Uhamiaji wadai Heche amevuka mpaka wa Sirari kinyume na sheria

18 October 2025

CHAWA WALAUMU WANACCM KUUNGANA NA WADAI MABADILIKO


View: https://m.youtube.com/watch?v=8QOvrYjlRcU
Chawa mtazamo wao ni finyu sana hawaoni hatari inayoletwa na wanaCCM viongozi wachache na magenge yao kutaka kungangania utawala kupitia njia haramu ikiwemo utekajj, kupoteza watu, kuteka nyara mchakqto mzima wa uchaguzi, kutumia mfumo haki jinai kuwafunga watu wenye mawazo tofauti n.k

Wafuasi wa CCM wa waziri Jerry Silaa wawapiga mawe na kwa kutumia vyuma msafara wa mgombea wa ACT Wazalendo . Hadi sasa jeshi la Polisi halijatoa kauli kuhusu wanachama wa CCM kuushambulia msafara wa mgombea huyo wa chama cha ACT Wazalendo


View: https://m.youtube.com/watch?v=VUeFbrtmkz4Msemaji mkuu wa serikali ya Tanzania Dr. Gerson Msigwa akijibu maswali ya kutekwa kwa aliyekuwa balozi wa Tanzania nchi Cuba Bw. Humphrey Herson Polepole
 
Unpacking the Upcoming sham Tanzanian 2025 Elections

View: https://m.youtube.com/watch?v=xSvJj1iGfQU
Tanzania goes to elections on the 29th of October and the vote is said to be taking place amidst significate political uncertainties and a constrained democratic space. The country's main opposition leader Tundu Lissu went on trial for treason this week and his party - CHADEMA- has been barred from contesting the elections in the East African country. Lissu, who came second in the last presidential poll in 2020, was arrested in April. Meanwhile the ruling party - Chama Cha Mapinduzi is gaining momentum ahead of the polls. We discuss this with Deus Valentine Rweyemamu from the Center for Strategic Litigation and Dr. Rugemeleza Nshala, the Attorney General of CHADEMA (Chama Cha Demokrasia na Maendeleo)
Source : Channel Africa

Tanzania’s election without CHADEMA: One-sided democracy?​



View: https://m.youtube.com/watch?v=MMptS1B-x58The future of Tanzania’s main opposition party, CHADEMA, is in crisis after being barred from the October 2025 election—and from all by-elections until 2030. Is this a calculated move by President Samia Suluhu to silence dissent, or is CHADEMA crumbling under the weight of its own internal divisions?
Source : DW DeutscheWelle
 
18 October 2025
Sirari/ Isibania One
Stop Border
Tanzania / Kenya

BREAKING NEWS:
Tanzanian Youths Rise Against President Samia | Border Protests with Kenya Intensify!

View: https://m.youtube.com/watch?v=FyngIiNSvuk
Description:A powerful wave of protest is sweeping across Tanzania.

Thousands of Gen Z youths are taking to the streets after the government blocked opposition figure John Heche from traveling to Kenya for Raila Odinga’s burial.

Many accuse President Samia Suluhu Hassan of turning the country into a dictatorship — especially after the arrest of Tundu Lissu in April 2025.

The situation has escalated at the Sirari–Isibania border, where Kenyan and Tanzanian youths have united in rare cross-border protests. Is this the beginning of a new democratic awakening in East Africa — or a sign of deeper political instability

Source : AfriPlus


View: https://m.youtube.com/watch?v=kyeIGvXoF7c
 
Ukitaka bangi ipoteze thamani waruhusu watu wavute tu halalisha, ukitaka mirungi ipoteze thamani waruhusu watu wale tu halalisha na ukitaka mwanasiasa apoteze thamani mwache aranderande......
 
Kwa walichofanya uhamiaji ule sio ubinadamu na wala sio utawala wa sheria.

Sioni maana ya kiongozi au mwananchi kuzuiwa kutoka nje ya nchi kufanya shughuli zake za halali kabsa.

Kwa mnaoendelea kumwagilia chuki hizi huku mkizani mnawakomoa zaidi Chadema wala sio sawa zaidi mnatugawa sana na sisi ni ndugu wa damu kabsa tofauti ni itikadi zetu tu.

