Uhamiaji tusaidieni kwanini passport haitumiki kama National Identification card katika baadhi ya ofisi nchini

Ok kama wewe unaenijibu ni mmoja wa wataalamu kwenye fani hii, Basi una mapungufu;... nakushauri ujielimishe zaidi kuhusu utendaji wa mamlaka za RITA, NIDA na uhamiaji ....kwa vyovyote vile kwa mtazamo wako huo, utapotosha wengi wasiojua. Na kumbuka hizo mamlaka tatu, utendaji wake ni wa kiulimwengu hivyo viwango vyake vinalingana Ulimwengu mzima.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] inaonekana umeamini[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Maisha haya [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Ndio maana matapeli wanaendelea kuwepo mjini kwa watu kama wewe.

Binadamu asiye jifunza ujue ni mjinga
Aonae ukweli kupitia angle moja basi hajaujua ukweli.
 
Ni wewe tu unayeelewa ulichoandika hapo juu 👆
Nenda NIDA ukajaze fomu upewe kitambulisho cha taifa, Passport hutolewa kulingana na taarifa za zilizohifadhiwa na NIDA.
Iko hivyo utake usitake.🙏
 
Ni wewe tu unayeelewa ulichoandika hapo juu [emoji115]
Nenda NIDA ukajaze fomu upewe kitambulisho cha taifa, Passport hutolewa kulingana na taarifa za zilizohifadhiwa na NIDA.
Iko hivyo utake usitake.[emoji120]
Acha uongo
Kama hujui kubali kuelekezwa
Hii mifumo haingiliani
Na kila mfumo unafeed taarifa kivyake

Iwe Rita
NIDA
Uhamiaji
Kwa kheri
 
Back
Top Bottom