Uhamisho wa wakazi wa Gaza kwenda Indonesia kwa muda wapendekezwa na timu ya maridhiano ya kusitisha vita ili kuikarabati Gaza

wastani kwa idadi

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2024
Posts
503
Reaction score
1,432
Timu ya maridhiano ya usitishaji wa vita imeshauri kuhamisha Wapalestina wa Gaza kwenda Indonesia kwa muda hadi Gaza itakapojengwa upya.

Wazo hilo limewekwa wazi na Steve Witkoff ni mshauri wa masuala ya kimkakati katika timu ya Trump anaeshiriki katika juhudi za kutafuta suluhu la amani Mashariki ya Kati, ikiwa ni pamoja na kuhusika katika zoezi la kubadilishana mateka na wafungwa linaloanza leo Jumapili 19-01-2024 kati Israel na Hamas, inakadiriwa kwa kila muisrael moja wataachiwa wapalestina 50

========================================
President-elect Donald Trump’s envoy to the Middle East, Steve Witkoff, is considering a visit to the war-torn Gaza Strip as part of his efforts to keep a ceasefire deal between Israel and Hamas on track, according to a transition official with direct knowledge of the ceasefire process.

Underscoring just how fragile the president-elect’s team believes the ceasefire deal that’s set to go into effect on Sunday is, Witkoff also plans to be a near-constant presence in the region over the coming weeks and months to troubleshoot flare-ups on the ground that he believes could unravel the agreement and halt the release of hostages held by Hamas at any moment, the official said.

“You have to be right on top of it, ready to snuff out a problem if it happens,” the official said.

Source: NBC News
 
Wamekataa kwenda kwa waarabu wenzao ambao wanaongea lugha moja wamekataa kwenda Ulaya waeende Indonesia😂
Sio kwamba wamekataa kwenda kwa waarabu wenzao, waarabu HAWAWATAKI wapalestina.

Huu ni ukuta wa Misri / Palestina umezama chini futi za kutosha,

1737307812003.png
 
waletwee apaa tz hao mapalestinaa tujenge taifaa
 
Timu ya maridhiano ya usitishaji wa vita imeshauri kuhamisha Wapalestina wa Gaza kwenda Indonesia kwa muda hadi Gaza itakapojengwa upya.

Wazo hilo limewekwa wazi na Steve Witkoff ni mshauri wa masuala ya kimkakati katika timu ya Trump anaeshiriki katika juhudi za kutafuta suluhu la amani Mashariki ya Kati, ikiwa ni pamoja na kuhusika katika zoezi la kubadilishana mateka na wafungwa linaloanza leo Jumapili 19-01-2024 kati Israel na Hamas, inakadiriwa kwa kila muisrael moja wataachiwa wapalestina 50

While managing the current phase of the deal and negotiating the next, Trump and his team also are contending with longer-term solutions.

“If we don’t help the Gazans, if we don’t make their life better, if we don’t give them a sense of hope, there’s going to be a rebellion,” the transition official said.

The question of how to rebuild Gaza remains, as well as where some 2 million Palestinians can be relocated in the meantime. Indonesia, for instance, is among the locations under discussion for where some of them could go, the transition official said.
Kichaa pekee ndio atakubali hili la kwenda Indonesia
 
These people are evil kwanini wasiwapeleke Misri unawapeleka Indonesia kote Huko kutafuta nini
 
Wakiondoka gaza ndio kwaheri. Palestina yote itakuwa mali ya Israel rasmi
 
Timu ya maridhiano ya usitishaji wa vita imeshauri kuhamisha Wapalestina wa Gaza kwenda Indonesia kwa muda hadi Gaza itakapojengwa upya.

Wazo hilo limewekwa wazi na Steve Witkoff ni mshauri wa masuala ya kimkakati katika timu ya Trump anaeshiriki katika juhudi za kutafuta suluhu la amani Mashariki ya Kati, ikiwa ni pamoja na kuhusika katika zoezi la kubadilishana mateka na wafungwa linaloanza leo Jumapili 19-01-2024 kati Israel na Hamas, inakadiriwa kwa kila muisrael moja wataachiwa wapalestina 50

While managing the current phase of the deal and negotiating the next, Trump and his team also are contending with longer-term solutions.

“If we don’t help the Gazans, if we don’t make their life better, if we don’t give them a sense of hope, there’s going to be a rebellion,” the transition official said.

The question of how to rebuild Gaza remains, as well as where some 2 million Palestinians can be relocated in the meantime. Indonesia, for instance, is among the locations under discussion for where some of them could go, the transition official said.
Hii dunia ina mambo mengi sana.
Huu upendo anaouonyesha US kwa wa Gaza unatoka wapi wakati yeye ndiye alikuwa anamfadhili myahudi zana za kuiangamizi Gaza!

Marekani ndiye muharibifu wa amani ya dunia,full stop!
 
waliambiwa achien mateka , mkasema waje Gaza , wamekuja Gaza mnawalaumu ,, hv kichwan zimo kwel ?
 
Back
Top Bottom