Doesn’t make sense, Heche anaishi wilaya ya mpakani hakuna mtu wa maeneo hayo ambae hajui njia ya kuingia nchi jirani.
Binafsi ninawashikaji Kilimanjaro wenye mabaa, wanaingiza Tusker kila siku kwa njia za panya kwa pick-up zao; mpaka kesho kutoka Kenya.
Heche ameheshimu tu taratibu za kwenda alipotaka kwenda kihalali kwa kufuata sheria.
Shida zaidi kwanini wamzuie? Hata huyo ‘Bobi Wine’ sasa hivi ‘Museveni’ kampa police escort ya kutosha. Mambo ambayo ‘Museveni’ kajifunza kwetu namna ya kuonyesha uchaguzi ulikuwa halali.
Shida hiko wapi kwenye hii serikali ya Samia. Ni kama vile hakuna wacheza foul waliozoeleka kaweka wapuuzi ambao hawajui tiktaka za kula na kipofu kabisa (be it she is the worst president ever in the history of the world).
The nonsense is too appalling. Kuna sababu gani ya kumzuia Heche kwenda Kenya zaidi ya ujinga.
..Mama Abduli anaweza kuwa chanzo cha machafuko nchini. watekaji, watesaji, na wauwaji, wameshika hatamu, huku vyombo vimeshikwa na ganzi. uhuni unaoendelea sasa hivi nchini umewahi kusababisha machafuko katika baadhi ya nchi.
..machafuko nchini kwetu hayataletwa na vyama vya upinzani. walioko kwenye vyama vya upinzani wanajulikana kuwa sio watu wa kushika silaha. machafuko yatatokea baada ya watu waadilifu katika vyombo kuamua kuchukua hatua dhidi ya magenge ya wasiojulikana. mimi siamini kama genge la wasiojulikana linaungwa mkono na walio wengi ndani ya vyombo vyetu.