X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,791
- 15,016
Kuna mtu siku moja alisikika akisema "labda mambo yakiharibika sana" mtu huyo ukizubaa tu anakuchekea harafu ukimpa nafasi anawatuma vijana wake wakushughulikie...! Ni zero brain kabisa ambae ana shindwa kabisa kufuta foot print zake kwenye matukio mabaya...!Doesn’t make sense, Heche anaishi wilaya ya mpakani hakuna mtu wa maeneo hayo ambae hajui njia ya kuingia nchi jirani.
Binafsi ninawashikaji Kilimanjaro wenye mabaa, wanaingiza Tusker kila siku kwa njia za panya kwa pick-up zao; mpaka kesho kutoka Kenya.
Heche ameheshimu tu taratibu za kwenda alipotaka kwenda kihalali kwa kufuata sheria.
Shida zaidi kwanini wamzuie? Hata huyo ‘Bobi Wine’ sasa hivi ‘Museveni’ kampa police escort ya kutosha. Mambo ambayo ‘Museveni’ kajifunza kwetu namna ya kuonyesha uchaguzi ulikuwa halali.
Shida hiko wapi kwenye hii serikali ya Samia. Ni kama vile hakuna wacheza foul waliozoeleka kaweka wapuuzi ambao hawajui tiktaka za kula na kipofu kabisa (be it she is the worst president ever in the history of the world).
The nonsense is too appalling. Kuna sababu gani ya kumzuia Heche kwenda Kenya zaidi ya ujinga.
Wewe ni muoga ile mbayaMaelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.
Siku hiyo kazi ni rahisi sana
Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.
Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu
VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu
Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa na mali zao tunaishi nao mitaani kwetu.
Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.
Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.
Share na mwenzako
Wewe acha kukariri maisha hapo Tz kuna watu wana pesa wako kimyaa tu, acha chuki roho mbaya. Wewe ungekuwa Mama yako Rais ungefanya nini? ungepanda bodaboda.
Mkuu 'Mbege10'Hvyo chonde chonde CCM wenzangu waacheni Chadema wafanye siasa hawana madhara hao watu.Pale watakapo vunja sheria basi ndio washughulikiwe kisawasawa sio namna hii wanayofanyiwa.
Tukumbuke kuwa hawa ni ndugu zetu na sidhani kama nia yao ni nchi iharibike ili hadi ndugu zao wafe.Nia yao ni tonge lao lizidi kujaa na Chama chao kiendelee kukua zaidi na siku moja wapate nao fursa yakuchota pesa.
Utaratibu upi huo? uwekeni hapa tujifunzeKUHUSU MHE. JOHN WEGESA HECHE KUONDOKA NCHINI BILA KUFUATA TARATIBU
Idara ya Uhamiaji inapenda kuujulisha Umma kuwa leo tarehe 18 Oktoba, 2025 katika Kituo cha Uhamiaji cha Mpaka wa Sirari mkoani Mara, Mhe. John Wegesa Heche ameondoka nchini kwa kuvuka mpaka na kuingia nchi jirani bila kufuata taratibu na Kanuni za Uhamiaji zilizoundwa chini ya Sheria ya Uhamiaji Sura ya 54.
Soma Pia: John Heche amekamatwa na kuzuiliwa mpaka wa Sirari akiwa anaelekea Kenya kwenye mazishi ya Odinga
Hivyo, Idara ya Uhamiaji inatoa wito kwa raia wa Tanzania na wageni wote wanaotoka na kuingia nchini kufuata taratibu na kanuni zinazongoza uingiaji, ukaazi na utokaji wa watu nchini ili kuepuka kutenda kosa na kuchukuliwa hatua za kisheria.
View attachment 3490526
======
Kilichotokea:
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche, amefanikiwa kuvuka mpaka wa Tanzania na Kenya kupitia mpaka wa Sirari mkoani Mara jioni ya siku ya Jumamosi Oktoba 18, 2025, baada ya kuzuka mvutano kati ya maofisa wa uhamiaji wa Tanzania na wenzao wa Kenya.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa mtu wa karibu na Heche aliyekuwa mpakani hapo, tukio hilo lilitokea wakati kiongozi huyo akijaribu kuvuka kuelekea nchini Kenya ambako anatarajiwa kuhudhuria mazishi ya aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kenya, Raila Odinga, yatakayofanyika Jumapili Oktoba 19, 2025, katika kijiji chake cha Bondo.
Chanzo hicho kimeeleza kuwa Heche alikumbana na maofisa wa uhamiaji wa Tanzania ambao walidai kuwa anahusishwa na kesi nchini, na hivyo wakajaribu kumzuia kuendelea na safari yake, lakini upande wa Kenya ulitaka ushahidi wa kisheria wa kumzuia kuvuka.
“Hapa ni One Stop Center, ukiwa unapiga muhuri wa passport tayari unakuwa upande wa Kenya. Askari wa Tanzania walikuja na kudai Heche ana kesi, lakini wenzao wa Kenya waliuliza kama kuna zuio la mahakama. Waliposhindwa kuonesha nyaraka yoyote ya kumzuia, askari wa Kenya walikataa kumkabidhi. Baada ya giza kuanza kuingia, wananchi wa Kenya wakamchukua kutoka kwa Askari wa Kenya na kuondoka naye,” kimesema chanzo hicho.
Kwa mujibu wa chanzo hicho, Heche sasa yupo nchini Kenya baada ya kupokelewa na wananchi waliokuwa mpakani.
Awali, taarifa rasmi ya CHADEMA ilisema kuwa Heche alizuiwa na maofisa wa Idara ya Uhamiaji nchini Tanzania wakati akijiandaa kuvuka mpaka, na kwamba hati yake ya kusafiria ilizuiwa bila maelezo ya wazi.
Mpaka sasa mamlaka za Tanzania hazijatoa kauli rasmi kuhusu tukio hilo.
Na JPM si ndio? maana haya mambo alijifunza kwake..mwenye roho mbaya ni Mama Abduli anayetuma magenge yake kuteka, na kuuwa, wanaodai HAKI.