Uhamiaji Tanzania: Bila dhumuni la safari hakuna kupewa pasi ya kusafiria (Passport)

Passport unaitaka ya nn ama. Hutaki kusafiri
Kwani ukimpa hiyo passport hata kama hasafiri utaumwa malaria au? Wewe shida yako nini?

Nchi za wenzetu ikiwemo Kenya na Rwanda mbona passport wanazitoa tu.bila cha kusema dhumuni la safari

Ukiitaka unapewa.Dhumini la safari hilo ni.la kwenda kujieleza ubalozi wa nchi anakoenda kuomba viza.

Tatizo uhamiaji wamejigeuza kuwa maafisa wa kutoa viza wa ubalozi

Wewe toa passport dhumuni.la safari mtu atajieleza akienda kugonga viza mpakani au ubalozi wa nchi anayoenda
Eti ohh eleza dhununi la safari wewe ofisa ubalozi mtoa Viza?
 

CCM ni Jinamizi la hii Nchi. Kila ujinga na maovu hauwezi kuondoka mpaka hili Shetani lifilie mbalini
 
Tuendelee kuhonga tu maana wanatulazimisha kufanya hivyo,imagine nina NGO natakiwa kwenda U.S next month passport yenyewe unapata after three month,duh! bado kazi ipo na hii ndio madhara ya lecturers kutoa GPA ya rushwa.
 
Passport ni haki ya kila raia kwa nchi zote duniani,,paasport ni moja ya kitambulisho tena ambacho raia huwezi kufoji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…