GwaB
JF-Expert Member
- Mar 19, 2014
- 4,291
- 5,786
Passport ni hati inayotumika kumtambulisha mwenye hati kuwa ni mtanzania, pale anaposafiri nje ya nchi. Mtanzania awapo ndani ya nchi anapaswa kuwa na kitambulisho cha taifa pale anapohitaji kupata huduma tofauti na kusafiri.
Tangu zilipotoka passport hizi mpya, taarifa zilitolewa na idara ya uhamiaji kuwa passport za kuafiria za Tanzania hazitatumika kama kitambulisho zaidi ya kitambulisho cha taifa. Ofisi ulizotembelea ziko sahihi kabisa kukugomea maana kitambulisho cha taifa ndio kinachotumika ndani ya Tanzania na sio pasi ya kusafiria.
N.B. Naamini watalaam wa Idara ya uhamiaji watakuja kutoa somo humu kwa faida ya jukwaa hili.