passport!? Au nakosea ndugu zangu[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Hujitambui wewe na yeyote mwenye mawazo kama yako.Hii ndiyo inaitwa kufanya kazi kwa mazoea au kiroboti kuwa ohhh miaka yote tangu wakati wa Nyerere sisi huwa tunafanya hivi hivi
Umeona eeh. Ni shida sana. Paspoti ni document ambayo kila Mtanzania mwenye nia ya kusaka maisha angepewa bila MASHARTI magumu, ili aende kokote akasake maisha na kurejesha kipato nyumbani (remittance). Sasa serikali imefanya maisha ya kupata pas yawe magumu sana. Inakera mnoNimecheka sana Mkuu..Jf raha sana.
Jamaa wanajikuta Passport kama wanakulipia wao vile.
Ukiwa Askari au mwana CCM nchi hii hutakiwi kutumia akili kabisa, yaani dumisha fikra za mwenyekiti au tii amri za walio juu yako tu.Hii ndio taarifa mpya kutoka Uhamiaji iliyotolewa leo na Msemaji wake Paul Mselle.
Paul Mselle amesema haya...
Pasi ya kusafiria ni 'document' ya kiusalama na ni haki ya kiusalama na ni mali ya Serikali, pale ambapo mtu ataitumia vibaya basi anaweza akanyang’anywa
Pasi ya kusafiria sio kitambulisho kusema mtu achukue abaki nayo ndani ni lazima kuwe na dhumuni la safari, kama hauna safari hatuwezi kukupa pasi ya kusafiria
Mtu atakayepoteza Pasi yake ya kusafiria (Passport), itamlazimu kutoa taarifa Polisi pamoja na kutangaza kwenye gazeti na kwamba ni lazima atoe kiasi cha shilingi Laki tano kwa kupoteza Passport hiyo, na ili aweze kupata nyingine.
Kumekuwa na changamoto ya kuchelewa kwa pasi ya kusafiria sababu unakuta mtu hajakamilisha vigezo vya kupata pasi ya kusafiria. Kuna wengine wanawasilisha vyeti vya kuzaliwa ambavyo haviko kwenye mfumo wa RITA na ukimuuliza alikipataje anasema alimtuma mtu kwa maana ya vishoka na hawa unakuta wengine ni raia wa Tanzania na wengine sio raia wa Tanzania
Wengine nao unakuta taarifa za cheti cha kuzaliwa zinatofautiana na taarifa za vitambulisho vya Taifa, unakuta kwenye Kitambulisho cha TAIFA(NIDA) kazaliwa Temeke kwenye cheti kazaliwa Morogoro.
Cha kushangaza ukishasafiri au safari ikiahirishwa sio kwamba unairudisha unabaki nayoUjue HUU NI UPUMBAVU.
Passport ni haki ya kila raia kuwa nayo.haijalishi una safari au hauna. Passport sio mali ya uhamiaji.
Acheni UKOLONI.
Yaani siku nikipata safari ndo nianze kuhangaika kutafuta passport?
Cha kushangaza ukishasafiri au safari ikiahirishwa sio kwamba unairudisha unabaki nayo
Sasa bado sioni mantiki si ni bora umpe mtu atakaapoomba ili kupunguzia mtu kadhia ya zimamoto kuhangaika kupata pass wakati wa safari
Kuna fursa gani huko ulipo mkuu... tufumbue macho..!Duuh Polen Ndugu zangu; Ndugu mtoa mada hawajazungumzia Kuhusu expire kwa tulioko Ughaibuni? wamebadilisha Utaratibu? maana nchi yetu hiyo ishakuwa Problemaa, too many changes zisizo na Tija.
Warioba Mashaka,
St. George, Bermuda
Mambo ya ajabu sana.. imagine mwalimua anataka wenda kutafuta ajira nje, PASSPORT kupata ni mtihani..Nilishaacha kufuata habari za uhamiaji tanzania, nikitaka natumia shortcut mchezo umeisha. Hao uhamiaji ni taasisi naichukia kuliko zote tanzania, wanaendesha kizamani sana. One day hao wazee wataondok kitakuja kizazi kingine hapo uhamiaji na milango itafunguka.
Uhamiaji wanaongeza umasikini tanzania kwa kuwanyima raia wake passport. Yaani kama unataka kwenda kufundisha kiswahili afrika kusini unaanza kuhangaika nao tena badala ya wao kuweka mazingira mazuri kwa kila mtanzania.
utaambiwa shule tunazo tele hapa kwetu secondary za kumwaga vyuo vyote tunavyo hapa akasome huko.Ndio. Passport ya mwanangu under 18 anaenda shule. Nini kitahitajika
Relax, kila kitu kipo vizuri.utaambiwa shule tunazo tele hapa kwetu secondary za kumwaga vyuo vyote tunavyo hapa akasome huko.
Siyo nje!! Unalo????
Hata akipewa hiyo passport ataulizwa anaenda kufanya nini?? km siyo kuzurura tu???
halafu akikwama huko gharama za serikali kumrudisha. Jipange kwa hayo maswali...