Uhamiaji wadai Heche amevuka mpaka wa Sirari kinyume na sheria


..Mama Abduli anaweza kuwa chanzo cha machafuko nchini. watekaji, watesaji, na wauwaji, wameshika hatamu, huku vyombo vimeshikwa na ganzi. uhuni unaoendelea sasa hivi nchini umewahi kusababisha machafuko katika baadhi ya nchi.

..machafuko nchini kwetu hayataletwa na vyama vya upinzani. walioko kwenye vyama vya upinzani wanajulikana kuwa sio watu wa kushika silaha. machafuko yatatokea baada ya watu waadilifu katika vyombo kuamua kuchukua hatua dhidi ya magenge ya wasiojulikana. mimi siamini kama genge la wasiojulikana linaungwa mkono na walio wengi ndani ya vyombo vyetu.
 
Kitendo cha kumzuia mtu kusafiri kwenda kwenye msiba hiyo aihitaji akili ya rocket science au brain surgeon.

Huu ni ujinga uliopitipliza, wanapata faida gani zaidi ya kuchochea chuki dhidi ya serikali, mind you kuna social issues luluki tayari zinazokera wananchi. Sasa kwanini ujiongezee sababu za kuchukiwa kisa maamuzi ya kijinga.

It’s just stupid to the say the least walichofanya.
 
Suala si yeye Kuweza au kushindwa

Unapokua mbele ya jambo lolote kama kiongozi, ni lazima ujifunze aina za kijamii ambazo hukuwahi kuzizoea

Kutembea katikati si jambo rahisi kwa mtu asiyezoezwa kifikra

Huyu mwanamke ambaye anaongoza ni moja ya wanawake waliofundwa utii bila shurti kulingana na utamaduni na malezi

Kujiweka kwake kwenye uhusika ambao hakuzoezwa hapo awali ni kumtwisha gunia la misumari

Atakachoweza kufanya ni kushikamana na wazoefu waliompiku ili kumpa Tahfif

SI muujiza au hila ni kanuni ya asili kwa kitu kisicho na uwezo ni kushikamana na chenye uwezo

Sasa Kuna mambo hayajari wewe ni nani kwa wakati unaishi na kwakuwa una dhamana ni lazima uyaamue

Sasa hata kama umefundwa utii na kubaki kimya kama hekima pia atambue kelele nazo ni hekima

Kwa namna ambayo hapaswi kukalia kimya kila kinachoendea

Na hata akitaka kuchua hatua asidemluke bali kuongozwe na hisia zake za ndani
 
Ndio uko sahihi

Shida kwa sasa serikali inaonekana haina vipaji vya watu wa mahusiano ya kijamii

Na ndio maana utawala unachapwa kwa ngazi za mahusiano kijamii

Hakuna kitu sahihi Kunachositawi pekeyake dunia hii ukikosa hekima ya mahusiano hasa ukiwa kiongozi ni msiba

Nadhani huyu mama japo anadhani anaongoza watu ila ukweli ana jambo katika moyo wake anatakiwa alifumbue kwenye uwanda mpana kwa wakati huu (hii binafsi)

Dunia imempa nafasi wakati huu nadhani hivyo
 
Nchi hii wanayo iingiza kwenye machafuko ni serikali na vyombo vya usalama. Na wameisha anza kufanya hivyo, soon watavuna walichopanda
 
Kuna watu kwenye hii nchi mlitakiwa kuzaliwa kama mbwa ili mlinde maslahi ya wale binadamu wanao walisha na kuwatunza. Nadhani nikisema hivi, polisi na uhamiaji mnanielewa.
 
Wana ukonga hatuna masihara. Tarehe 29 Oktoba ndo tunalimaliza kabisa.
 
Hii ishu ya Heche imekaa vibaya. Kidiplomasia pia inatuchafua.
 
Poppycock.
 
Wewe ndio zero brain hata sijui unaongelea nini, katafute pesa acha ujinga kuwaita watu maskini kama wewe maskini jitangaze wewe, njaa tu, jitu jinga lenye kuita wenzake maskini, sema mimi maskini...

..Na Mama Abduli, serikali, na Ccm yake, wanaoita Watanzania " kaya masikini " unawaweka katika kundi gani?
 
Exactly 💯
Hakafu kuna mtu anakuja kukwambia eti ile ni drama heche alipanga,blah blah
Aiseee
 
..Na Mama Abduli, serikali, na Ccm yake, wanaoita Watanzania " kaya masikini " unawaweka katika kundi gani?
Wewe acha kukariri maisha hapo Tz kuna watu wana pesa wako kimyaa tu, acha chuki roho mbaya. Wewe ungekuwa Mama yako Rais ungefanya nini? ungepanda bodaboda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…