Uhamisho wa wakazi wa Gaza kwenda Indonesia kwa muda wapendekezwa na timu ya maridhiano ya kusitisha vita ili kuikarabati Gaza

Uhamisho wa wakazi wa Gaza kwenda Indonesia kwa muda wapendekezwa na timu ya maridhiano ya kusitisha vita ili kuikarabati Gaza

Lete ushahidi wa hicho ulichokiandika
Soma kitabu Cha Tora au wale dini mbalimbali zilizokopy kitabu hicho ,wakakibadilisha na kuchanganywa vitabu vingine vya magumashi na kusema kimeshushwa wanaita TAURAT au TORATI
 
Wewe Vipi? Unajitoa Utahans? Mm nakwambia mtume wewe yeye ndiyo gay. Na ni Maandiko yenu wenyewe yanasema

Wewe vipi unajitoa ufahamu? Mm nakwambia nyinyi mtume wenu ni gay; wewe unatuletea story za Alinacha?
Maandiko yenu wenyewe yanasema huyo bana ni gayish
View attachment 3210856

1737618786230.jpeg
 
Soma kitabu Cha Tora au wale dini mbalimbali zilizokopy kitabu hicho ,wakakibadilisha na kuchanganywa vitabu vingine vya magumashi na kusema kimeshushwa wanaita TAURAT au TORATI

Kitabu cha tora hamna mahali imeandikwa hiyo ni ardhi ya mababu
 
Wangepelekwa afghanistan, pakistan, iran, yemen na uturuki kwenye mataifa yenye vurugu za kidini. Indonesia ina waislam wengi duniani ila haina fujo za kiislam. Kuna wale abu sayaf walishakomeshwa
 
Wangepelekwa afghanistan, pakistan, iran, yemen na uturuki kwenye mataifa yenye vurugu za kidini. Indonesia ina waislam wengi duniani ila haina fujo za kiislam. Kuna wale abu sayaf walishakomeshwa
Mnajifariji jehova mpalestine atabaki nyumbani mji utajengwa kwa pesa zawaisani muimu tu IDF atoweka mguu tena GAZA baada maafa ya askari wake. Kufa kusikie tu kwa mwenzio kufa akuna udogo bwashee!!
 
Hii dunia ina mambo mengi sana.
Huu upendo anaouonyesha US kwa wa Gaza unatoka wapi wakati yeye ndiye alikuwa anamfadhili myahudi zana za kuiangamizi Gaza!

Marekani ndiye muharibifu wa amani ya dunia,full stop!
Ni kweli kabisa bwana imam kwa sababu makafiri wa Marekani kwa kushirikiana na magaidi wao wa Hamas ndio walioivamia Israel ile siku 07/10/2023 na kuua waisraeli zaidi ya 1,000. Kweli bwana imam Wamarekani ni watu wabaya sana.
 
Matthew 19:10-12
********************************************
New International Version
10 The disciples said to him, “If this is the situation between a husband and wife, it is better not to marry.”

11 Jesus replied, “Not everyone can accept this word, but only those to whom it has been given. 12 For there are eunuchs who were born that way, and there are eunuchs who have been made eunuchs by others—and there are those who choose to live like eunuchs for the sake of the kingdom of heaven. The one who can accept this should accept it.”
*********************************************
Inaonekana hii lugha inawapa tabu sana nyie "Graduates wa Madrassa."
 
and there are eunuchs who have been made eunuchs by others

What is the meaning of eunuch ??
 
waletwee apaa tz hao mapalestinaa tujenge taifaa
Duh,
Big No,
Waarabu wenzao wanawaogopa na kuwakataa, Watanzania ndo watawaweza? Wakianza kufanya yao nchi itakalika?!!

Indonesia ndo kunawafaa, waende tu.
 
Back
Top Bottom