Uhamisho wa wakazi wa Gaza kwenda Indonesia kwa muda wapendekezwa na timu ya maridhiano ya kusitisha vita ili kuikarabati Gaza

Hii ni Chess sio draft, Kwenye makubaliano ya kubadilishana wafungwa na mateka, Israel wamekubali kutoa wafungwa 50 wa Palestina kwa kila mu Israel alietekwa kumbe kuna mikakati ya kuwatupa Indonesia
Izi propaganda za kitoto!!
 
vaa viatu vya Israel , baada ya Hamas kuvamia ulitaka wafanyeje ? wawapongeze HAMAS ?
Naww vaaa viatu vya wapalestina miaka 50 sasa kila siku Israel inavamia nyumba za wapalestina na kubomoa mashambayao yanafekwa mifugo yao inauwawa wenyewe wanauwawa ili tu waisrael wamiliki iyo ardhi wajenge majumba yao na kuyatumia mashamba kwa kilimo chao!!!!! Kama ni mtoto wa kiume unaona nyumba ya babayako inavunjwa na waisrael na kwa mtutu mzee akipinga nyumba yake isinyang,anywe nayeye anapigwa risasi ukikua mkubwa utaacha kujiunga na Hamas kisa kuna mingese itakwita ww gaid!!!!!! Ao Hamas miili yao inasumu kali sana ni hatari kwa afya ya IDF yoyote wapo tayali kufa kuliko kuishi ktk maumivu ya kuona jinsi waisrael wanawanyanyasa ktk ardhi yao yamababu zao!!
 
Kwani kuna shida gan hata wakikaa kwenye kifusi si kwao? Hatoki mtu, maisha sio vifusi
 
Waarabu wana pesa! Qatar watoe pesa halafu kazi apewe Mchina uone kitakachofanyika.
 
Wamekataa kwenda kwa waarabu wenzao ambao wanaongea lugha moja wamekataa kwenda Ulaya waeende Indonesia😂
Indonesia ndiyo nchi ya Kiislamu yenye waislamu wengi duniani lakini hawako RADICALISED
 
Wamekataa kwenda kwa waarabu wenzao ambao wanaongea lugha moja wamekataa kwenda Ulaya waeende Indonesia😂
Hivi unajua Indonesia ni Nchi iliyoendelea (GDP yake ni takriban 1.5 trilion) lakini pia karibia 90% ya population ni Waislam ambao ni takriban 230,000,000 - Ndio Nchi yenye waislam wengi kuliko Nchi yoyote duniani kwa hiyo, ni uamuzi sahihi....
 
Indonesia ndiyo nchi ya Kiislamu yenye waislamu wengi duniani lakini hawako RADICALISED

Uliwahi kufika Indosenia ? Hivi uislamu una kitu kinachoitwa radical ??
 
Uliwahi kufika Indosenia ? Hivi uislamu una kitu kinachoitwa radical ??
Ndiyo nimefikq twice 2009na 2013. Tumbelea fukwe za Bali au angalia nightlife, huwezi kukuta ujinga wenu wa sigida utosini au kelele za adhana za mchana bila sababu
 
Ndiyo nimefikq twice 2009na 2013. Tumbelea fukwe za Bali au angalia nightlife, huwezi kukuta ujinga wenu wa sigida utosini au kelele za adhana za mchana bila sababu
Wacha kupakazia , mimi ndio nimeondoka juzi hapa, nilipo niko njiani na hayo unayoyasema mbona ni uongo wa mchana . Uislamu ulioko huko ni kama huu wa Zanzibar isipokuwa kuna vikundi vimeingiza mambo yao ya jadi kwenye uislamu, kama ilivyo kwenye ukristo

sasa jibu swali

hivi katika uislamu kuna kitu radical , lete ushahidi
 
Wabakie huko huko kwa makabachori na waachie WAYAHUDI ardi Yao. Hapo ndio utakuwa mwisho wa vita
 
Kwani Muslim Brotherhood ni kitu gani? Au Alqaeda, ISIS na Alshabab!!
 
hili ni pendekezo la kijuha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…