imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Utaona wapi wakati umejichimbia Kimara?Sijawahi kuona nchi inayotumia passport kama Kitambulisho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utaona wapi wakati umejichimbia Kimara?Sijawahi kuona nchi inayotumia passport kama Kitambulisho
😃😃😃😃😃Utaona wapi wakati umejichimbia Kimara?
Passport ndio ID, probably yenye taarifa sahihi kuliko hiyo NIDAUjuaji mwingi, fanya utafiti! Kila nchi na masuala yake. Sijawahi kuona nchi inayotumia passport kama Kitambulisho kwa raia isipokuwa kwa mhamiaji au Mgeni! Kwa uwanja wako wa kujidai -gesi na mafuta hatutii neno ila unapokuja tunapojua, ukiteleza tunakupa tu
Yes, inautofauti ukienda mahali zamani hawataki passport maana sio kielelezo Cha mtanzania ni kielelezo Cha kujitambulisha wewe ni mtanzania ukiwa mahali nje ya Tanzania Sasa ukiwa ndani ya Tanzania huitaji passport Kwa sababu upo ndani ya Tanzania ndio maana wanahitaji vitambulisho vingine vikutambulishe wewe kama mtanzania mf. Cha kitambulisho ch mpiga kura , Cha nida basiLakini amekuuliza vizuri tu. Ulipaswa kumjibu kama inawezekana au haiwezekani. Na ukiingalia passport ina details zote ambazo zipo kwenye NIDA.
Yes, inautofauti ukienda mahali zamani hawataki passport maana sio kielelezo Cha mtanzania ni kielelezo Cha kujitambulisha wewe ni mtanzania ukiwa mahali nje ya Tanzania Sasa ukiwa ndani ya Tanzania huitaji passport Kwa sababu upo ndani ya Tanzania ndio maana wanahitaji vitambulisho vingine vikutambulishe wewe kama mtanzania mf. Cha kitambulisho ch mpiga kura , Cha nida basi
Uwe na namba tu ofisi nyingi wanakubali sio lazima uwe na kitambulisho chenyeweUnamaanisha namba ya kitambulisho cha NIDA au kitambulisho chenyewe kabisa??
kabisaWatanzania tupo macho ila kimsingi tupo usingizini .
Unataka nikuoneshe sasa hivi nipo wapi dogo?Utaona wapi wakati umejichimbia Kimara?
Unaumwa wewePassport ndio ID, probably yenye taarifa sahihi kuliko hiyo NIDA
Wewe umesema hujawahi kuona Nchi zinatotumia Passport kama ID mimi nakwambia nimeona Nchi nyingi tu zinatumia Passport kama ID.Unataka nikuoneshe sasa hivi nipo wapi dogo?
Ndio!... Passport ya Tanzania inaweza kutolewa kwa raia wa kigeni ili kumuwezesha kusafiri kwenda popote Duniani kama akipoteza au kuibiwa passport yake akiwa ugenini. Hii inakuwa rahisi zaidi kama huyo mgeni yuko kwenye jumuia kama ya Madola, SADEC au EAC.Passport ya Tanzania anaweza kuipewa mtu asiye raia wa Tanzania ?
Duu single mother mna tabu ninyiAcha ushamba basi kama huelewi bakia hivyoo hivyoo nakupa maelezo mazuri hausikii unauliza maswali kaulize ofisini Sina energy
Wewendio single mother mie Sitegi wanaume kujitaki nuksi naunikome koma ukomae ndugu zako ndio watakuwa masingle mother na watatoa k ili wapat e matumizi ya watoto wako hawatapata kazi hata wafanyaje na Mungu atawapatiliza kizazi Cha tatu chakwako na Cha nne wamchukizao hawataoa Wala kuoa wote watakuwa masingle mother maasingle fatherDuu single mother mna tabu ninyi
Si kweliSababu ni kuwa hakuna intergration kati ya Uhamiaji na hizo Ofisi.
Ofisi zote huchukua taarifa kutoka NIDA including Uhamiaji...
Afu usijipe umuhimu usio na lazima maana huwezi pata Passport bila kuwa na NIDA unless ni under 18
Acha ushamba.Passport ni hati inayotumika kumtambulisha mwenye hati kuwa ni mtanzania, pale anaposafiri nje ya nchi. Mtanzania awapo ndani ya nchi anapaswa kuwa na kitambulisho cha taifa pale anapohitaji kupata huduma tofauti na kusafiri.
Tangu zilipotoka passport hizi mpya, taarifa zilitolewa na idara ya uhamiaji kuwa passport za kuafiria za Tanzania hazitatumika kama kitambulisho zaidi ya kitambulisho cha taifa. Ofisi ulizotembelea ziko sahihi kabisa kukugomea maana kitambulisho cha taifa ndio kinachotumika ndani ya Tanzania na sio pasi ya kusafiria.
N.B. Naamini watalaam wa Idara ya uhamiaji watakuja kutoa somo humu kwa faida ya jukwaa hili.
Tanzania hatuna kitambulisho cha mpiga kura bali tunayo kadi ya mpiga kuraNimekwenda ofisi kama tatu za watu binafsi nimeshindwa kupata huduma kwa kutumia kitambulisho cha passport eti hakitambuliki. Yaani kitabu hakitambuliki?
Ni kweli karne ya 22 kuna baadhi ya ofisi hazitambui kama passport ya kusafiria ni kitambulisho.
Wananiambia hicho hakitambuliki sisi hapa tunahitaji NIDA na kitambulisho cha MPIGA kura.
Kweli nimeshangaa nimejisemea hiki sasa ni nini. Nimetamani kuutangazia uma palepale kuitambua passport kama kitambulisho kwenye ofisi zote za serikali na binafsi.
Passport na NIDA kipi ni kitambulisho.
Uhamiaji tusaidieni ni kwanini passport haitumiki kama National Identification card baadhi ya ofisi.
Kitambulisho cha Taifa, Passport nini cha muhimu zaidi?
Kitambulisho cha Taifa nini umuhimu wake kwa walio tayari na vitambulisho vingine vinavyotambuliwa kitaifa hata kimataifa? Kuna wenye Passport ambayo humvusha nje ya Tanzania Kitambulisho cha mpiga kura nacho kinaonyesha uzawa wa mwenye kumiliki Driving licence nisingependa kukiambatanisha na...www.jamiiforums.com