Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa dada !! Kama mpaka leseni za udereva wanaziheshimu lakini si passport. Why ?!.Tunza passport yako, hatuitaki. Sisi twataka National ID
Uelewa wako mdogo sana !!Ila passport ni pasi ya kusafiria ila NIDA NI ID YA UTAMBULISHO KWAMBA WE NI MTANZANIA .... NAFIKIRI FOREIGNER LABDA NDIO WANGEITAJI PASSPORT YAKE LAKINI BORN HERE HERE LAZIMA NIDA IHUSIKE TU SIJAONA KOSA KWA KWELI
Maana sio Nida haikutambulishi vizuri kama mtanzania ila inakutambulisha ukisafiri tu nchini mwa watu ndio maana Kuna passport na Kuna Identification Card so ni vitu tofauti sana ndio maana watu waliokuwa hawana uraia wanalipia uraia huoNimekwenda ofisi kama tatu za watu binafsi nimeshindwa kupata huduma kwa kutumia kitambulisho cha passport eti hakitambuliki. Yaani kitabu hakitambuliki?
Ni kweli karne ya 22 kuna baadhi ya ofisi hazitambui kama passport ya kusafiria ni kitambulisho.
Wananiambia hicho hakitambuliki sisi hapa tunahitaji NIDA tu.
Kweli nimeshangaa nimejisemea hiki sasa ni nini. Nimetamani kuutangazia uma palepale kuitambua passport kama kitambulisho kwenye ofisi zote za serikali na binafsi.
Passport na NIDA kipi ni kitambulisho.
Uhamiaji tusaidieni ni kwanini passport haitumiki kama National Identification card baadhi ya ofisi.
Nilikutana na hii issue ya kusajili simcard. Walikataa kata kata kwamba passport ya Tanzania haitakiwi. Ila wanaruhusu passport za nje kusajili simcard.Ujinga huu upo Tanzania tu. Nchi nyingi hasa Ulaya, Passport ndio kitambulisho namba moja.
Hapa kwetu hata SIM card huwezi kusajilia
Uko sure na hili? Lazima uwe na NIDA kupata passport ya Tanzania? Basi diaspora wangekuwa hawana passport za tanzania. maana wengi hawana NIDA, lakini wameweza kupata passport mpya kupitia ubaloziniSababu ni kuwa hakuna intergration kati ya Uhamiaji na hizo Ofisi.
Ofisi zote huchukua taarifa kutoka NIDA including Uhamiaji...
Afu usijipe umuhimu usio na lazima maana huwezi pata Passport bila kuwa na NIDA unless ni under 18
Kwa umri wako ulidhani unajua kila kitu?😂😂😂Nimekwenda ofisi kama tatu za watu binafsi nimeshindwa kupata huduma kwa kutumia kitambulisho cha passport eti hakitambuliki. Yaani kitabu hakitambuliki?
Ni kweli karne ya 22 kuna baadhi ya ofisi hazitambui kama passport ya kusafiria ni kitambulisho.
Wananiambia hicho hakitambuliki sisi hapa tunahitaji NIDA tu.
Kweli nimeshangaa nimejisemea hiki sasa ni nini. Nimetamani kuutangazia uma palepale kuitambua passport kama kitambulisho kwenye ofisi zote za serikali na binafsi.
Passport na NIDA kipi ni kitambulisho.
Uhamiaji tusaidieni ni kwanini passport haitumiki kama National Identification card baadhi ya ofisi.
Wengi wanasema passport ni ya muhimu kwa wanaosafiri kwenda nje ya nchi tu.70% wa Tz hawana pasport hawajui umuhimu wake
70% wa Tz hawana pasport hawajui umuhimu wake
Kumbe na wewe upo mtupu upustea! Maana ya Passport au pasi ya kusafiria ni nini? Je, kwenye maofisi hayo unakuwa unasafiri nje ya nchi?Nimekwenda ofisi kama tatu za watu binafsi nimeshindwa kupata huduma kwa kutumia kitambulisho cha passport eti hakitambuliki. Yaani kitabu hakitambuliki?
Ni kweli karne ya 22 kuna baadhi ya ofisi hazitambui kama passport ya kusafiria ni kitambulisho.
Wananiambia hicho hakitambuliki sisi hapa tunahitaji NIDA tu.
Kweli nimeshangaa nimejisemea hiki sasa ni nini. Nimetamani kuutangazia uma palepale kuitambua passport kama kitambulisho kwenye ofisi zote za serikali na binafsi.
Passport na NIDA kipi ni kitambulisho.
Uhamiaji tusaidieni ni kwanini passport haitumiki kama National Identification card baadhi ya ofisi.
Shida hapo ni ujinga, na ndo unaotafuna hii nchi.
Maofisini kuna vilaza wengi sana.
Nilikutana na hii issue ya kusajili simcard. Walikataa kata kata kwamba passport ya Tanzania haitakiwi. Ila wanaruhusu passport za nje kusajili simcard.
Passport ni kitambulisho cha NIDA nje ya nchi sio ndani ya nchiPSsNchi yetu ina mambo mengi siyo, passport ndiyo ID No.1 allover the World [emoji288] lakini hapa haitambuliki sehemu nyingi tu.
They got to do some about it.
UongoHakuna kitu. Duniani pote utambulisho namba moja unaotumika ni passport , si hiki kidude cha nida . Hata mimi nimewahi kupata matatizo kama haya mara mbili.
Kinachoisumbua Tanganyika ni mentality za ki communist. Hakuna kingine
Mkorofi tu huyo ndio maana wamemgomea kumpa hudumaSababu ni kuwa hakuna intergration kati ya Uhamiaji na hizo Ofisi.
Ofisi zote huchukua taarifa kutoka NIDA including Uhamiaji...
Afu usijipe umuhimu usio na lazima maana huwezi pata Passport bila kuwa na NIDA unless ni under 18
Huyu ni mfano halisi wa wanaofanya kazi ndani ya ofisi hizo, utambulisho mkuu wa watu hawa ni ujinga, ujinga uliokufuru.Uongo
Ukiwa mgeni sawa lakini mwenyeji kitambilisho kikubwa na cha NIDA