Uhamiaji uwanja wa mwl. Julius Nyerere naombeni maelezo

Uhamiaji uwanja wa mwl. Julius Nyerere naombeni maelezo

NostradamusEstrademe

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2017
Posts
3,402
Reaction score
4,532
Nchi za SADIC ukitembelea huna haja ya visa.Inakuwaje sisi tukienda kule kwa shughuli yeyote hatuulizwi visa ila mgeni akitoka huko anaambiwa alipe dala 200.
 
Nchi za SADIC ukitembelea huna haja ya visa.Inakuwaje sisi tukienda kule kwa shughuli yeyote hatuulizwi visa ila mgeni akitoka huko anaambiwa alipe dala200.
😁😁 Wale jamaa wako kimaslahi pale wanakutingisha weee ili tu uwape mlungula.
 
Back
Top Bottom