Mtaturudisha kipindi cha JK tukivaa sare zetu za kijani tunazomewa.Tuacheni siasa za kukuza chuki na tuwe na siasa zakujenga Taifa.Sioni madhara yoyote ya Chadema kwa kuongea kwao.

Tutengeneze vijana wakujibu hoja za wapinzani sio kuwalemaza kwa kukandamiza wapinzani kwa mabavu.Hoja zao zote zinajibika sijaona ambacho cha ajabu.

Yaani kweli CCM wenzangu mnakubali kutishwa na watu ambao wanajua kukosoa tu sio kutoa solution.Mbona ni rahisi sana kupambana kwa hoja na watu wa aina hiyo.

Mimi kwa upande wangu maeneo ninayokaa na kutembea watu wa Chadema wanaogopa mijadala na mimi maana huwa wanajikuta la mbele wameweka nyuma na lanyuma wameweka mbele.

Mfano niliwahi kuwa na mjadala na watu wa Chadema kuhusu chanjo ya uviko 19 kipindi cha Magu na kipindi alipoingia Mama Samia.Huu ni mjadala ambao ulinisaidia sana kujua kuwa wafuasi wengi wa Chadema ni maji fata mkondo hawana wanachojua zaidi ya kile wanachosikia kutoka kwa viongozi wao.

Hvyo chonde chonde CCM wenzangu waacheni Chadema wafanye siasa hawana madhara hao watu.Pale watakapo vunja sheria basi ndio washughulikiwe kisawasawa sio namna hii wanayofanyiwa.

Tukumbuke kuwa hawa ni ndugu zetu na sidhani kama nia yao ni nchi iharibike ili hadi ndugu zao wafe.Nia yao ni tonge lao lizidi kujaa na Chama chao kiendelee kukua zaidi na siku moja wapate nao fursa yakuchota pesa.
 
Naona wameshapata sababu ya kumuweka jela
Na yeye ndio anataka jela, mwanasiasa jela ni kiki na pia hataki tarehe 29 kuwa mitaani apate sababu nilikuwa jela. Hivi bado unawaamini wanasiasa uchwara, na hapa nasema wanasiasa wote wa vyama vyote ni the same shiiiit.
 
Na yeye ndio anataka jela, mwanasiasa jela ni kiki na pia hataki tarehe 29 kuwa mitaani apate sababu nilikuwa jela. Hivi bado unawaamini wanasiasa uchwara, na hapa nasema wanasiasa wote wa vyama vyote ni the same shiiiit.

..kwani October 29 Mama Abduli, Mchimbi, Husseni, na wenzao, watakuwa mtaani kuvunja maandamano, au wanawategemea watoto wa masikini walioko ktk jeshi la Polisi kutenda unyama kwa niaba yao?
 
Shida inaanza pale mhimili unapokosa tafsiri ya matukio na kuyakalia kwenye kigoda

Ukimya ni Hekima ila ukivuka mstari ni ubwege

Serikali kudhani ni Hekima kubaki kimya bila roporopo ni kuhalalisha ufedhuli wa ukosoaji

Nani sasa kati ya wananchii wa kawaida sasa akipewa taarifa hata zisizostahili atadhani serikali haiusiki.!?

Kurusu mambo ya shughuli we hata kama una hila binafsi nayo ni hekima
 
Nchi inaongozwa na wapumbavu
 

..Mama Abduli ameshindwa kuongoza. ameshindwa kulidhibiti genge linaloteka, na kuuwa wanaharakati.

..Mama Abduli pia hajiamini ktk uongozi wake. amejitangaza tangu aingie madarakani, amehonga mapikipiki nchi nzima, amechangisha BILLION 85+ kwa ajili ya kampeni, lakini bado anaengua washindani wake kama Luhaga Mpina.
 
..kwani October 29 Mama Abduli, Mchimbi, Husseni, na wenzao, watakuwa mtaani kuvunja maandamano, au wanawategemea watoto wa masikini walioko ktk jeshi la Polisi kutenda unyama kwa niaba yao?
Wewe ndio zero brain hata sijui unaongelea nini, katafute pesa acha ujinga kuwaita watu maskini kama wewe maskini jitangaze wewe, njaa tu, jitu jinga lenye kuita wenzake maskini, sema mimi maskini...
 
Hizi ni siasa za kinazi, mtu anaenda msibani, why azuiliwe? Haya makesi ya kisiasa ni ya kipuuzi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…